Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,564
Hahaha watu watatufungulia Uzi🤣Watajua hao watu wanatoa pesa!!
Ila sie tutawaponza watu na masihara yetu 😂😂😂
Wnaona tunafaidi
Hahaha watu watatufungulia Uzi🤣Watajua hao watu wanatoa pesa!!
Ila sie tutawaponza watu na masihara yetu 😂😂😂
Shooo km shooo boss lady2023 February Zulu man
Ebhanaeeeee duh japo sijaitwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋😋😋😋😋
Kuna watu nimewapa chai kwenye uzi mmoja, wote wananisumbua niwape hiyo connection nakufa kucheka 😂😂😂😂Hahaha watu watatufungulia Uzi🤣
Wnaona tunafaidi
Ila weweKuna watu nimewapa chai kwenye uzi mmoja, wote wananisumbua niwape hiyo connection nakufa kucheka 😂😂😂😂
Kutoa "like" pekee umeona leo haitoshi🤣Ebhanaeeeee duh japo sijaitwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋😋😋😋😋
Sema bidada inaonekana mtu akizingua unatandika makonzi ebhanaeeeee doooh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥2023 February Zulu man
Na mimi naitaka ile chai ila nimeuchuna tu😎Kuna watu nimewapa chai kwenye uzi mmoja, wote wananisumbua niwape hiyo connection nakufa kucheka 😂😂😂😂
Hakujui huyo eeh🤣Unanichukulia poa eeh!!???
Nivile Kamera yangu imeharibika tu!🚶🏻♀️
Wa kuhusu WhatsApp Gb 🤣🤣🤣Ila wewe
Uzi gani huo niende🤣🤣🤣
Umenishinda tabia🤣🏃🏃🏃Wa kuhusu WhatsApp Gb 🤣🤣🤣
Yani Piem Ingekuwa wazi ningejuta
Ulikuwa unazuga 🤣🤣🤣Na mimi naitaka ile chai ila nimeuchuna tu😎
SecondedAtume pesa tuagize wenyewe bhana!!
Akileta vikitubana? Si unajua size za viatu hazieleweki utashangaa normal cut au big cut!!! Yeye atoe mpunga
Asubilie pic boot ikiwa imevaliwa
🤣 niko nafanya tafiti ya watu wa kufika kwenye harusi yanguHakujui huyo eeh🤣
Nasubiri pic yako ya leo hapa 😂😂😂Sema bidada inaonekana mtu akizingua unatandika makonzi ebhanaeeeee doooh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ahsante,sitaki laana ya vitu za wamama wa watu wangu wa karibu🤣Ulikuwa unazuga 🤣🤣🤣
Ninayo kweli connection ooh!!
Sema utumiwe
Halafu kumbe jirani upo humu Jf na husemi? Kumbe hii ndio ID yako eeh?Unanichukulia poa eeh mfyuuu!!
Today 21/11/2023