Umri wa Humphrey Polepole

Umri wa Humphrey Polepole

Wakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.

Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55.

Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka?
Ni swala la kutaka kujua mambo tu Nothing Personal.

Huyu Mwamba huwa namkubali sana toka Enzi za Katiba mpya akiwa na Mzee warioba na Joseph Butiku, huyu jamaa ana madini mengi kichwani ni mtu hasa.

View attachment 3406236
Kwahiyo wewe ulichoona cha msingi ni umri wa Polepole tu!
Vichwa vingine ni vya kubeba nywele tu!
 
Shikamoo kaka mkubwa 🙌
Huyu Polepole atazeeka kama Mzee Kingunge alizeeka bila kudhoofika haraka kimwonekano
Vyakula vya Asili vina rutuba sana meilini, Magimbi, Viazi, mbogamboga na matunda!
 
Back
Top Bottom