Umewahi kupewa msaada kwa sharti la kutoa penzi?

Umewahi kupewa msaada kwa sharti la kutoa penzi?

kutoa penzi kwa Bosi ili upate kazi au uendelee kudumu kazini ni ujinga maana dhamana yako ni penzi na likiisha ina maana hauna kazi, thamani yako kama mwanamke inakua imeshuka mno hakuna kitu kibaya labda uko ndani ya ndoa mumeo ajue bosi wako anakumega hizo ndoa hua hazidumu huishia kuvunjika.
na wanawake wengi huambukizwa magonjwa hasa HIV kupitia mapenzi ya namna hii.
Kweli kabisa, hicho kitu sio cha kukubali hata siku moja na wala sio sifa halafu kama makazini wana tabia ya kaumbizana basi ni balaa, dada anakuja kushtuka kishatengeza chain ya kutosha tu.
 
Oooh basi jamaa alifaidi sana
Mkuu ulaji huu wa watoto wa kike ni aina flani ya ubakaji.

Binafsi siwezi kufanya upumbavu huu, huwezi tongoza hadi utumie cheo au utajiri?
Napenda penzi lilojaa huba, siwezi kutembea na msichana hadi nihakikishe nimejiona ndani ya moyo wake na wala sio yeye kuvutiwa na nilicho nacho au mimi kumtamani na kutumia hila za nafasi ya kazi au vinginevyo.

Tumeumbwa tofauti mno.
 
Habari za mapumziko wakuu!!
Uzi niliokuja nao Leo ni Je umewahi kutatuliwa matatizo yako na mtu usiyemjua au ata unayemjua kwa masharti ya kutoa penzi!!?
Hasa wanawake ni wahanga ktk hili!!
Ebu funguka ilikuwaje!!?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
7293664a33fbb43a1984450441155226.jpg
 
Madem wa siku hizi ni CHIPS YAI tu,ukimnunulia unabeba kilaiiiiiini tena bila masharti yoyoote[emoji1321]
 
Hapana.....

Sema Kuna kaka mmoja alinisaidia sana kipindi fulani nimemaliza chuo naanza maisha yangu mpaka nikajijuta mimi mwenyewe ndo nataka anile kichwa. aliniambia chochote nachohitaji nimwambie nisiogope au niende kwake kuchukua....

Wakati hata haoneshi dalili za kuomba kipapa ndokwanzaaa ananiambia habari za demu wake....... Wifi yako Wifi yako mweh!

Nikajikuta tu nampenda na nilikua tayari kumpa kwakweli regardless the habari za wifi and he was very decent and understanding one

Cc Smart911
 
Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi ya muda world vision, bosi Wangu alikua mama mchungaji decent sana ambaye mume wake alikua anaishi arusha, yule dada alikua mikausho sana ofisini na hazoeleki, kila jumanne nilienda nae store kufanya stocktaking, siku moja tumefika store tunakagua ghafla akanivuta kwenye magunia akaanza kunibambia huku tukidendeka nilishtuka ila nikaona kama ameanzisha acha nimpelekee tu moto, kuanzia siku ile tukawa kila tukifika store lazima nimbandue tuliendelea kimya kimya na hakuna aliyejua, cku moja akaniita kwake huko ndo nilienda kumfanyia laana nyonya sana hadi Makalio, mama mchungaji alichanganyikiwa hadi of is in I baadhi ya watu wakaanza kusanukia, hadi sasa sipo tena pale ila tunawasiliana.

ulimla tigo huyo mama mchungaji? kayaman
 
Mkuu ulaji huu wa watoto wa kike ni aina flani ya ubakaji.

Binafsi siwezi kufanya upumbavu huu, huwezi tongoza hadi utumie cheo au utajiri?
Napenda penzi lilojaa huba, siwezi kutembea na msichana hadi nihakikishe nimejiona ndani ya moyo wake na wala sio yeye kuvutiwa na nilicho nacho au mimi kumtamani na kutumia hila za nafasi ya kazi au vinginevyo.

Tumeumbwa tofauti mno.
Umenena vyema mkuu....
Ubinadamu umetoweka kwa sasa! Ukienda vyuoni unatamani kulia jinsi mabinti wanavyotumika na walimu ili mradi wapewe maksi nzuri!
 
Hapana.....

Sema Kuna kaka mmoja alinisaidia sana kipindi fulani nimemaliza chuo naanza maisha yangu mpaka nikajijuta mimi mwenyewe ndo nataka anile kichwa. aliniambia chochote nachohitaji nimwambie nisiogope au niende kwake kuchukua....

Wakati hata haoneshi dalili za kuomba kipapa ndokwanzaaa ananiambia habari za demu wake....... Wifi yako Wifi yako mweh!

Nikajikuta tu nampenda na nilikua tayari kumpa kwakweli regardless the habari za wifi and he was very decent and understanding one

Cc Smart911
Nyie ndo mnachangia sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenena vyema mkuu....
Ubinadamu umetoweka kwa sasa! Ukienda vyuoni unatamani kulia jinsi mabinti wanavyotumika na walimu ili mradi wapewe maksi nzuri!
So sad
Wakijitambua wataulinda utu wao
 
Uko sahihi mkuu!
Binafsi imewahi kunitokea nikiwa chuoni! Kuna mdada wa makamo nilikuwa namsaidia masomo hasa hesabu maana ndo ulikuwa ugonjwa kwake. Nikashangaa anang'ang'ana kuja kupajua ninapokaa!! Maana mi nilikuwanimepanga off compus, wakati yy anakaa hostel. Kumbe anataka kunizawadia papuchi bana!!!
Basi mapenzi ya mungu yakatimia[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Angalia sentesi yako ya Mwisho inaweza kuwa kufuru, sio nzuri!
 
Duuh haijawai tokea kwangu!

Inabidi nijitathmini (ata sijui maana ya hili neno [emoji23][emoji23][emoji23])
Tatizo Chura....

Ingekuwepo ungejionea kwa macho yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uko sahihi mkuu!
Binafsi imewahi kunitokea nikiwa chuoni! Kuna mdada wa makamo nilikuwa namsaidia masomo hasa hesabu maana ndo ulikuwa ugonjwa kwake. Nikashangaa anang'ang'ana kuja kupajua ninapokaa!! Maana mi nilikuwanimepanga off compus, wakati yy anakaa hostel. Kumbe anataka kunizawadia papuchi bana!!!
Basi mapenzi ya mungu yakatimia[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kama ni mapenzi ya mungu sawa. Ungesema mapenzi ya Mungu ningeshangaa sana
 
Back
Top Bottom