Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

Mimi nimesoma vitano tu
1.Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
2.Bongo
3.Jf
4.Fb
5.instagram
 
1:Mashimo ya mfalme suleimani
2:Trials of brother jeroboam
3:House boy
4:The old man and the medal
5:Arabian nights
6:Hadithi za Esopo
2. 1984
Hiki kitabu nilianza kusoma muda ila mwaka huu nikashawishika kukimaliza. Ni fiction lakini kipo serious sana. Kinazungumzia ubaya wa ujamaa, serikali ya mabavu, uminyaji wa uhuru nk.Wakati wa Nyerere kilipigwa Marufuku sijui kama wamekifungulia.
View attachment 969669
3.The Capitalist Nigger. Haka kakitabu kuna mdau alikaweka humu ndani. Ni katkitabu kafupi kama page 50. Kanazungumzia hali ya mtu mweusi hasa kiucgumi na kielimu. Kana idea nzuri ya jinsi mtu mweusi anaweza kukomboka. Ila kaba lugha kali.View attachment 969670

4.Kitabu changu.Niliandika na kuchapa kakitabu mwaka 2013. Huwa karibu kila mwaka nakasoma. Na kila nikikasoma napata kitu kipya!!!

5.The man who mistook his wife for a hat.
Hiki kitabu nilianza zamani kusoma lakini sijakimaliza. Ni kitabu kifupi na kinavutia sana.Kinazungumzia wagonjwa wa akili wenye matatizo adimu na ya kushangaza.
View attachment 969679

6.The politics book.
Haka kakitabu kanaelezea historia ya siasa toka zama za zamani kabisa. kanaeleza kwa njia rahisi na fupi. Ni kazuri ila sijakamaliza bado.
View attachment 969683

Malcom Lumumba , Kiranga Wick mitale na midimu Nalendwa zitto junior MSEZA MKULU et al[/QUOTE]
 
1:Mathayo na Zaburi 119 '' Bible''
2: Desire of Ages By E.G. White
3: Stop Counseling Start Ministering by Martin and Deidre Bobgan
4:Cost of Descipleship By Dietrich Bonhoeffer
5:Fox Book of Martyrs By John Foxe
6:101 Ways to make money in Africa By Dr. Harnet Bokrezion and John-Paul Iwuoh
7 Don't waste your life By John Piper
8: Receiving the Word By Samwel Korateng Pipim
9:Solving Mystery of babylon the great By Edward Hendrie ( Judaism in catholicism)
10:The Obstacle is the way- the timeless art of turning trials into triumph.By Ryan Holiday
11Pove all things Editor Mercedes H. Dyer
12:Enroute to global occupation By Gary H. Kah
13: Smart Parenting By Nancy Van Pelt
14Power Prayer By E.M. Bounds
15:How to release God's healing power through prayer By Dr Gary S. Graig
16:Babylon and Sun Worship
17:Worship of the Dead: The origin and Nature of Pagan Worship By Colonel J. Garnier
18:Manners and Customs of the Bible Lands
19: A Hunger for God by John Piper
20: Selected Messages vol 1&2 By E.G white
21:Voice in speech and songs. By E.G white
22: SDA denounced By D.M Canlight
23: E.G White and her critics By Franscis D. Nichor.
24: In Defence of Faith (SDA Defended) By William H. Branson
25: A Reply to Elder Canlight attacks on Seventh Day Adventists By G.I. Butler
26:Answers to Objections By Franscis D. Nichol
27: The called the chosen By Ken MacFarland
28: Glossolalia as a Learned Behaviour (kunena kwa lugha zisizoeleweka): By Wlliam J. Samarin
29:Mpendwa Abdallah by Life Challenge Africa
30: Radical Teachings of Jesus By Dr Derrick Morris
31: Preaching with Power. By Andrew W. Young
32: Muongozo wa Kanisa By SDA General Conference
33: Muongozo wa Mzee/Mchungaji wa Kanisa By SDA Gneral Conference
34:A call to spiritual reformation. By D.A Carson
35: Spies against armageddon (Ujasusi wa makachero wa taifa ya Israel duniani ) By Dan Raviv and Yossi Melman
36: Great warriors: Hannibal Barca and Publius Cornelius Scipio Africanus By Major Anne T Pack
37:Courage Women ordination Samwel Korateng Pipim
38: Receive the Word By Samwel Korateng Pipim
39:Here we stand By Samwel Korateng Pipim
40:Bible atlas By Zaine Ridling PHD
41: Lectures on comparison between Ancient mythology and Bible stories.
42: Let us Pray: A study of the Lord's Prayer By Dr J. Vernon Mcgee
43: How to write a Book and Become a Published author by Brian Tracy
44: The Great controversy By E.G White

Mwaka Huu nimekuwa na Muda wa kutosha kuchunguza mambo ya Imani, na naamini mwakani nitajikita sana kwenye mambo ya Uchumi/Kimaendeleo na kutumikia jamii kiimani kadili Mungu atakavyonipa nafasi.
 
17:Worship the Dead
18:Manners and Customs of the Bible
19: Hunger of God
20: Selected Messages vol 1&2 By E.G white
21:Voice in speech and songs. By E.G white
22: SDA denounced By D.M Canlight
23: E.G White and her critics.
24: SDA Defended
25: A Reply to Elder Canlight By Elder Butler
26:Answers to Objections
27: The called the chosen By Ken MacFarland
28: Glossolalia as a Learned Behaviour (kunena kwa lugha zisizoeleweka)
29:Mpendwa Abdallah
30: Radical Teachings of Jesus By Dr Derrick Morris
31: Preaching with Power.
32: Muongozo wa Kanisa By SDA General Conference
33: Muongozo wa Mzee/Mchungaji wa Kanisa By SDA Gneral Conference
34:A call to spiritual reformation.
35: Spies against armageddon (Ujasusi wa makachero wa taifa ya Israel duniani ) By Dan Raviv and Yossi Melman
36: Anibal of Cathage
37:Courage Women ordination Samwel Korateng Pipim
38: Receive the Word By Samwel Korateng Pipim
39:Here we stand By Samwel Korateng Pipim
40:Bible atlas
41: Lectures on comparison between Ancient mythology and Bible stories.
42: Let us Pray: A study of the Lord's Prayer By Dr J. Vernon Mcgee
43: How to write a Book and Become a Published author by Brian Tracy
44: The Great controversy By E.G White

Mwaka Huu nimekuwa na Muda wa kutosha kuchunguza mambo ya Imani, na naamini mwakani nitajikita sana kwenye mambo ya Uchumi/Kimaendeleo na kutumikia jamii kiimani kadili Mungu atakavyonipa nafasi.
Hongera sana mkuu.Maisha yako yatakuwa yamebadilika sana.
 
Wakuu ni mwisho wa mwaka tutumie hizi siku zimebaki kujitathmini usomaji wetu kama ilivyo deaturi yetu.

Mi usomaji wangi haukuwa mzuri. Nimesoma vitabu vitatu na vingine viwili sikumaliza.
1.A god who hate. Hiki kuna member Alisina niliona amekiupload.Nikakipakua na kikanivutia kusoma. Huyu mama muandishi anaeleza maisha ya mwanamke wa kiislamu na magumu yake. Pia anashutumu imani hiyo. Kinavutia na rahisi kusoma.

View attachment 969204

2. 1984
Hiki kitabu nilianza kusoma muda ila mwaka huu nikashawishika kukimaliza. Ni fiction lakini kipo serious sana. Kinazungumzia ubaya wa ujamaa, serikali ya mabavu, uminyaji wa uhuru nk.Wakati wa Nyerere kilipigwa Marufuku sijui kama wamekifungulia.
View attachment 969669
3.The Capitalist Nigger. Haka kakitabu kuna mdau alikaweka humu ndani. Ni katkitabu kafupi kama page 50. Kanazungumzia hali ya mtu mweusi hasa kiucgumi na kielimu. Kana idea nzuri ya jinsi mtu mweusi anaweza kukomboka. Ila kaba lugha kali.View attachment 969670

4.Kitabu changu.Niliandika na kuchapa kakitabu mwaka 2013. Huwa karibu kila mwaka nakasoma. Na kila nikikasoma napata kitu kipya!!!

5.The man who mistook his wife for a hat.
Hiki kitabu nilianza zamani kusoma lakini sijakimaliza. Ni kitabu kifupi na kinavutia sana.Kinazungumzia wagonjwa wa akili wenye matatizo adimu na ya kushangaza.
View attachment 969679

6.The politics book.
Haka kakitabu kanaelezea historia ya siasa toka zama za zamani kabisa. kanaeleza kwa njia rahisi na fupi. Ni kazuri ila sijakamaliza bado.
View attachment 969683

Malcom Lumumba , Kiranga Wick mitale na midimu Nalendwa zitto junior MSEZA MKULU et al
Nimesoma vitabu vitatu tu nimekua habari nyingine kwa maarifa,imani na mafanikio
1.holly Bible
2.how to attract success
3.the power of subconscious mind
 
Mwaka huu mi nimesoma user manuals tu kwa kweli. Ntajitahidi mwaka utakaoanza nisome zaidi ya hizo Mwenyezi Mungu akijalia uzima..
 
1:Mathayo na Zaburi 119 '' Bible''
2: Desire of Ages By E.G. White
3: Stop Counseling Start Ministering by Martin and Deidre Bobgan
4:Cost of Descipleship By Dietrich Bonhoeffer
5:Fox Book of Martyrs By John Foxe
6:101 Ways to make money in Africa By Dr. Harnet Bokrezion and John-Paul Iwuoh
7 Don't waste your life By John Piper
8: Receiving the Word By Samwel Korateng Pipim
9:Solving Mystery of babylon the great By Edward Hendrie ( Judaism in catholicism)
10:The Obstacle is the way- the timeless art of turning trials into triumph.By Ryan Holiday
11Pove all things Editor Mercedes H. Dyer
12:Enroute to global occupation By Gary H. Kah
13: Smart Parenting By Nancy Van Pelt
14Power Prayer By E.M. Bounds
15:How to release God's healing power through prayer By Dr Gary S. Graig
16:Babylon and Sun Worship
17:Worship of the Dead: The origin and Nature of Pagan Worship By Colonel J. Garnier
18:Manners and Customs of the Bible Lands
19: A Hunger for God by John Piper
20: Selected Messages vol 1&2 By E.G white
21:Voice in speech and songs. By E.G white
22: SDA denounced By D.M Canlight
23: E.G White and her critics By Franscis D. Nichor.
24: In Defence of Faith (SDA Defended) By William H. Branson
25: A Reply to Elder Canlight attacks on Seventh Day Adventists By G.I. Butler
26:Answers to Objections By Franscis D. Nichol
27: The called the chosen By Ken MacFarland
28: Glossolalia as a Learned Behaviour (kunena kwa lugha zisizoeleweka): By Wlliam J. Samarin
29:Mpendwa Abdallah by Life Challenge Africa
30: Radical Teachings of Jesus By Dr Derrick Morris
31: Preaching with Power. By Andrew W. Young
32: Muongozo wa Kanisa By SDA General Conference
33: Muongozo wa Mzee/Mchungaji wa Kanisa By SDA Gneral Conference
34:A call to spiritual reformation. By D.A Carson
35: Spies against armageddon (Ujasusi wa makachero wa taifa ya Israel duniani ) By Dan Raviv and Yossi Melman
36: Great warriors: Hannibal Barca and Publius Cornelius Scipio Africanus By Major Anne T Pack
37:Courage Women ordination Samwel Korateng Pipim
38: Receive the Word By Samwel Korateng Pipim
39:Here we stand By Samwel Korateng Pipim
40:Bible atlas By Zaine Ridling PHD
41: Lectures on comparison between Ancient mythology and Bible stories.
42: Let us Pray: A study of the Lord's Prayer By Dr J. Vernon Mcgee
43: How to write a Book and Become a Published author by Brian Tracy
44: The Great controversy By E.G White

Mwaka Huu nimekuwa na Muda wa kutosha kuchunguza mambo ya Imani, na naamini mwakani nitajikita sana kwenye mambo ya Uchumi/Kimaendeleo na kutumikia jamii kiimani kadili Mungu atakavyonipa nafasi.
Mkuu nikupe Hongera sana kwa kumaliza hivyo vyote wengi wetu tukianza kitabu hatujafika kati unakiacha au unaanza kingine na muda wenyewe ndio finyu.... Kwa staili hii utakuwa umekua sana kiimani na kimaarifa huwa napenda sana watu wanaosoma kama wewe ubarikiwe mkuu umeniinspire sana kwa hii spidi yako.
 
Hill ni tatizo LA kutokumaliza vitabu ata mm ninalo

Hongera sana mkuu. Umejitahidi sana. Mwakani ntajitahidi nifikie ulipofika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom