Hahahaha nenda kaishi Austalia ,nyoka wa huko wakikung'ata unaongeza umri wa kuishiKila mchangiaji hapa amekumbana kwa namna moja au nyingine na nyoka huyu hatari porini au shambani ..NI RISK SANA KUISHI AFRIKA!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikweli kabisa au unamshika mzima unamweka ili akung'ate kibamia akishakung'ata tu kibamia kinaanza kukua ndani ya masaa matatu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HahhahhaNyoka ana aibu? Huo muda wa kumchunguza sina mi ni nduki tu
niliangalia documentary Fulani Asia wanaongoza kwa vifo vinavosababishwa na nyokaKila mchangiaji hapa amekumbana kwa namna moja au nyingine na nyoka huyu hatari porini au shambani ..NI RISK SANA KUISHI AFRIKA!!
Watu mnavituko humu ndani balaa!Jina lake ni zuri bila shaka,huku mitaani kuna watu tunawaita vifutu na hawana matata ,wako poa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nyoka mpole sana wanapatikana sana maeneo ya baridi , siku moja nikiwa mafinga jkt nilitoroka mkesha nikaenda kulala porini nilikuwa na blanket nikiwa nmelala kumbe likaja likifutu na kuingia kwenye blanket asubuhi nashtuka linanitekenya...
Wala halikunidhuru
Nguo ilikuwaje mkuu ulipandisha ukavaa hivyo hivyo au ulikuwa umevua zote kwahiyo ukazibeba,kama ulizikumbuka lakini?kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
Unapona vizuri tu bhana, huku kwetu mbona imetokea watu kuumwa na kifutu mara nyingi lakini wanatibiwa na miti shamba na wanapona. Ila ukicheleweshwa kutibiwa ndo inshu.unapona lakini lazima kuna mawili either utembee kama kilema, au mguu unaweza ukavimba au mkono usirudi katika hali yake ya kawaida, au ukatwe kabisa, manake sumu yake ni kama ina kansa huyu kifutu, na ukimuona tembea yake kama kinyonga hana haraka
Ndugu kifutu anaweza kukudhuru kwa njia mbili:Unapona vizuri tu bhana, huku kwetu mbona imetokea watu kuumwa na kifutu mara nyingi lakini wanatibiwa na miti shamba na wanapona. Ila ukicheleweshwa kutibiwa ndo inshu.
Sent using Jamii Forums mobile app
THE BEST COMMENT KWA POST HII [emoji108] [emoji108] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13]kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
ni wachache sana mkuu, na wanadai anavyokwenda kama kinyonga na sumu yake inasambaa taratibu hivyo hivyo, nahisi watakuwa walichelewa kutibiwaUnapona vizuri tu bhana, huku kwetu mbona imetokea watu kuumwa na kifutu mara nyingi lakini wanatibiwa na miti shamba na wanapona. Ila ukicheleweshwa kutibiwa ndo inshu.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeOnto kwa taarifa yako kumuona kifutu tangu kichwa hadi mkia anakatiza njia yako kama unaenda mwenye biashara au Kazi ya kukupa kipato ni mkosi babu kubwa kuna lolote litatokea hadi kufilisika si nyoka mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kama mimi ila nakuzidi padogo tu, mimi hata nyoka aliyekufa ni adui yangu