cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,379
- 188,094
Cazeee kwann lakini? [emoji23][emoji23][emoji23]Najua ww wakishua kaa kushoto
Cazeee kwann lakini? [emoji23][emoji23][emoji23]Najua ww wakishua kaa kushoto
Rangi ya Peponi.
Ewaaaah Dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilijua tyuuu!!
Mpe salamuuu pia, [emoji8][emoji8]
HahahahahahaHee. Nimestuka inamaana kumbe tunapigwa na fotoshop? Nimeibiwa tayari
[emoji2296]Hahahahahaha
Uolewe hizi akili unamiliki hazitoshi,ukatumie za mumeoEwaaaah Dear
[emoji304] 4reverrrrrrrrr!!!!
Kwani mtu hawezi ota?Itakuwa umelewa
Ndo unaenda kwa mganga au kwa mchepuko! Si umechelewa sasa!? We si uliambiwa usipande chombo chochote na usisalimiane na mtu?!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndo unaenda kwa mganga au kwa mchepuko! Si umechelewa sasa!? We si uliambiwa usipande chombo chochote na usisalimiane na mtu?!
Dafuu
Wewe! Umeshaamka? Maana taarifa zilizotufikia ni kwamba mida ile ndo ulikuwa unagonga geti,af unatudanganya umeamka kusali🤣🤣🤣Jf kuna popo wengi 🤣🤣🤣
Imajini nimeamka kusali sasa usingizi umekata, nikasema nichungulie lol! Nusu ya member wako online 😂😂😂
Utasema ni wanga
Wewe! Umeshaamka? Maana taarifa zilizotufikia ni kwamba mida ile ndo ulikuwa unagonga geti,af unatudanganya umeamka kasali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Demi ,itikia beeee chali wangu. Hapa mtaani knimeona supu ya miguu ya kuku njoo tudowee basi. Wahi.Itakuwa umelewa
😂😂Mwambie arudie mm sijaonaila Wii wewe kiboko 😂😂We kifua chako mbona km kuna tunyonyo 😂😂😂
Mwanza Baridi nimevaa sweta kabisa na nimepata flue