Umewahi kupewa msaada kwa sharti la kutoa penzi?

Umenena vyema mkuu....
Ubinadamu umetoweka kwa sasa! Ukienda vyuoni unatamani kulia jinsi mabinti wanavyotumika na walimu ili mradi wapewe maksi nzuri!
Mkuu ukijua mtu wako aliwahi fanya hivyo ni kumuacha tu. Maana akienda kazini si ndio mwendo ule ule.
 
Watu wanaliwa kimyakimya hawasemi,usicheze na njaa...uzuri ni kwamba ule mchezo ni wa siri...kwahiyo Kwa hapa jukwaani anaweza kutoa povu Kwa kujisifu msimamo but in other way around kaliwa na analiwa...mifano ipo mingi ila kwakua sio ustaarabu kuanikana ngoja nivunge.
 
Kipindi nafanya kazi za watu kuna boss wangu mhindi alinitunuku tigo, nilivyokataa asee nilifanyiwa ukatili balaa
 
Uko sahihi mkuu!
Binafsi imewahi kunitokea nikiwa chuoni! Kuna mdada wa makamo nilikuwa namsaidia masomo hasa hesabu maana ndo ulikuwa ugonjwa kwake. Nikashangaa anang'ang'ana kuja kupajua ninapokaa!! Maana mi nilikuwanimepanga off compus, wakati yy anakaa hostel. Kumbe anataka kunizawadia papuchi bana!!!
Basi mapenzi ya mungu yakatimia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
"Mapenzi ya nani?" Wewe jamaa wewe! Watanie sisiemu, usimtania Mungu. Just a joke!
 
Kipindi nafanya kazi za watu kuna boss wangu mhindi alinitunuku tigo, nilivyokataa asee nilifanyiwa ukatili balaa
Alitaka kukupa ndogo! Au sijaelewa huyo boss wa kike ama wa kiume!!?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kutoa penzi kwa mashart ni ujinga. Nilikuwa nimeajiriwa serikalini, huyu boss alinitesa ikawa kerooo, nikaamua kuandika barua niende masomoni nimkwepe huwezi amini hakuwai kupitisha barua yangu, nikienda halimashauri naambiwa mkuu wa kituo kwanza apitishe.

Alinifanyia visa vingi sana kazi za ziada napewa mm ili mradi tu nichelewe kutoka, ila kwa kuwa alikuwa MTU mzima alikuwa alazimishi, ananiambia kwa ustaarabu, anasisisitiza kha! Nilivyoona keroo nikaacha kazi kiroho safiii nikaenda shule. Sijutiii na maisha yanasonga.

Ahaaa maboss bana wote wabafanana baadae ya shule nikaanza kutafuta kazi tena kha! Huyu interview alitaka nimfate hotelin, sikwenda, akatoa offer twende nje ya nchi alikuwa anaenda kikazi, Nikablock. Kazi za watu ni mateso ila kama kazi ni yako unapata bila mashariti.

In short siwezi kutoa penzi kisa kazi bora ikose, mm sio mremavu nitafanya shughuri nyingine.
mhhhh labda mwenzetu udongo ulio bora wote Mungu alikupatia wewe. mbona unapata tabu sana. but simamia misimamo yako na Mungu alie juu atakuepusha na kukusaidia. All the best 🙂🙂
 
Sasa huyu bosi utakutana nae siku moja akiwa amestaafu halafu kafata mafao yake halafu ww ndio inatakiwa kusaini

Adhabu yake mwambie aje gesti atajua unaenda kumpa mzigo then mtafute mbwa jike afanye nae la sivyo mafao hapati....
 
Ahaaa hii ni adhabu mkuu

ahaaa
 
Ulimgegeda lakini??
NO! NO! that was not my bande-annonce. Nimeandika kilichofanyika na ningependa sana tuelimishane kwa faida yetu. Si unajua tunapokuwa anonymous tunasema kweli? Tatizo pamoja na anonymity hii bado watu wanatunga hadithi.
Ni raha unapoahangaika kidogo. Nawe sumbua kidogo halafu uone siku ya siku kama mtu hatapata kifafa cha ngono.

