Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

rich dad poor dad by robert kiyosaki,
timiza maleng yako by joel nanauka,
ishinde tabia ya kughairisha mambo by joel nanauka,
think big by ben carson,
msaada wa isaikolojia katika mahusiano by chris mauki,
ishi ndoto yako by joel nanauka,
nguvu ya mwanamke by joel nanauka..
 
Nimesoma vitabu vifuatavyo :

1. Our Philosophy
2. Blasting the foundation of Atheist
3. Where is Allah
4. Reason,Revelation and Reconstitution of Rationality.
5. Ibn Taymiyyah against the greec Logicians
6. Defining Legends
7. Vitabu vya Lugha.
8. Vitabu vya Imani yangu (Uislamu)
Vinapatikana wapi Mkuu
 
Nipo nasoma Im becoming. MICHELLE OBAMA. Nimeshangaa Michelle alishawahi kuvuta bangi.
 
naomba pdf ya kitabu cha Trevoh Noah ambacho kizuri kilichosomwa sana kinaitwa nadhani 21st centuary
 
Almost vitabu vyote nimepata mawazo kutoka humu Jf

Binafsi mie ni msomaji wa kitu chochote
Yaani nasoma chochote na sijawahi kukosa kitu....

Wadau tuendelee kuweka softcopy hapa
Tunafaidika wengi.
Kitabu cha Trevoh Noah cha 21st century
 
Nimesoma (1) The Emerald tablet of THOTH ni kama kitabu cha kiroho nimemaliza ila bado naludia ludia kusoma kutokana na content yake..

(2) Seven hermetic letters by Dr. Georg Lomer "pure spiritual"

(3) The mystical Qubalah kinaelezea philosophy ya wayahudi na pia ni cha kiroho bado sijamaliza na ni kigumu sana.

(4)The secret teaching of all ages by Manly P Hall hiki kinaelezea theories nyingi za elimu ya kale zikiwemo imani mbali mbali kama freemason, ukristo, islam nk kizuri sana.
weka kitabu cha wayahudi na vingine vya wayahudi vinavyoelezea mafanikio yao katika uchumi
 
Joka la mdimi, watoto wa mama ntilie,ngoswe penzi kitovu cha uzembe,usione ukadhani, mashairi ya chekacheka sambamba na mzee tola.
unaviseoma alafu unajibu maswali lazima uelewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom