Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Mbona naona mkeka mrefu huu kubetAtakayewahi ndo mshindi
Hatutaki maneno tupu
Mbona naona mkeka mrefu huu kubetAtakayewahi ndo mshindi
Hatutaki maneno tupu
Nilikuwa nmeshaanza kuimba IM SINGLE AGAINNiko hapaa nimejaa teleeee,![]()
Najua ww wakishua kaa kushotocazee mie sitakii, khaaah
Wewe weka dau kubwa mkeka utiki 🤣🤣🤣Mbona naona mkeka mrefu huu kubet
Hebu aweke mahitaji yote asisahau hela ya mafuta na lunchWewe weka dau kubwa mkeka utiki![]()
Basi tuliaKabisa,mke mtarajiwa lazima apate challenge kidogo sio aonekane yeye mrembo pekee kuwashinda.
ThubutuuuuTupo ila camera zimegoma 😂😂😂
🤐🤐🤐Basi tulia
Jomoni mbona sikuona khaaaa🤣Hivi Tayana-wog huyu mdau humuoni au kusudi? 😂😂😂
Mpe lipa namba au boot tyr ushapata??
Oyooooooo!!! We Tayana-wog emu njoo kimbia!!Hebu aweke mahitaji yote asisahau hela ya mafuta na lunch
Kuswampa kwako tutakosa pesa 🤣🤣🤣Jomoni mbona sikuona khaaaa🤣
Au mchukukie tu.
Rainbow in my veinDr upo vizuri
Ila nimecheka hizo kacha zako zina rangi tatanishi![]()