Btw. kwa nini unasema 'ulimgegeda'? ni kugegedana! Asiwepo anayefanyiwa kitendo. Wote si tunafanya kitendo?
 
Siwez kukualzimisha kukubali,,kuisitiri kampun siwez taja jina ,, ofisi ilikuwa mbez beach karib na njia panda ya tangibovu...ilikuwa mwaka 2012.
Naomba niamini kwamba umesema kweli lakini hilo ndo kosa linalofanywa na akina dada. Kwa nini uonyeshe umekubali wakati akili yako haikubali? Why pretend? Najua hakuna umoja ktk maamuzi kama hayo, maana wewe utagoma mwenzio anakubali na kuchukuwa nafasi lakini, kila mtu ana thamani yake.
 
Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi ya muda world vision, bosi Wangu alikua mama mchungaji decent sana ambaye mume wake alikua anaishi arusha, yule dada alikua mikausho sana ofisini na hazoeleki, kila jumanne nilienda nae store kufanya stocktaking, siku moja tumefika store tunakagua ghafla akanivuta kwenye magunia akaanza kunibambia huku tukidendeka nilishtuka ila nikaona kama ameanzisha acha nimpelekee tu moto, kuanzia siku ile tukawa kila tukifika store lazima nimbandue tuliendelea kimya kimya na hakuna aliyejua, cku moja akaniita kwake huko ndo nilienda kumfanyia laana nyonya sana hadi Makalio, mama mchungaji alichanganyikiwa hadi of is in I baadhi ya watu wakaanza kusanukia, hadi sasa sipo tena pale ila tunawasiliana.
Yaani hata akipita mume wake lazima akili zitamrudia tu.
 
Kutoa penzi kwa mashart ni ujinga. Nilikuwa nimeajiriwa serikalini, huyu boss alinitesa ikawa kerooo, nikaamua kuandika barua niende masomoni nimkwepe huwezi amini hakuwai kupitisha barua yangu, nikienda halimashauri naambiwa mkuu wa kituo kwanza apitishe.

Alinifanyia visa vingi sana kazi za ziada napewa mm ili mradi tu nichelewe kutoka, ila kwa kuwa alikuwa MTU mzima alikuwa alazimishi, ananiambia kwa ustaarabu, anasisisitiza kha! Nilivyoona keroo nikaacha kazi kiroho safiii nikaenda shule. Sijutiii na maisha yanasonga.

Ahaaa maboss bana wote wabafanana baadae ya shule nikaanza kutafuta kazi tena kha! Huyu interview alitaka nimfate hotelin, sikwenda, akatoa offer twende nje ya nchi alikuwa anaenda kikazi, Nikablock. Kazi za watu ni mateso ila kama kazi ni yako unapata bila mashariti.

In short siwezi kutoa penzi kisa kazi bora ikose, mm sio mremavu nitafanya shughuri nyingine.
Nimesikia habari za Trump sasa hivi, wa-US wakikumbuka habari za nyuma, nami nikakumbuka tena hii hadithi yako. Inaonekana ladies munajipa udhaifu bila sababu. Sasa hivi ndo wanadada wa US wanajitokeza kusema matatizo yaliyowapata kwa Trump. Sababu kubwa wanasema wakati ule alikuwa mtu maarufu ambaye walidhani hawatakuwa na ubavu wa kumpata kisheria. It's always like that. wale aliowapata hawatasema, ng'o!
 
Hili ni janga kubwa sana hasa kwa wanawake october nilikua namuuguza mama yangu muhimbili ambae anasumbuliwa na canser ya ini nikakutana na DR mmoja akaonyesha kunihurumia sana cha kwanza ni mtoto pekee halafu umri nilionao kuzunguka na mgonjwa kwenye vipimo kiukweli alinisaidia mnoo sasa mwishoni nampa asante na kumwambia kesho yake ningefata majibu ya mwisho ananiambia tuonane saa mbili usiku nikamjibu ni ngumu siezi jamani yale majibu nilipata baada ya week mbili Na akaniambie yeye kaanza likizo nitafute mtu wa kunisaidia vipimo vingine kwenye systm havipo tukaanza pima upya nilikoma kikweli[emoji134][emoji134][emoji27][emoji27]
 
Back
Top Bottom