Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

1. The power of your subcossious mind

2. A guide to world religions

3. A brief history of time (sijakimaliza)

4. God is not great (sijakimaliza)

Uvivu wa kusoma vitabu unaniandama, ila na mimi nimeanza kuandika kitabu, hope nitamali nikijaaliwa.
Mkuu,

Hahaha punguza uvivu wa kusoma vimalizie hivyo.

Kimalizie God is not great by Christopher Hitchens kinakurasa kama 100 hivi.

Kunavitabu vinakurasa ndefu kweli kweli ambavyo kama hujawiva katika usomaji unapata taabu kidogo,lakini Nadhani vingi huwa ni 150-250.

Kuna kitabu kimoja kilinihenyesha kweli kweli Mwezi wa tano The destruction of black civilizations by chancellor Williams pages zaiidi ya 650,

Nilitumia Wiki kukimaliza, Ukichanganya na majukumu na mihangaiko ya maisha inakuwa kazi kweli kweli lakini Mwishoni unafurahia sana.

Hapo hujakutana na watu wanasoma pages 600 kwa siku sawa na vitabu viwili zaiidi.
 
1.Douglas walton what is reasoning -what is argument
2.contemporary perspective on the psychology of human
3.Erving goffman the presentation of self
4.Douglas walton fundamentals of critical argument
5.Dereck-Bickerton language and human behavior
6.Douglas Walton argumentation method
7.How to say No withought feeling guilt
8.pia cha Neil brown kizuri sana its all about arguments nimekipenda kuliko vyote
9.Alexander Murdock personal effectiveness
Bila kusahau standing order ya mwaka 2009
 
Sapiens brief history of human kind ni mwisho wa matatizo yote
Safi sana Mkuu.
Homo sapiens ni mwisho kabisa,Unaufahamu Ulimwengu kwa Mapana na historia yake.

Huyu Noah harari ni habari nyingine aisee,Balaa sana huyu Mtu ,anatisha

Tafuta kitabu kingine chake cha Homo Deus A brief History of Tomorrow kama hujapata kukisoma.

Kipo vyema sana.

Cover Homo sapiens.
1_EW6oQNjTw0cXQtKtO_CtOg.jpeg
 
Safi sana Mkuu.
Homo sapiens ni mwisho kabisa,Unaufahamu Ulimwengu kwa Mapana na historia yake.

Huyu Noah harari ni habari nyingine aisee,Balaa sana huyu Mtu ,anatisha

Tafuta kitabu kingine chake cha Homo Deus A brief History of Tomorrow kama hujapata kukisoma.

Kipo vyema sana.

Cover Homo sapiens.View attachment 978029
Ntakitafuta.. Yani jamaa anakufungua macho mwanzo mwisho
 
Nawaonea donge hii shule inazingua bora namaliza mwezi wa saba nutakuwa na PC yangu kali na kitablet Slim kwaajiri ya vitabu tu mpaka mwaka unaisha nisome hata vitabu 10, kuna vitabu navitamani ila masomo yanabana

1)Elon Musk
2)vitabu vya Trump
3)cha Mengi nk
 
1Bible.
hii nilikuwa na mpango wa kumaliza vitabu vyote form mwanzo to ufunuo(sijamaliza)
mwakani nitaanza tena..

2.Elon Musk-Ashlee vance

3.Ghost In The Wires: My Adventures as the World's Most Wanted Hacker
(hichi ni story ya kweli huyu jamaa alihack mpaka fbi,(wiretapping,file lake zima alikuwa analijua,
details zake zote fbi walizonazo alikuwa anazijua,,,)

4.My Inventions: The Autobiography of Nikola Tesla(reread)

5.When bad things happen to good people

6.The Complete Patents of Nikola Tesla

7.brain droping-george carlin

8.Quiet Power: The Secret Strengths of Introverts

9.Quiet: The Power of Introverts in a World That Can't Stop Talking

10.The Art of Deception-kevin Mitnick

11.art of war(reread)

12.tao te ching(reread)

13.Black Hat Python: Python Programming for Hackers and Pentesters

14..Brief Answers to the Big Questions-Stephen Hawking

kwenye programing nimesoma
1.c# yellow book
2.Practical Malware Analysis: The Hands-On Guide to Dissecting Malicious Software
3.Hacking the Hacker: Learn from the Experts Who Take Down Hackers
4.Writing High-Performance . NET Code
5.Artificial Intelligence with Python
5.Cracking Codes with Python: An Introduction to Building and Breaking Ciphers
Daaa hongera
 
Mkuu,

Hahaha punguza uvivu wa kusoma vimalizie hivyo.

Kimalizie God is not great by Christopher Hitchens kinakurasa kama 100 hivi.

Kunavitabu vinakurasa ndefu kweli kweli ambavyo kama hujawiva katika usomaji unapata taabu kidogo,lakini Nadhani vingi huwa ni 150-250.

Kuna kitabu kimoja kilinihenyesha kweli kweli Mwezi wa tano The destruction of black civilizations by chancellor Williams pages zaiidi ya 650,

Nilitumia Wiki kukimaliza, Ukichanganya na majukumu na mihangaiko ya maisha inakuwa kazi kweli kweli lakini Mwishoni unafurahia sana.

Hapo hujakutana na watu wanasoma pages 600 kwa siku sawa na vitabu viwili zaiidi.
Mkuu uko vizuri, ngoja mining'inio ya sikukuu iishe kwanza nianze vema aiseee.
 
Nimesoma vitabu hivi....
1.Rich Dad, Poor Dad-Kiyosaki
2.Cash flow Quadrant-Kiyosaki
3.Who will cry when you Die- Robin sharma
4. How successful people think- Maxwel
5.How to win friends and influence people- Dale Carnegie.

Kwa sasa nasoma Think and grow rich by Napoleon Hill.

Vitabu tajwa hapo vina madini ya kutoshaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom