Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Njombe.Hivi Polepole mzaliwa wa mkoa gani?
Njombe.Hivi Polepole mzaliwa wa mkoa gani?
Kama 2000 kamaliza f4 akiwa na 20 basi atakuwa na 45 now, coz 20+25 sio 55 bali 45.From 4 mwk 2000 atakuwa alimaliza na twenty sio 30
Ausiyo sijui umenielewa ndugu
Shida iko wapi na umri wakeWakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.
Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55.
Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka?
Ni swala la kutaka kujua mambo tu Nothing Personal.
Huyu Mwamba huwa namkubali sana toka Enzi za Katiba mpya akiwa na Mzee warioba na Joseph Butiku, huyu jamaa ana madini mengi kichwani ni mtu hasa.
View attachment 3406236
Mmmh😅😅Kamwili na kasura vinakataana
Marahaba kwa niaba😅😅Shikamooo🙌
Eeh kama ana56!mmmh 55 yrs,afu ni mdogo kwako?
🙄Huo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Mshana unalingana na mimi?😂😂Huo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Age go aiseeMshana unalingana na mimi?😂😂
Ukijitunza 55 unakuwa bado muangalie p didy sura yake na kuna jamaa mmoja ukimuangalia yupo Kama ana 35 yrs Ila tayari kafika 50sKamwili na kasura vinakataana
Nitaanza na mimi hasa mazoeziUkijitunza 55 unakuwa bado muangalie p didy sura yake na kuna jamaa mmoja ukimuangalia yupo Kama ana 35 yrs Ila tayari kafika 50sView attachment 3406396
Mimi niligundisha wana wamenizidi umri🙄Sio kweli.
Leo nilikuwa na mwalimu wake wa F3, mwalimu ana miaka 52
Siyo ajabu. Mimi nimemaliza form 4 nikiwa na 38. 🤣🤣🤣🤣Ninavyojua mwamba kamaliza form 4 Azania mwaka 2000, yaani miaka 25 iliyopita, kama ana miaka 55 now manake alimaliza f4 akiwa na miaka 30???
Kama yule mama anajiita Mo finance kama sijakoseaUkijitunza 55 unakuwa bado muangalie p didy sura yake na kuna jamaa mmoja ukimuangalia yupo Kama ana 35 yrs Ila tayari kafika 50sView attachment 3406396
Mazoezi muhimu Ila kiufupi unakua vizuri Sana , nafikiri na wewe unaingia katika category ya akina polepole ya watu ambao hauwezi kukadilia umri waoNitaanza na mimi hasa mazoezi
Nitaanza na mimi hasa mazoezi
Kuna wakati nikikumbuka umri wangu huwa napata shida sana. Age go halafu ninayaona ya kufanya hayajakamilika. Ninachoka hadi nakosa hamu ya kula.🤗🤗Age go aisee