Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

I can't Meet Some People So I Read Their Book.

Mwaka Umekuwa bora kwa Upande wa Usomaji vitabu kwa Upande Wangu.
Book's are good company in solid times & Happy Times.

Baadhi ya vitabu vichache nilivyopata kusoma 2018.
1.A Brief History of Tommorow By Noah Harari.
2.Homo Sapiens by Noah Harari.
3.12 Rules for Life by Jordan Peterson.
4.Zero to One by Peter Thiel.
5.The Learn Startup by Eric Ries.
6.Philosophy of Sex.
7.Philosophy of Religion's.
8.The Art of the Deal by Trump.
9.Art of Happiness by Dalai Lama.
10.FIFA:Law's of Game
11.What If by Randall Munrose.
12.Why graet Leader's Don't take Yes for an Answer by Michael Robert.
13.Why Nations Fail.
14.Harakati za kukandamiza Fikra huru vyuo vikuu nchini by Alphonce.
15.No Excuses! By Brian Tracy.
16.The Nature of space,Time by Hawking.
17.Why A student Work for C Students by kiyosaki.
18.Why Iam not A Muslim by Ibn Warraq.
19.The bible the Quran and Science by Dr Maurice Bucaile.
20.The Making of Modern Economics by Mark skousen.
21.How a leader turns dictator.
22. Letter to a Christian Nation by Sam Harris.
23.How to Ace The Interview.
24.How to be creative by Hugh Macleod.
25.Germs,Guns &Stell by Jared Diamond.
26 The New Confessions of An Economic Hitman by John Perkins.
27.Nyerere books.
28.Kwa heri Ukoloni Kwaheri Uhuru.
29.Shujaa kutoka Bukene by Jk chande.
30.Physics of the impossible by Michio Kaku.
31.Thinking Fast and Slow. By Daniel
32.Introduce Basic Wing Chin Kung Fu by Li Han.
33.Shakespeare's book's.
34.How to learn kung Fu at Home.
35.Your Life,Your Legacy by Roger James.
36.Miguna-Miguna & The Autobiography.
37.From Third World to First- Singapore By Lee Kuan Yew.
38.Kwanini Bado Kiingereza ni Lugha ya Kufundishia Elimu Ya Juu Tz by Rugatiri Mekacha.
Hiki kimeandikwa Mwaka 1995.

The More that you read, the more things you Will know, the More that you learn ,The More places you will go.

"The Man who does not read good books is not better than the man who can't"by Mark Twain.

For an Avid Reader,Apocalypse Means a World Without Books.

Amani iwe Juu yenu kwa Wote Wasomaji wa Vitabu.

Shukran/Ahsantee.
 
Mkuu nakuomba, ka ufahamu kamoja apo...

Ulipo soma kuhusu swala la imani.
Umejifunza kipi hasa ambacho unaona kwa binadamu wengine ni wachache sana wenye ufahamu na hilo au ni swala lip muhmu sana katika imani umelitambua?

1: Sababu pekee za Kumuabudu Mungu ambazo ndizo wanazozitoa viumbe wa mbinguni kama kwa nini wanamuabudu Mungu ni MBILI i/ Muumbaji wa Vyote 2/ Tukio La Yesu Kufa Ili Kumpandisha hadhi mwanadamu atakayemuamini, Kutoka kuwa mdhambi asiye na Muelekeo wowote hadi Kuwa MTOTO wa Mungu Ambaye hamuiti tu Mungu bali ABBA yaani BABA. Sio tena Mungu na Mwanadamu Bali Baba na MTOTO aliyezungukwa na hatari.

2: Sabato ni Ishara pekee inayomtaka Mwanadamu Kumkumbuka Mungu kama Muumbaji wa Ulimwengu kwa siku (Lateral Days) Sita. Hii Itamlinda mwanadamu na nadharia zote potoshi juu ya Kazi na Uumbaji wa Mungu. Ndio Maana hata Yesu (Aliyeshiriki uumbaji) alisema Iliwekwa kwa ajili ya MWANADAMU sio MYAHUDI. Hapa kuna mitazamo mingi yenye utetezi mwingi kinzani ila kwangu mimi huu ndio sahihi kabisa

3: Nje ya mahusiano Binafsi (sio ya kikundi au kidini ) na Mungu, Juhudi zote za mwanadamu ni bure. Hiki ndio Kinapaswa kuwa kipaumbele namba moja cha Kila mwanadamu anayejitambua na hakizuii kufanya mambo mengine ya maendeleo.

