Umewahi kupewa msaada kwa sharti la kutoa penzi?

Umewahi kupewa msaada kwa sharti la kutoa penzi?

Uko sahihi mkuu!
Binafsi imewahi kunitokea nikiwa chuoni! Kuna mdada wa makamo nilikuwa namsaidia masomo hasa hesabu maana ndo ulikuwa ugonjwa kwake. Nikashangaa anang'ang'ana kuja kupajua ninapokaa!! Maana mi nilikuwanimepanga off compus, wakati yy anakaa hostel. Kumbe anataka kunizawadia papuchi bana!!!
Basi mapenzi ya mungu yakatimia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwanini unamtaja Mungu katika ufuska?!
 
Uko sahihi mkuu!
Binafsi imewahi kunitokea nikiwa chuoni! Kuna mdada wa makamo nilikuwa namsaidia masomo hasa hesabu maana ndo ulikuwa ugonjwa kwake. Nikashangaa anang'ang'ana kuja kupajua ninapokaa!! Maana mi nilikuwanimepanga off compus, wakati yy anakaa hostel. Kumbe anataka kunizawadia papuchi bana!!!
Basi mapenzi ya mungu yakatimia[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hehehehe...eti mapenzi ya mungu yakatimia..mkuu ayo yalikuwa mapenzi ya ibilisi
 
Wapi? Kufanjaje? Au unagawa chura weye?
[quote uid=200158 name="Nokia83" post=24775210]Kama jana usiku umeipata vzr asbh huwezi kupata hamu kali hivyo kwa maandishi tu [emoji3][emoji3][emoji3][/QUOTE]<br />Si kweli!!! Wengine tuna uchu wa fisi [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii umeandika mahali hebu njoo nikushauri
 
Kiukweli sana nategemea hii mada iende hadi page 50,ila kwa jinsi/staili ile ile ya wanaume wengi kusema kila mtu ana hogo...ndo staili ile ile ya wanawake kusema walimchomolea bosi kuwataka kimapenzi wakati anatafuta kazi...
Pia kumbukeni hata suala la kupanda cheo au kuongezewa mshahara au hata kupewa/kuchaguliwa nafsi ya kwenda masomoni wee funguka tuu kwani si yalishapita....mbona kawaida tuu hapa hakuna anekujua na wala hulazimishwi kutaja eneo gani au kumtaja mtu...
 
Kwenye suala la ajira upande wa wanawake ipo sana hii changamoto inasikitisha.

Me na ukauzu wangu huu na bado walikua wanarusha ndoano sipati kusema hao warembo wana hali gani.
Kuna mmoja huyo ndugu yangu kbs cousin bro daah sitasahau alichezea kichapo kwa ma broo mpk akili ilimkaa sawa.

Nimeamua tu kua konda nisukumane na wanafunzi, freeeeesh.
 
Kutoa penzi kwa mashart ni ujinga. Nilikuwa nimeajiriwa serikalini, huyu boss alinitesa ikawa kerooo, nikaamua kuandika barua niende masomoni nimkwepe huwezi amini hakuwai kupitisha barua yangu, nikienda halimashauri naambiwa mkuu wa kituo kwanza apitishe.

Alinifanyia visa vingi sana kazi za ziada napewa mm ili mradi tu nichelewe kutoka, ila kwa kuwa alikuwa MTU mzima alikuwa alazimishi, ananiambia kwa ustaarabu, anasisisitiza kha! Nilivyoona keroo nikaacha kazi kiroho safiii nikaenda shule. Sijutiii na maisha yanasonga.

Ahaaa maboss bana wote wabafanana baadae ya shule nikaanza kutafuta kazi tena kha! Huyu interview alitaka nimfate hotelin, sikwenda, akatoa offer twende nje ya nchi alikuwa anaenda kikazi, Nikablock. Kazi za watu ni mateso ila kama kazi ni yako unapata bila mashariti.

In short siwezi kutoa penzi kisa kazi bora ikose, mm sio mremavu nitafanya shughuri nyingine.
Na hiyo nafasi ya kwenda kusoma uliipataje?
Unajua kugawa penzi ni kawaida sana sema kwa wanawake huwa anapenda kugawa penzi kwa Mtu anaempenda then anatafuta sababu za kumpa penzi....BUT Ni kawaida sana tuu bibie Au hata kwenye elimu ili upasue.. usikamatwe..
 
Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi ya muda world vision, bosi Wangu alikua mama mchungaji decent sana ambaye mume wake alikua anaishi arusha, yule dada alikua mikausho sana ofisini na hazoeleki, kila jumanne nilienda nae store kufanya stocktaking, siku moja tumefika store tunakagua ghafla akanivuta kwenye magunia akaanza kunibambia huku tukidendeka nilishtuka ila nikaona kama ameanzisha acha nimpelekee tu moto, kuanzia siku ile tukawa kila tukifika store lazima nimbandue tuliendelea kimya kimya na hakuna aliyejua, cku moja akaniita kwake huko ndo nilienda kumfanyia laana nyonya sana hadi Makalio, mama mchungaji alichanganyikiwa hadi of is in I baadhi ya watu wakaanza kusanukia, hadi sasa sipo tena pale ila tunawasiliana.
Hii comment ndo itakuwa replied kuliko zote humu... Inshort mada imefia hapa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hongera mkuu! Neema za Allah hizo
 
[quote uid=200158 name="Nokia83" post=24775210]Kama jana usiku umeipata vzr asbh huwezi kupata hamu kali hivyo kwa maandishi tu [emoji3][emoji3][emoji3]
<br />Si kweli!!! Wengine tuna uchu wa fisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii umeandika mahali hebu njoo nikushauri[/QUOTE]
Acha umbea!!! [emoji19] [emoji19]
 
Kutoa penzi kwa mashart ni ujinga. Nilikuwa nimeajiriwa serikalini, huyu boss alinitesa ikawa kerooo, nikaamua kuandika barua niende masomoni nimkwepe huwezi amini hakuwai kupitisha barua yangu, nikienda halimashauri naambiwa mkuu wa kituo kwanza apitishe.

Alinifanyia visa vingi sana kazi za ziada napewa mm ili mradi tu nichelewe kutoka, ila kwa kuwa alikuwa MTU mzima alikuwa alazimishi, ananiambia kwa ustaarabu, anasisisitiza kha! Nilivyoona keroo nikaacha kazi kiroho safiii nikaenda shule. Sijutiii na maisha yanasonga.

Ahaaa maboss bana wote wabafanana baadae ya shule nikaanza kutafuta kazi tena kha! Huyu interview alitaka nimfate hotelin, sikwenda, akatoa offer twende nje ya nchi alikuwa anaenda kikazi, Nikablock. Kazi za watu ni mateso ila kama kazi ni yako unapata bila mashariti.

In short siwezi kutoa penzi kisa kazi bora ikose, mm sio mremavu nitafanya shughuri nyingine.
na hata ungeweza.... usingetangaza hapa....

history always written by winners.
acha tukuamini tu dada
 
<br />Si kweli!!! Wengine tuna uchu wa fisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii umeandika mahali hebu njoo nikushauri
Acha umbea!!! [emoji19] [emoji19][/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukweli ni umbea
 
Ni vigumu sana kwa wadada kufunguka hapa ingekuwa ya men thread ingekuwa page 100 now
 
Back
Top Bottom