NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
Habari za mapumziko wakuu,
Uzi niliokuja nao leo ni je umewahi kutatuliwa matatizo yako na mtu usiyemjua au ata unayemjua kwa masharti ya kutoa penzi?
Hasa wanawake ni wahanga katika hili.
Ebu funguka ilikuwaje?
Uzi niliokuja nao leo ni je umewahi kutatuliwa matatizo yako na mtu usiyemjua au ata unayemjua kwa masharti ya kutoa penzi?
Hasa wanawake ni wahanga katika hili.
Ebu funguka ilikuwaje?