Umri wa Humphrey Polepole

Umri wa Humphrey Polepole

Hivi Polepole ana mke?
Sijawahi kusikia au kumwona akiwa na familia. Sana sana tuliona ile KY alipokua anahojiwa live.
 
Hiyo "EDUCATION" ndiyo imechanganya:

Amesoma University of Mwalimu Nyerere Memorial Academy, University of Dar Es Salaam.
Hivi ni vyuo vikuu viwili tofauti au ni chuo kimoja?
Yaani: University of Mwalimu Nyerere Memorial Academy; na University of Dar Es Salaam.

Kama ni chuo kimoja, Chuo Kikuu kimoja kitakuwaje ndani ya Chuo Kikuu kingine?
 
Kwa navyoelewa hakuna university of Mwalimu Ila kinaitwa Mwalimu Nyerere Memorial Academy
Itakuwa kasoma Mwalimu Nyerere na pia kasoma hapo udsm .
 
Hiyo "EDUCATION" ndiyo imechanganya:

Amesoma University of Mwalimu Nyerere Memorial Academy, University of Dar Es Salaam.
Hivi ni vyuo vikuu viwili tofauti au ni chuo kimoja?
Yaani: University of Mwalimu Nyerere Memorial Academy; na University of Dar Es Salaam.

Kama ni chuo kimoja, Chuo Kikuu kimoja kitakuwaje ndani ya Chuo Kikuu kingine?
MNMA ni zamani ikiitwa Chuo cha CCM Kivukoni.

Hivyo yapaswa kusemwa kwamba balozi Polepole kasoma UDSM na Kivukoni.
 
Asante mkuu, kwa ufafanuzi huu. Kidogo ulinichanganya. Sikukumbuka kuwa Kivukoni ndiyo Mwalimu Academy siku hizi.
 
Pia hicho chuo hakijawa university bado ni chuo cha kati kiliitwa kivukoni then kinaitwa Chuo cha kumbikizi ya Mwalimu Nyerere
 
Back
Top Bottom