Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Khaahhh wewe na Demi mlitafutwa sana. Sasa,wakati mnatoka tuliwaona na vikombe vya juice. Vikubwa hivyoooo kama diabaaaa. Basi, tukapita mitaa ile,sauti yako ikasikika unamwambia mtu eti chukuwa yote. Tukajua ni ile juice. Badae tena,eti unaniuaaaa. Si tukasema hii murder case sasa! Tukasepa
 
Haya usiku mwema narudi kulala
Muwe na usiku mnono
Wachawi mrudi majumbani, kunakaribia kukucha 😂😂😂😂
 
Aliyekuroga kafa
 
Haya usiku mwema narudi kulala
Muwe na usiku mnono
Wachawi mrudi majumbani, kunakaribia kukucha 😂😂😂😂
Ila kumbuka pia kuna mdau anadai sijui vitu ngapi 12 alinunua,changieni kurudisha sasa
 
Khaahhh wewe na Demi mlitafutwa sana. Sasa,wakati mnatoka tuliwaona na vikombe vya juice. Vikubwa hivyoooo kama diabaaaa. Basi, tukapita mitaa ile,sauti yako ikasikika unamwambia mtu eti chukuwa yote. Tukajua ni ile juice. Badae tena,eti unaniuaaaa. Si tukasema hii murder case sasa! Tukasepa
Juice yenyewe ni hii?
IMG-20231121-WA0007.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom