Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

Safi Sana Mkuu,,,

2018 Nautia katika hesabu zangu au kumbukumbu kama mwaka bora kwangu katika Usomaji vitabu.

A God who hates by Wafa ni kitabu kizuri sana kwa mtazamo/maoni yangu.
Kutazama upande wa pili wa shilingi ni jambo zuri kwa mtu makini,

Unatazama pande zote mbili kisha unaweka mtazamo wako usimamie wapi au uelekee wapi au Utazame upande wako mpya.

Vitabu vya mfanano huo nadhani vinawafaa Watu huru kimawazo/kimtazamo au kwa kimombo nadhani ni Open Minded.

Cambridge dictionary: Open Minded-Willing to consider Idea's and opinions that are new or different to your Own,/

Willing to listen to other people and consider new idea's,suggestions and opinions.

Ni ishara ya Mtu makini sana kuchunguza na kusikiliza na kupitia upande wa pili wa jambo husika au tukio n.k


Naona hapo Umemuweka George Orwell.

Eric Arthur Blair Pen name George Orwell.

Hicho kitabu ninacho naona nimekuwa mvivu wa kukisoma.

Kuna jamaa mmoja anaitwa Christopher Hitchens (Mzee wa What can be asserted without evidence can be dismissed without evidence) ni Mtu maarufu sana kwa upande wa watu flani sawa na Richard Dawkins( Author- selfish gene)

Kaandika baadhi ya vitabu,yeye ni katika watu wanao Mkubali sana bwana Orwell, anasema yeye ni moja ya waandishi bora kwa upande wake.

Animal farm kitabu cha Orwell, kilichoniburudisha sana huku akielezea kwa mafumbo russian revolution of 1917 na Utawala wa Stalini na ndoto zao za alinacha.


Wakati mwingine kitabu kinaweza kuwa kuzuri kwa kuwa kimekubaliana na mawazo yako/mtazamo wako au kimebadilisha mtazamo wako kwa ubora zaiidi.

"To day a Reader,Tommorow a Leader"

Usomaji wa vitabu ni Safi sana.

"Think before you speak,Read before you think" by Lebowrtz.


What kind of life can you have in a house without Books..???

Shukran/Ahsantee.
 
1. The power of your subcossious mind

2. A guide to world religions

3. A brief history of time (sijakimaliza)

4. God is not great (sijakimaliza)

Uvivu wa kusoma vitabu unaniandama, ila na mimi nimeanza kuandika kitabu, hope nitamali nikijaaliwa.
 
  1. Killing Jesus
  2. The Male Brain/Female Brain
  3. Stricking Thoughts - Bruce Lee
  4. The Count of Monte Cristo
  5. Habits of a happy Brain
  6. As A Man Thinketh
  7. The Industries of the Future
  8. Everyone Communicates, Few Connect (hiki bado sijamaliza bado)
 
Mkuu nikupe Hongera sana kwa kumaliza hivyo vyote wengi wetu tukianza kitabu hatujafika kati unakiacha aukingine na muda wenyewe ndio finyu.... Kwa staili hii utakuwa umekua sana kiimani na kimaarifa huwa napenda sana watu wanaosoma kama wewe ubarikiwe mkuu umeniinspire sana kwa hii spidi yako.
asante mkuu.
mijadala ya humu pia ilinisaidia kupitia vyanzo vingi vya maarifa japo mwaka huu nilikuwa na muda mwingi pia wa kujisomea.
Safari ya Imani haina kikomo katika makuzi, ila ni vizuri kukawa na jitihada sawa katika kukua kiimani, kijamii, kiuchumi, kiafya na kimahusiano. Ila naamini kiimani ukiyumba vyote hapo vitakuwa katika hatari ya kukuangusha.
 
1.Richdad series "all books"
2. lean startup
3.Alibaba " the house that Jack MA built"
4. Zero to one
5. 80/20 principle
6. eat that frog
7. So good they can't ignore you
8. psychology of selling
9. Ultimate sales machine
10. 10X rule
11. sales Bible
12. Made to stick
13. Think and grow rich
14. built to last
15. why she buys
16. Fundamental of prosperity
17. $100 startup
18. Side hustle
19. The science of being great
20. the compound effect
21.the emyth resisted
22.living the 80/20 way
23. Accidental millionaire
24.Good to great
25. Naked statistics
26. How to lie to with statistics
27. Falling forward
29. Don't sweat with small stuffs they are already small stuffs
30. 100 ways to motivate yourself
31. The one minute manager
32. Delivering happiness
33. The art of the start
34. will it fly
35. The 7 day startup
36. The Airbnb Story
37. Men are from Mars and women are from venus

Vyote n personal development books katika nyanja tofauti tofaut lakin sana in financial intelligence
 
