Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,009
- 45,723
ππππππππ kaka muddy umetokelezea afu body kali!! Unanyanyua na chuma eee?!!
Macho yanadanganya wewe hata Hawa kwenye bustani ya Eden alipoliangalia lile tunda kwa macho yake akalitamani na akalichuma na kulila hapo hapo akasababisha dhambi ambayo mpaka leo inautesa huu ulimwengu. Shauri zako πππ