Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,657
- 8,590
MIE NAJUA UNABIKRA MOJA TU NYINGNE TAYARImimi sijawai bado
MIE NAJUA UNABIKRA MOJA TU NYINGNE TAYARImimi sijawai bado
hyo ingine uliitoa wewe?MIE NAJUA UNABIKRA MOJA TU NYINGNE TAYARI
INAWEZA KUWA HUMU SI TUNATUMIA IDhyo ingine uliitoa wewe?
Faida inapatikana wakati wa kitendo.Hivi kutembea na wanawake wote hao mmepata faida gani?
Mmm ngoja nikae pembeni kwa kuwa mimi sina kwa sasa nilokuwa nae kipindi hicho nilisafiri kikazi kwenda mkoa mwingine niliporudi nikaambiwa keshaolewa tangu kipindi hicho huwezi amini sijawahi kuwa na mausiano na mwanamke yeyote nimeweka msimamo nafanya mambo yangu kwanza siku nikiingia kwenye hayo mambo nitakae bahatika kuwa nae ni huyo huyo mke tena ndoa kabisa!!sitaki kudanganywadanganywa kwa sasa!na hii nasema kutoka moyoni kwangu!!(najua hapa wengi hamtaamini)NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.
Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.
Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Hiyo moja unauhakika ipo mkuu.MIE NAJUA UNABIKRA MOJA TU NYINGNE TAYARI
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HAHiyo moja unauhakika ipo mkuu.
hongera kaka..mko wachache Sana chini ya jua hili..NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.
Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.
Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
WW UMETEMBEA NA WANGAPI?hongera kaka..mko wachache Sana chini ya jua hili..
namjua mwanaume mmoja Tu..na ndio mume wanguWW UMETEMBEA NA WANGAPI?
Hivi kutembea na wanawake wote hao mmepata faida gani?
WEWE SI UNASOMA WW KWENYE ILE THREAD YAKO?namjua mwanaume mmoja Tu..na ndio mume wangu
hahahaaaa..itakua nimejisahauWEWE SI UNASOMA WW KWENYE ILE THREAD YAKO?
miaka 12?? Sina cha zaidi cha kuComment zaidi ya kukupa hongera kuwa mmoja kati ya wale Luckiest men alive. na pia hongera kwa mkeo as well. she is also among the luckiest wife in the world.NILISHTUKA SANA! Ilikuwa ni katika pitapita zangu ambapo nilifika katika kijiwe
kimoja nikakuta vijana wamekaa wanaorodhesha kwenye daftari idadi ya mabinti
ambao wamekutana nao kimwili kwa mwaka mzima, huo ulikuwa ni mwisho wa
mwaka 2013,
Mshindi wao alikuwa ametembea na idadi ya wanawake 107(mia moja na saba)
Wapo waliokuwa na 90... 80.... na nakumbuka wa mwisho alikuwa na kumi na kitu.
Binafsi nimewahi kuwa na mabinti wawili tu, na huyu mke wangu ni wa tatu, mpaka
sasa ni mwaka wa 12 wa ndoa yangu,Sijawahi kutoka nje, narudia tena sijawahi
kutoka nje ya ndoa, najisikia furaha sana na natamani wale wawili wasingekuwepo
kwenye historia yangu kwani wamenitia Doa.
Rafiki yangu mwana JF, umewahi kuwa na wangapi? na unao wangapi mpaka sasa?
Unajisikiaje kwa idadi hiyo?
Msema kweli Mpnz wa mungu nimetembea na wanawake zaidi ya 70 na Nina umri wa miaka 34
very goodMmm ngoja nikae pembeni kwa kuwa mimi sina kwa sasa nilokuwa nae kipindi hicho nilisafiri kikazi kwenda mkoa mwingine niliporudi nikaambiwa keshaolewa tangu kipindi hicho huwezi amini sijawahi kuwa na mausiano na mwanamke yeyote nimeweka msimamo nafanya mambo yangu kwanza siku nikiingia kwenye hayo mambo nitakae bahatika kuwa nae ni huyo huyo mke tena ndoa kabisa!!sitaki kudanganywadanganywa kwa sasa!na hii nasema kutoka moyoni kwangu!!(najua hapa wengi hamtaamini)