Umewahi kupewa msaada kwa sharti la kutoa penzi?

Uko sahihi mkuu!
Binafsi imewahi kunitokea nikiwa chuoni! Kuna mdada wa makamo nilikuwa namsaidia masomo hasa hesabu maana ndo ulikuwa ugonjwa kwake. Nikashangaa anang'ang'ana kuja kupajua ninapokaa!! Maana mi nilikuwanimepanga off compus, wakati yy anakaa hostel. Kumbe anataka kunizawadia papuchi bana!!!
Basi mapenzi ya mungu yakatimia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ooooooooh! Nooooo
 
Watapita kimya kimya
Wanaona aibu lkn tunaona yanayofanyika
1 field attachment
2 kutafuta ajira
3 vyuoni ( hapa nina ushahidi,kuna dada ali sup, lkn marks zilirekebishwa juu kwa juu bila ata ya Ku attend supplementary exam[emoji23] [emoji23]
4 kupanda vyeo maofisini(hasa private sector)
5 Au hata mkwamo wa aina yoyote ile uliotatuliwa kwa kutoa papi

Let's share!! Ndo kujifunza kwenyewe huku
 
Aisee.......
 
Hapana.....

Sema Kuna kaka mmoja alinisaidia sana kipindi fulani nimemaliza chuo naanza maisha yangu mpaka nikajijuta mimi mwenyewe ndo nataka anile kichwa. aliniambia chochote nachohitaji nimwambie nisiogope au niende kwake kuchukua....

Wakati hata haoneshi dalili za kuomba kipapa ndokwanzaaa ananiambia habari za demu wake....... Wifi yako Wifi yako mweh!

Nikajikuta tu nampenda na nilikua tayari kumpa kwakweli regardless the habari za wifi and he was very decent and understanding one

Cc Smart911
Hapa sijui kama.....
Wale wabakaji waelewe kuwa mwanamke siku zote anashukrani sana, kuliko kubaka bora umfanyie wema akushukuru mwenyewe
 
Duuh haijawai tokea kwangu!

Inabidi nijitathmini (ata sijui maana ya hili neno [emoji23][emoji23][emoji23])
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Duuh haijawai tokea kwangu!

Inabidi nijitathmini (ata sijui maana ya hili neno [emoji23][emoji23][emoji23])
Labda nikupe m interview haf naweza kksumbua mkuu
 
Kutoa penzi kwa mashart ni ujinga. Nilikuwa nimeajiriwa serikalini, huyu boss alinitesa ikawa kerooo, nikaamua kuandika barua niende masomoni nimkwepe huwezi amini hakuwai kupitisha barua yangu, nikienda halimashauri naambiwa mkuu wa kituo kwanza apitishe.

Alinifanyia visa vingi sana kazi za ziada napewa mm ili mradi tu nichelewe kutoka, ila kwa kuwa alikuwa MTU mzima alikuwa alazimishi, ananiambia kwa ustaarabu, anasisisitiza kha! Nilivyoona keroo nikaacha kazi kiroho safiii nikaenda shule. Sijutiii na maisha yanasonga.

Ahaaa maboss bana wote wabafanana baadae ya shule nikaanza kutafuta kazi tena kha! Huyu interview alitaka nimfate hotelin, sikwenda, akatoa offer twende nje ya nchi alikuwa anaenda kikazi, Nikablock. Kazi za watu ni mateso ila kama kazi ni yako unapata bila mashariti.

In short siwezi kutoa penzi kisa kazi bora ikose, mm sio mremavu nitafanya shughuri nyingine.
Mm kweli uliacha kazi na usawa huu
 
Hapana.....

Sema Kuna kaka mmoja alinisaidia sana kipindi fulani nimemaliza chuo naanza maisha yangu mpaka nikajijuta mimi mwenyewe ndo nataka anile kichwa. aliniambia chochote nachohitaji nimwambie nisiogope au niende kwake kuchukua....

Wakati hata haoneshi dalili za kuomba kipapa ndokwanzaaa ananiambia habari za demu wake....... Wifi yako Wifi yako mweh!

Nikajikuta tu nampenda na nilikua tayari kumpa kwakweli regardless the habari za wifi and he was very decent and understanding one

Cc Smart911
Mh Bahati hizo mwe
 
Safi sana umefunguka vizur xo kama hao wanachenga maelezo
 
Back
Top Bottom