1. When breath becomes air - Paul Kalanithi
2. Born a crime - Trevor Noah
3. Behold the dreamers - Imbolo Mbue
4. Americanah - Chimamanda Ngozi
5. In the house of the interpreter - Ngugi wa Thiong'o
6. Elon Musk - Ashlee Vance
7. Astrophysics for people in a hurry - Neil Tyson
8. A second wind (currently reading) - Phillipe Pozzo
 
1.Richdad series "all books"
2. lean startup
3.Alibaba " the house that Jack MA built"
4. Zero to one
5. 80/20 principle
6. eat that frog
7. So good they can't ignore you
8. psychology of selling
9. Ultimate sales machine
10. 10X rule
11. sales Bible
12. Made to stick
13. Think and grow rich
14. built to last
15. why she buys
16. Fundamental of prosperity
17. $100 startup
18. Side hustle
19. The science of being great
20. the compound effect
21.the emyth resisted
22.living the 80/20 way
23. Accidental millionaire
24.Good to great
25. Naked statistics
26. How to lie to with statistics
27. Falling forward
29. Don't sweat with small stuffs they are already small stuffs
30. 100 ways to motivate yourself
31. The one minute manager
32. Delivering happiness
33. The art of the start
34. will it fly
35. The 7 day startup
36. The Airbnb Story
37. Men are from Mars and women are from venus

Vyote n personal development books katika nyanja tofauti tofaut lakin sana in financial intelligence
Siku za nyuma nilisoma Made to stick. Kitabu safi sana.
 
Nimesoma pia kitabu cha Bw. Yericko Nyerere Ujasusi wa kidola na kiuchumi ila sikukimaliza, it's not my cup of tea.
 
Mh japo nimesoma vitabu mwaka huu lakini bado naona Kama vile sijafikia lengo
 
1. When breath becomes air - Paul Kalanithi
2. Born a crime - Trevor Noah
3. Behold the dreamers - Imbolo Mbue
4. Americanah - Chimamanda Ngozi
5. In the house of the interpreter - Ngugi wa Thiong'o
6. Elon Musk - Ashlee Vance
7. Astrophysics for people in a hurry - Neil Tyson
8. A second wind (currently reading) - Phillipe Pozzo
Hivyo no 1, 2,4 na 6 nimeona vemetajwa sana. Inabidi niviweke kwenye list. Halafui Namkubali sana Noah, ntaanza na hicho.
 
1. Must be the best memoir I've ever read, about 120 pgs ila kinasikitisha sana.

2. Noah didn't disappoint on this one, kinafurahisha.

4. A ok read, didn't meet my expectations though.

6. A very good read for tech-savvy and entrepreneurs
Hivyo no 1, 2,4 na 6 nimeona vemetajwa sana. Inabidi niviweke kwenye list. Halafui Namkubali sana Noah, ntaanza na hicho.
 
IMG_1606.JPG
IMG_1605.JPG
IMG_1604.JPG
 
1; When bad things happen to good people

2;Midas touch --- trump& kiyosaki

3;Billionaure under construction ~~ dj sbu

4;Guide to investing ~~~~ Robert kiyosaki

5; Gia kubwa~~~ sanga

6;Umeiweka wapi talanta yako~~~ sanga
 
1; When bad things happen to good people

2;Midas touch --- trump& kiyosaki

3;Billionaure under construction ~~ dj sbu
 
1; When bad things happen to good people

2;Midas touch --- trump& kiyosaki

3;Billionaure under construction ~~ dj sbu
 
1Bible.
hii nilikuwa na mpango wa kumaliza vitabu vyote form mwanzo to ufunuo(sijamaliza)
mwakani nitaanza tena..

2.Elon Musk-Ashlee vance

3.Ghost In The Wires: My Adventures as the World's Most Wanted Hacker
(hichi ni story ya kweli huyu jamaa alihack mpaka fbi,(wiretapping,file lake zima alikuwa analijua,
details zake zote fbi walizonazo alikuwa anazijua,,,)

4.My Inventions: The Autobiography of Nikola Tesla(reread)

5.When bad things happen to good people

6.The Complete Patents of Nikola Tesla

7.brain droping-george carlin

8.Quiet Power: The Secret Strengths of Introverts

9.Quiet: The Power of Introverts in a World That Can't Stop Talking

10.The Art of Deception-kevin Mitnick

11.art of war(reread)

12.tao te ching(reread)

13.Black Hat Python: Python Programming for Hackers and Pentesters

14..Brief Answers to the Big Questions-Stephen Hawking

kwenye programing nimesoma
1.c# yellow book
2.Practical Malware Analysis: The Hands-On Guide to Dissecting Malicious Software
3.Hacking the Hacker: Learn from the Experts Who Take Down Hackers
4.Writing High-Performance . NET Code
5.Artificial Intelligence with Python
5.Cracking Codes with Python: An Introduction to Building and Breaking Ciphers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom