Ya inawezakana,Na naamini utafanikiwa.
Non fiction kwakweli huwa ndio Napendelea sana,Self help book vipo vyema sana.
Mimi huwa nikikutana na Mtu anataka kuanza utamaduni wa kusoma vitabu huwa namwambie ni nzuri kuanza na Self help book kama vile The Magic of thinking big,You can Win,Thinking,Fast,& Slow,No Excuses na mfanono wa hivyo kisha unatafuta vitabu vya field yako au unavyoona vinakufaa kwa Wakati huo.
Kuna Noah harari kitabu chake hasa cha historia ya Ulimwengu Homo sapiens kipo vizuri sana ,au vitabu vya historia Ya Mtu mweusi.
Kunawaandishi wa vitabu wapo vizuri sana wanavutia na kusisimua.
Japo wengine tunaweza kusema vitabu vinavyotia chumvi ndio huwa vinapata mauzo na kupendwa na Wengi.
Kwa mfano kitabu cha Rich Dad Poor dad by Robert kuna guru mmoja alisema kwa kiasi kikubwa kitabu ni Fiction ila kimepozi kama Non fiction na kina Wrong Ideas,Bad &Dangerous Idea.
Lakini Kuna watu wanasoma vitabu ni balaa tupu,
Nadhani kuwa na Mwongozo kwa wasomaji wazuri ni nzuri zaiidi ilikupata kusoma vitabu bora kabisa.
Sent using
Jamii Forums mobile app