Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
🤣🤣🤣🤣 si ndo hapo??Tutaweka wapi sura zetu.....kwann anafanya hivyo
Sema km wote wamepotea ghafla siwaoni!!
Itakuwa wako piem hawa 😂😂
🤣🤣🤣🤣 si ndo hapo??Tutaweka wapi sura zetu.....kwann anafanya hivyo
Wafungwe 🤣🤣🤣🤣Mfyuuu!! Mshendwweee!☺️
Wivu tu. 10% kamisheni hata kwenye mambo ya wakubwa. Dah shem huyoosi ndo hapo??
Sema km wote wamepotea ghafla siwaoni!!
Itakuwa wako piem hawa![]()


Mlijifungia piem 😂😂😂Wivu tu. 10% kamisheni hata kwenye mambo ya wakubwa. Dah shem huyoo![]()
Vaa tu skonkonko zako wiiHapana wizoo
Hizo si unavaa unaenda maeneo maalumu, kwahiyo hutwmbei kihivyoo

Dah. Ukweli nimemuelewa sana. Tatizo wewe utaongea sana. Tuache tuMlijifungia piem![]()
Wambea tuone wivu 😁😁😁🤣🤣🤣!Tulingishieni picha wapendwa wambea tuone wivu🙇🏿
Mshana huyu tunayemfahamu?Hivi, Mshana Jr ,saa moja kasolo, na mada hii,alilala wapi? Na nani? Wakifanya nini? Ili iweje? Badae kitatokea nini? Wazazi wa alielala nae wanajua mtoto wao alikuwa wapi( mtoa mada mwenyewe simuongelei alishashindikana hadi kufukuzwa kwao).
Wakati anawaza haya,alikuwa amevaa nini yeye? Mpaka anaandika,alikuwa anajisikiaje? Nakaona kwa mbali amesimama mbele ya kioo mwenzie amelala anapigwa picha bila kujua.

We acha tu. Kuna ka mada hapo kaandika isije ikawa na mi nimo,ila ni huyo huyo.Mshana huyu tunayemfahamu?![]()
Af sasa,anawaponda wasio na adabu wala stara,ila na yeye kashusha lyrics za matusi hapo! Dah! Angekuwa karibu na mtu angemlamba mitamaWe acha tu. Kuna ka mada hapo kaandika isije ikawa na mi nimo,ila ni huyo huyo.
Utakosa vipi sasa kwenye ile thread ya "changua kwa heshima"?We acha tu. Kuna ka mada hapo kaandika isije ikawa na mi nimo,ila ni huyo huyo.
We uwe karibu ntakapokimbizwa umshike. Vinginevyo ntammalizaUtakosa vipi sasa kwenye ile thread ya "changua kwa heshima"?
Lazima uangukie kwenye yale makundi 3 aliyozungumza
Amekugusa peenyewe?Af sasa,anawaponda wasio na adabu wala stara,ila na yeye kashusha lyrics za matusi hapo! Dah! Angekuwa karibu na mtu angemlamba mitama
Hivi Mshana Jr ,huwezi ukapiga magoti hapa ukaombewa?
Hivi, Mshana Jr ,saa moja kasolo, na mada hii,alilala wapi? Na nani? Wakifanya nini? Ili iweje? Badae kitatokea nini? Wazazi wa alielala nae wanajua mtoto wao alikuwa wapi....Hivi, Mshana Jr ,saa moja kasolo, na mada hii,alilala wapi? Na nani? Wakifanya nini? Ili iweje? Badae kitatokea nini? Wazazi wa alielala nae wanajua mtoto wao alikuwa wapi( mtoa mada mwenyewe simuongelei alishashindikana hadi kufukuzwa kwao).
Wakati anawaza haya,alikuwa amevaa nini yeye? Mpaka anaandika,alikuwa anajisikiaje? Nakaona kwa mbali amesimama mbele ya kioo mwenzie amelala anapigwa picha bila kujua.


