Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,642
Likes
9,639
Points
280
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,642 9,639 280
Wakuu ni mwisho wa mwaka tutumie hizi siku zimebaki kujitathmini usomaji wetu kama ilivyo deaturi yetu.

Mi usomaji wangi haukuwa mzuri. Nimesoma vitabu vitatu na vingine viwili sikumaliza.
1.A god who hate. Hiki kuna member Alisina niliona amekiupload.Nikakipakua na kikanivutia kusoma. Huyu mama muandishi anaeleza maisha ya mwanamke wa kiislamu na magumu yake. Pia anashutumu imani hiyo. Kinavutia na rahisi kusoma.

41smk42d3il-_ac_sy400_-jpg.969204

2. 1984
Hiki kitabu nilianza kusoma muda ila mwaka huu nikashawishika kukimaliza. Ni fiction lakini kipo serious sana. Kinazungumzia ubaya wa ujamaa, serikali ya mabavu, uminyaji wa uhuru nk.Wakati wa Nyerere kilipigwa Marufuku sijui kama wamekifungulia.
1788282361-jpg.969669

3.The Capitalist Nigger. Haka kakitabu kuna mdau alikaweka humu ndani. Ni katkitabu kafupi kama page 50. Kanazungumzia hali ya mtu mweusi hasa kiucgumi na kielimu. Kana idea nzuri ya jinsi mtu mweusi anaweza kukomboka. Ila kaba lugha kali.
images-7-jpg.969670

4.Kitabu changu.Niliandika na kuchapa kakitabu mwaka 2013. Huwa karibu kila mwaka nakasoma. Na kila nikikasoma napata kitu kipya!!!

5.The man who mistook his wife for a hat.
Hiki kitabu nilianza zamani kusoma lakini sijakimaliza. Ni kitabu kifupi na kinavutia sana.Kinazungumzia wagonjwa wa akili wenye matatizo adimu na ya kushangaza.
41ztixcd3hl-_ac_sy400_-jpg.969679

6.The politics book.
Haka kakitabu kanaelezea historia ya siasa toka zama za zamani kabisa. kanaeleza kwa njia rahisi na fupi. Ni kazuri ila sijakamaliza bado.
61st5prktil-_ac_sy400_-jpg.969683

Malcom Lumumba , Kiranga Wick mitale na midimu Nalendwa zitto junior MSEZA MKULU et al
 
masoud mshahara

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2018
Messages
4,571
Likes
1,881
Points
280
masoud mshahara

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2018
4,571 1,881 280
Wakuu ni mwisho wa mwaka tutumie hizi siku zimebaki kujitathmini usomaji wetu.

Mi usomaji wangi haukuwa mzuri. Nimesoma vitabu vitatu na vingine viwili sikumaliza.
1.The god who hate. Hiki kuna member Alisina niliona amekiupload.Nikakipakua na kikanivutia kusoma. Huyu mama muandishi anaeleza maisha ya mwanamke wa kiislamu na magumu yake. Pia anashutumu imani hiyo. Kinavutia na rahisi kusoma.

View attachment 969204

2. 1984
UJASUSI -Yericko Nyerere
 
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
218
Likes
80
Points
45
MAMESHO

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
218 80 45
nimesoma vingi ila kitabu kinaitwa perennial seller -ryan holday imebamba list yangu ni kitabu kizuri sana
 
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
11,642
Likes
9,639
Points
280
Red Giant

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
11,642 9,639 280
nimesoma vingi ila kitabu kinaitwa perennial seller -ryan holday imebamba list yangu ni kitabu kizuri sana
Kinahusu nini hiki mkuu.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,961
Likes
4,308
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,961 4,308 280
Nimesoma vitabu vifuatavyo :

1. Our Philosophy
2. Blasting the foundation of Atheist
3. Where is Allah
4. Reason,Revelation and Reconstitution of Rationality.
5. Ibn Taymiyyah against the greec Logicians
6. Defining Legends
7. Vitabu vya Lugha.
8. Vitabu vya Imani yangu (Uislamu)
 
ZENJIBARIA

ZENJIBARIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
541
Likes
947
Points
180
ZENJIBARIA

ZENJIBARIA

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
541 947 180
nimesoma
1) Zetetic Cosmogony by thomas winship 1897
2) One Hundred Proofs That the Earth Is Not a Globe by William Carpenter 1885
3) Zetetic astronomy by Samuel Rowbotham 1865

vitabu hivi vimesaidia kutambua how deep we are under so many layers of lies in the world,kuanzia sisi binadamu ni nani,mpaka "dunia ni kitu gani"
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
6,785
Likes
6,093
Points
280
Age
22
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
6,785 6,093 280
Kusadikika
Barua ndefu kama hii
Vuta n'kuvute
Mikakati ya kuelekea ikulu
 
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Messages
2,675
Likes
6,301
Points
280
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2016
2,675 6,301 280
Kitabu gani naweza download kati ya hivyo naomba na link
 
hery_edson

hery_edson

Senior Member
Joined
Sep 24, 2014
Messages
105
Likes
32
Points
45
hery_edson

hery_edson

Senior Member
Joined Sep 24, 2014
105 32 45
Nmesoma kitabu cha art of the deal....by Donald trump...
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,548
Likes
3,404
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,548 3,404 280
Mkuu kitabu number 3 na kitabu number 5 naweza kupataje?
 
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
1,194
Likes
975
Points
280
morgan fisherman

morgan fisherman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
1,194 975 280
natafta novel ya "legacy of silence"
 
fadinyo

fadinyo

Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
39
Likes
15
Points
15
fadinyo

fadinyo

Member
Joined Feb 27, 2012
39 15 15
Wakuu ni mwisho wa mwaka tutumie hizi siku zimebaki kujitathmini usomaji wetu kama ilivyo deaturi yetu.

Mi usomaji wangi haukuwa mzuri. Nimesoma vitabu vitatu na vingine viwili sikumaliza.
1.A god who hate. Hiki kuna member Alisina niliona amekiupload.Nikakipakua na kikanivutia kusoma. Huyu mama muandishi anaeleza maisha ya mwanamke wa kiislamu na magumu yake. Pia anashutumu imani hiyo. Kinavutia na rahisi kusoma.

View attachment 969204

2. 1984
Hiki kitabu nilianza kusoma muda ila mwaka huu nikashawishika kukimaliza. Ni fiction lakini kipo serious sana. Kinazungumzia ubaya wa ujamaa, serikali ya mabavu, uminyaji wa uhuru nk.Wakati wa Nyerere kilipigwa Marufuku sijui kama wamekifungulia.
View attachment 969669
3.The Capitalist Nigger. Haka kakitabu kuna mdau alikaweka humu ndani. Ni katkitabu kafupi kama page 50. Kanazungumzia hali ya mtu mweusi hasa kiucgumi na kielimu. Kana idea nzuri ya jinsi mtu mweusi anaweza kukomboka. Ila kaba lugha kali. View attachment 969670

4.Kitabu changu.Niliandika na kuchapa kakitabu mwaka 2013. Huwa karibu kila mwaka nakasoma. Na kila nikikasoma napata kitu kipya!!!

5.The man who mistook his wife for a hat.
Hiki kitabu nilianza zamani kusoma lakini sijakimaliza. Ni kitabu kifupi na kinavutia sana.Kinazungumzia wagonjwa wa akili wenye matatizo adimu na ya kushangaza.
View attachment 969679

6.The politics book.
Haka kakitabu kanaelezea historia ya siasa toka zama za zamani kabisa. kanaeleza kwa njia rahisi na fupi. Ni kazuri ila sijakamaliza bado.
View attachment 969683

Malcom Lumumba , Kiranga Wick mitale na midimu Nalendwa zitto junior MSEZA MKULU et al
Boss unapenda sana siasa inaonekana
 
Forum statistics

Threads 1,250,081
Members 481,224
Posts 29,720,333