mtoto1980
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 534
- 528
Pole sana bibie ndo maisha hayoHili ni janga kubwa sana hasa kwa wanawake october nilikua namuuguza mama yangu muhimbili ambae anasumbuliwa na canser ya ini nikakutana na DR mmoja akaonyesha kunihurumia sana cha kwanza ni mtoto pekee halafu umri nilionao kuzunguka na mgonjwa kwenye vipimo kiukweli alinisaidia mnoo sasa mwishoni nampa asante na kumwambia kesho yake ningefata majibu ya mwisho ananiambia tuonane saa mbili usiku nikamjibu ni ngumu siezi jamani yale majibu nilipata baada ya week mbili Na akaniambie yeye kaanza likizo nitafute mtu wa kunisaidia vipimo vingine kwenye systm havipo tukaanza pima upya nilikoma kikweli[emoji134][emoji134][emoji27][emoji27]