Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kumbe humu mwanzoni watu walikua wanajitambulisha kwa sura zao. Ohoo

Huu uzi usiuchukulie that siriaz, watu tupo apa kupoteza muda na kuhave fun maana uko kwenye real life huo muda hatupati 🤝
🤝Shida inaanziaga hapa watu kuchukulia vitu vya hapa seriously
Kumbe watu ht hatujuani tunapunguza stress tu.
Na ht hatuogopi kuweka picha na sura,Huwa tunaweka vzr tu
 
Nimeambiwa nzi hana sumu 🤦

704CFEF3-BE88-472A-AB38-AA0BB7F0F6A1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom