Umri wa Humphrey Polepole

Umri wa Humphrey Polepole

Mkuu ILA HUYU SI aliowaga awamu ILE IKIWA inaingia KIPIND cha pili SA nashanga humu WATU wanadai bachela TENA NDOA ya kislamu
 
Mtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
51VnCxCFtIL._UXNaN_FMjpg_QL85_.jpg
 
Kumbeee,!!
Humu kuna wakati huwa pengine tunawakosea Adabu 'Madingi na Mamazeri' wetu kabisa.
Tunawachukulia poa na kudhani ni ma-eji-meti zetu.
Fikiria watu wana mvua 50+, Na-hawasemi? Shikamooni ma-EJI-GO 😀
Tupo wengi tu mkuu. Watu tumenyeshewa mvua za tangu uhuru, mpaka leo zinatunyeshea tu. Hata matusi na kukosewa adabu tumeshaota sugu tumezoea, wala hatujibu!
 
Huyu Mwamba huwa namkubali sana toka Enzi za Katiba mpya
Alikuwa na njaa huyo mbuzi
Mambo ya KatiBa ni zaidi ya miaka 15 imepita sasa, alikuwa wapi miaka yote?
Ni baada ya kupewa ulaji akakaa kimya na kuanza kuwaringishia watu VIETE...

1752615261299.png
 
Aliidanganya Google umri wake ni miaka 73
 
Siyo ajabu. Mimi nimemaliza form 4 nikiwa na 38. 🤣🤣🤣🤣
Miaka 38 ndo umemaliza Form 4 hapa maana yake walimu wakikwambia kamlete mzazi kesho wewe mwenyewe unakuja na nguo za kiraia kama mzazi
 
Sio kweli.
Leo nilikuwa na mwalimu wake wa F3, mwalimu ana miaka 52
Nilihitimu kidato cha nne wakati ambao ajira mpya za waalimu zinatoka. Kuna mwalimu alikuja shuleni kwetu katika story (baada ya kuhitimu na kurudi uraiani kusubiri matokeo) nikagundua namzidi miaka miwili. Najaribu kusema kuwa kuna watu walichelewa kuanza shule au walirudiarudia sana mpaka kuhitimu.
 
Back
Top Bottom