4: Kuna Upotovu Mkubwa sana Katika Ulimwengu wa Imani dunia ya Sasa. Ila Wengi Hawajui. Hata wanaodhani wanajua wanajua kwa juujuu. Kuna kasi kubwa ya Modernization ya ancient paganism ambazo zinachanganywa katika imani subliminally.
Kilele cha mchanganyiko huu ambao unawaunganisha watu wa imani, wasio wa imani, atheists, scientists, wanasiasa, wanamichezo, wanadiplomasia, magicians, Vyama vya Siri, na wasio na hili wala lile ni UPINZANI WA WAZI KWA MAMLAKA YA MUNGU kwa ujanja na uficho wa kiwango cha juu. Ni wale tu ambao wataona haja ya Kujificha katika Vyumba vya sala peke yao binafsi Kumuomba Mungu, na Kusoma Neno la Mungu Kwa Bidii kubwa kama mchimbaji madini anavyosaka dhahabu ndio watakao kuwa Salama na Upotofu mkubwa ambao unaimomonyoa dunia kwa spidi kubwa. Ndio Pekee watakao kuwa watu wenye amani na furaha ya kweli hata kama hali ya nje ibadilike kutoka kuwa mbaya kwenda kuwa mbaya zaidi au nzuri kwenda kiwa nzuri zaidi.
 
Ideally ilibidi nisome vitabu 24 mwaka jana nilisoma vitabu 18 hamna kitu muhimu katika maisha kama vitabu aisee ni moja ya vitu najivunia sana mwaka huu..
1.Fire and fury at white house-Michael wolf
2.SHUSHUSHU-Evarist chahali
3.The virgin way-Sir Richard branson
4.Green book-Miramar Gadaf (manifesto)
5.Governance for growth of india-P.J.Abdul Kalam
6.A brief history of time-Stephen hawking (didn't Finish too big and complicated
7.Born a crime-Trevo noah (Must read)
8.The element-Ken Robinson
9.Start up nation-(In and out about Israel start up industry -Dan senor-Good read)
10.Maswali 40 majibu 40 kwa mh january makamba-padre karugendo (Every concerned citizen should read this)
11.Eat that frog-brian tracy (everybody should read this it has helped me a lo with my job)
12.48 laws of power-Robert green (too powerful too deep/must definitely read book)
13.The smartest kids in the world-Amanda Ripley (Still on it dedicate my baby dedication) ..need to cover 30 books this year

FROM JULY
14.THE FOUR-The hidden DNA of the four Amazon,Apple,Facebook and google
15.Red notice-Bill Browder
16.48 laws of power-Robert Green
17.The Third door-Alex Banayan
18.Elon Musk-Ashlee vance
19.Forest grump-Winston Groom
20.The king of oil(secret life of marc rich)-
21.I cant make this up(life reason)-Kevin hart
22.The undisputed truth(my autobiography-Mike tyson
23.Alibaba(The house that Jack ma built)-Duncan clark
24.Black priviladge(opportunity comes to those who create it)-@cthagod
25.Why men love ...b..ches-Sherry argov
26.The everything store(jeff bezzos and age of amazon)-brad stone
27.From the third word to first(singapore story)-Lee kuan yew
28.venture deals-
29.
30.
Mkuu huwa unasoma softcopy au hardcopy? Kama ni hardcopy huwa unanunua duka gani?
 
Dah umenifurahisha sana boss lets keep this thread going hata kwa mwakani tuzidi peana moyo na madini mapya
I can't Meet Some People So I Read Their Book.

Mwaka Umekuwa bora kwa Upande wa Usomaji vitabu kwa Upande Wangu.
Book's are good company in solid times & Happy Times.

