Siyo umejisahau badala ya pepo ukaandika popo? Uliamka ukafanyeje?Jf kuna popo wengi 🤣🤣🤣
Imanjini nimeamka kusali sasa usingizi umekata, nikasema nichungulie lol! Nusu ya member wako online 😂😂😂
Utasema ni wanga
Relax,unataka uambiwe kuwa tuko mapumziko baada ya round kadhaa..!!??Zulu na ms eyes nyie couple mnaacha kukumbatiana mko busy kutoa like za vicheko 😂😂😂😂
Watoto mnatafuta saa ngapi?!
Popo 😂😂😂Siyo umejisahau badala ya pepo ukaandika popo? Uliamka ukafanyeje?
Dahhh aise! Kweli kabisaaa! Umewasha taa ukatoka nje kusali?
Zulu hamnamo. Betri iliishiwa chaji. Labdaaa, ngoja tuoneZulu na ms eyes nyie couple mnaacha kukumbatiana mko busy kutoa like za vicheko 😂😂😂😂
Watoto mnatafuta saa ngapi?!
Basi hakuna mnachokifanya!!Relax,unataka uambiwe kuwa tuko mapumziko baada ya round kadhaa..!!??
Ndo ujue ma wifi na mashem wote vicheche. Kwa hiyo,ile juice yote umemmpa achukue?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Popo 😂😂😂
Kusali nitoke nje? Nimeshuka kitandani nimepiga magoti nimesali.
Nilivyomaliza nikaona usingizi umenigomea nikaamua nichungulie jf, nakuta watu km wote wako online!!
Sasa najiuliza wanalala saa ngapi?
Itakuwa 😂😂😂Zulu hamnamo. Betri iliishiwa chaji. Labdaaa, ngoja tuone
Mamaa ana boost robot d*ck machine🤣Zulu hamnamo. Betri iliishiwa chaji. Labdaaa, ngoja tuone
Juice ipi?Ndo ujue ma wifi na mashem wote vicheche. Kwa hiyo,ile juice yote umemmpa achukue?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwamba hujaona umetafutwa kutwa nzima bila mafanikio?Juice ipi?
Akikuletea malalamiko zulu hapumziki usimsikilize tafadhali🤣,nimenyanyasika 2 years bila kuipata hii kitu.Basi hakuna mnachokifanya!!
Show yenu ya kichovu mpk mnapata na muda wa kuja huku?!!
Hapo mashangazi watakuja ma lazy 😂😂😂
Sijakwepa rafiki.
Nani alikua ananitafuta?Kwamba hujaona umetafutwa kutwa nzima bila mafanikio?
Tengua kauli Lamomy anataka vyake na yeyeSijakwepa rafiki.
😂😂😂😂Akikuletea malalamiko zulu hapumziki usimsikilize tafadhali🤣,nimenyanyasika 2 years bila kuipata hii kitu.