Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
Tatizo lako moja tunaposhindwana me na wewe, ukipata mpunga simu zangu hupokei 😂😂😂😅Nakuaminia bebe Kwa kusimamia show
Una seat yako heaven
Tatizo lako moja tunaposhindwana me na wewe, ukipata mpunga simu zangu hupokei 😂😂😂😅Nakuaminia bebe Kwa kusimamia show
Una seat yako heaven
Hahahaaa🤣🤣🤣Lamomy anauliza ana Hela?
Hiyo ya kawaida si ndo za sie tusio na miguu ya bia au🤣
Tutakuwa tunapoteza muda!
Mambo ya kurudishiana pesa au kuomba kubadilisha saa ngapi?!!
We kabila gani? Hebu mtumie kibunda![]()
Huyo mieee!!
Mgambo wa wapiii huyuu?
Na Gugo😁!Kwa kweli uzee ushapiga hodi hii picha kwa msaada wa Snapchat😁😁🧐
Kasema wanaume mje mninunulie kiatu, yani mumpe pesa ya kiatu!!But ametaka kiatu
NapoteaTatizo lako moja tunaposhindwana me na wewe, ukipata mpunga simu zangu hupokei 😂😂😂
Ulitupia!!!!????Soon nataka nikubless urareee unonoo
Iam quite fine, hope everything is going well on your side dude![]()

Unajifanyaga una mambo mengi wewe ukishapokea kibunda!!! Mara niko Mwanza kwenye kongamano simu haziruhusiwi!!Napotea
Yaani nishakua taoeli jmn🤣🤣
Unanichukulia poa eeh!!???Kamanda tunaomba hata picha ya kidole,pic halisi sio hiyo ya combat...kidole hiko chenye wedding ring binadamu wengine wapate wivu kuwavesha watu wao wa karibu😅
Kasema wanaume mje mninunulie kiatu, yani mumpe pesa ya kiatu!!
Sio mkanunue mumtumie!
Afu mbona CAPTO hiyo pesa unaanza utata?! Me nakuonaga mzungu hizo mambo kwako ndogo sana!! Hebu mwambie Tayana akupe account umuingizie mpunga huo![]()
Eeee nani tena huyu?! 😍😍😍
Kikorea kina panda siku hizi 🙄, au Mpaka utembee na dictionary.Alhamdulillah mzee, tupo tu![]()
Tayana-wog nilikwambia toka mapema 😂😂😂Oooh she wanted money? Oooh sorry can’t do that, cause i am broke
Udugu nilivyoona ile pic yako nikajua ndio umetoka kumkamata ankol maba 🤣🤣🤣Unanichukulia poa eeh!!???
Nivile Kamera yangu imeharibika tu!🚶🏻♀️
Siwezi kukuchukulia poa madame rafiki.Unanichukulia poa eeh!!???
Nivile Kamera yangu imeharibika tu!🚶🏻♀️
Unataka ugundue nini mfyuu ☺️Siwezi kukuchukulia poa madame rafiki.
Kwahiyo hata zile ya thread ya selfie ya zamani huna ?
😁😁😁😁😁😁😁 Ngoja badae nikuwekee ya kikamanda niloweka pozi😂Udugu nilivyoona ile pic yako nikajua ndio umetoka kumkamata ankol maba 🤣🤣🤣