Baadhi ya vitabu vichache nilivyopata kusoma 2018.
1.A Brief History of Tommorow By Noah Harari.
2.Homo Sapiens by Noah Harari.
3.12 Rules for Life by Jordan Peterson.
4.Zero to One by Peter Thiel.
5.The Learn Startup by Eric Ries.
6.Philosophy of Sex.
7.Philosophy of Religion's.
8.The Art of the Deal by Trump.
9.Art of Happiness by Dalai Lama.
10.FIFA:Law's of Game
11.What If by Randall Munrose.
12.Why graet Leader's Don't take Yes for an Answer by Michael Robert.
13.Why Nations Fail.
14.Harakati za kukandamiza Fikra huru vyuo vikuu nchini by Alphonce.
15.No Excuses! By Brian Tracy.
16.The Nature of space,Time by Hawking.
17.Why A student Work for C Students by kiyosaki.
18.Why Iam not A Muslim by Ibn Warraq.
19.The bible the Quran and Science by Dr Maurice Bucaile.
20.The Making of Modern Economics by Mark skousen.
21.How a leader turns dictator.
22. Letter to a Christian Nation by Sam Harris.
23.How to Ace The Interview.
24.How to be creative by Hugh Macleod.
25.Germs,Guns &Stell by Jared Diamond.
26 The New Confessions of An Economic Hitman by John Perkins.
27.Nyerere books.
28.Kwa heri Ukoloni Kwaheri Uhuru.
29.Shujaa kutoka Bukene by Jk chande.
30.Physics of the impossible by Michio Kaku.
31.Thinking Fast and Slow. By Daniel
32.Introduce Basic Wing Chin Kung Fu by Li Han.
33.Shakespeare's book's.
34.How to learn kung Fu at Home.
35.Your Life,Your Legacy by Roger James.
36.Miguna-Miguna & The Autobiography.
37.From Third World to First- Singapore By Lee Kuan Yew.
38.Kwanini Bado Kiingereza ni Lugha ya Kufundishia Elimu Ya Juu Tz by Rugatiri Mekacha.
Hiki kimeandikwa Mwaka 1995.

The More that you read, the more things you Will know, the More that you learn ,The More places you will go.

"The Man who does not read good books is not better than the man who can't"by Mark Twain.

For an Avid Reader,Apocalypse Means a World Without Books.

Amani iwe Juu yenu kwa Wote Wasomaji wa Vitabu.

Shukran/Ahsantee.
 
Ni all softcopy kiongozi hardcopy ni ngumu kusoma kutokana na nature ya kazi zangu nazunguka sana....kuchagua title na books hua najitahidi kufuatilia watu mbalimbali maarufu na blog zao kama bill gates oprah,zito kabwe ambaye naweza sema ndo alinitia hasira mwaka juzi kuanza kusoma serious na sirjeff naye huyu dogo asingekua mpigaji wa forex naye alikua anae da vizuri sana
Mkuu huwa unasoma softcopy au hardcopy? Kama ni hardcopy huwa unanunua duka gani?
 
30 hard copy books, 20 ebooks from amazon and 60 audio books from audibles,Libby and libbrivox Jumla 110. My target was 300 ila ubusy ndo umekwamisha.
Unatumia mda gani mkuu kufikia lengo hivi..na huwa unaspecific genre au vitabu...ungetuwekea hata title inasaidia nasi kuviweka kwe reading liat yetu..asante
 
Sina nia mbaya ila mi nashauri mtu uwe unasoma soft copy kwa vitabu vya nje ila autnor wa ndani unasoma hard..kwakua hivi vitabu vinarange elfu 30-laki so kama mpenda maarifa unaweza tumia hadi ela ya kula
Kama uko dar nenda posts kule karibu na knisa la kkkt Kama unaelekea BOT kule jamaa wanauza bei ya kawaida tuu
 
Softcopy mkuu ni salama kweli kwa afya ya macho yako kwa baadae?
Sina nia mbaya ila mi nashauri mtu uwe unasoma soft copy kwa vitabu vya nje ila autnor wa ndani unasoma hard..kwakua hivi vitabu vinarange elfu 30-laki so kama mpenda maarifa unaweza tumia hadi ela ya kula
 
Kuna application kama moonreader au pestigio au amazon wana kindle ni recomended kwa kusoma vitabu jphata kwa hao wazungu wenyewe.....kila baada ya masaa kadhaa inakupa mda wa kupumzika usichoshe macho
Softcopy mkuu ni salama kweli kwa afya ya macho yako kwa baadae?
 
Sina nia mbaya ila mi nashauri mtu uwe unasoma soft copy kwa vitabu vya nje ila autnor wa ndani unasoma hard..kwakua hivi vitabu vinarange elfu 30-laki so kama mpenda maarifa unaweza tumia hadi ela ya kula
Ni kweli soft copy ni simple Zaid,mi nimeweza kukusanya vitabu karibu 2000 just Kwa ku share Tu na washkaji n vingine kupakua
 
Kwa wapenzi wa vitabu ambao wangependa kupata anybook softcopy wanachohitaji na kufikia malengo watakayojiwekea 2019.Karibuni kwe group la vitabu telegram its safe huhitaji kuweka namba ya simu bado utabaki ananymous kikubwa uwe umedownload app
Na kufuata hiyo link karibun

VITABU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom