Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wee tuheshimiane ni kaka angu huyo
Nina baby mmoja tyuu!! Yupo pembeni hapa anakoroma ana hasira Taifa stars imefungwa
Hivi wewe umelogwa au? Toka lini umeanza hiyo tabia! Eti ipi! Si hiyo ya kuwa unalala na watu usiowajua?!
 
Itakuwa umelewa
 
Nimekuja kusikia kuna maokoto yanamwagwa huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tayana unaniboa sana ujue??
Pm kwanza umefungua tajiri aingie??
Unachezea bahati afu baadae unamsumbua Mwakasege akuombee
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Mbavu zangu, kwenye kumsumbua mtumishi hapo SasaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shem tunaye!!
Jpili akienda mnadani mwambie aninunulie cap ya Manchester nataka nimpe Kantry zawadi ya bday yake!! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…