Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Hiyo argument ya paraolympic nilishaileta awali. Hawa machizi wanataka ku-induce ujinga wao kwenye jamii. Wanachotaka kufanya ni kwamba wao hawana kasoro na hivyo wanaingiza upu.z. Wao kwenyenye jamii ili kuharibu tamaduni ambazo ni natural. Paraolympics hawafanyi ujinga huu.

Hawa watu ni wa ajabu sana !..............kwani use.nge ni kilema ? au ni kasoro ?...........mbona sasa wanadai haki kama ni kitu timamu. Wanadai haki kama vile umezuia fursa ya mtoto kusoma !:A S 13:
 
Unachosema ni kuwa "afadhali huyu kanibaka lakini hajanilawiti".

Absurd!

Bottom line, this is a private matter, involving individual decision.

The state has no part in it.
Kama ni private matter kwa nini aje adai hadharani kuwa anataka atambuliwe kuwa yeye anafanywa !??........kwanini isibakie huko huko private !..........why do they promote !!?
 
Si kweli kwamba mliobaki nyumbani wote hampendi ushoga.

Ingekuwa hivyo kungekuwa hamna haja ya kutunga sheria dhidi ya ushoga na kuushadadia hivyo.

Wewe unapenda Coca Cola, mwingine anapenda Fanta, kwa nini umlazimishe anayependa Fanta apende Coca Cola?

Na yeye akikulazimisha upende Fanta je?

Mnataka kulazimisha wanaopenda ushoga waache ushoga na kufuata mnavyotaka nyie, na wao wakitaka kuwalazimisha mpende ushoga mtaona sawa?

Kama our morals outweighs the preference bit, yes, tutamwambia hiyo 'coca cola' yake inatukwaza...
Kiranga, mimi naona tunachofanya sasa hivi bila sisi wenyewe kujua, ni kukazana 'kupromote' issue nzima ya ushoga, na mwishowe ndio huko unakosema tutaelekea...ambako tutaona ushoga ni kawaidaaa...which its not....
 
Nishaeleza ushoga uwe kilema au si kilema siyo issue.

Issue ni mtu kiwa na uhuru wa kuamua mambo yake mwenyewe.

Wewe unapenda Coca Cola, mwingine akipenda Fanta inakupunguzia nini? Kwa nini umlazimishe naye apende Coca? Akikulazimisha na wewe upende Fanta utajisikiaje?

Wewe muislamu, una uhuru wa kuoa wake mpaka wanne mkristo akikulazimisha uoe mmoja tu utaona sawa?

Ukiingiza habari ya kizazi, si kila mtu anataka watoto.

Na kama maisha umuhimu wake ni kizazi tu, wagumba mtawafanyeje? Mtataka kuwaua? Mtawanyayapaa waioe na kuolewa?

Your views are agrarian and medieval if not altogether ancient.

Mwanaume kuoa Mwanaume mwenziwe na Mwanaume kuoa Mwanamke haiwezi kuwa ni sawa na Fanta na Coca Cola. Hiyo ni mifano ya kuishiwa hoja !
Uhuru una mipaka yake, huwezi kupewa uhuru wa kuwa mpumavu au kufanya upumbavu. Ndio maana uki attempt kujiua na ukashindwa unashitakiwa na utafungwa vile vile japokuwa uhai ni wako !
Binaadamu asiyetaka watoto si mkamilifu, kama atatokea ni mgumba basi ni bahati mbaya na anaweza kufarijiwa na watoto wa ndugu zake.

Halafu nikuulize Kiranga, mbona uko Ulaya kwenyewe hawaelewani kuhusu jambo hilo !? ......mara jimbo hili limeruhusu, mara hili limekataza, mara hawa wako Mhahakamani !...........kwanini kisiwe kitu cha straight, kuwa Wamarekani woote pomoja na wapiga box wanaliwa kiboga !!?
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo, Wazimbabwe gani wako ukimbizini??
Mnamsifia mjinga huyo alichukuwa nchi ikiwa first world kaifanya third world na nusu ya wananchi wake wameishia ukimbizini kuwa manamba..poleni kwa ujinga
 
quotes of Mugabe
The only white man you can trust is a dead white man.

We don't mind having sanctions banning us from Europe. We are not Europeans

The white man is not indigenous to Africa. Africa is for Africans. Zimbabwe is for Zimbabweans
 
Unachosema ni kuwa "afadhali huyu kanibaka lakini hajanilawiti".

Absurd!

Bottom line, this is a private matter, involving individual decision.

The state has no part in it.

Mfano wako ndiyo absurd.
Umewahi kusikia wapi mtoto wa kiume "kabakwa" na kulawitiwa na "huyu"(single character)?
 
Kama ni private matter kwa nini aje adai hadharani kuwa anataka atambuliwe kuwa yeye anafanywa !??........kwanini isibakie huko huko private !..........why do they promote !!?

Ndiyo maana nasema hawa wajinga wanaambukiza jamii huo ugonjwa wao wa akili kwa wasionao kwa kufanya hizo promo zao. Wanataka kutushawishi kuwa wao hawaumwi ila wamechagua tu hayo maisha hivyo si vibaya wengine wakiwaunga mkono. Hawana adabu kabisa hawa.
 
Use.nge hauwezi kuwa sawa na sigara aiseeh, hata hivyo viwanda vya sigara vinalipa kodi na kutoa ajira !
Tupe faida ya jamii yenye Wasen.ge ! Kiranga

Nishakueleza kwamba si kila kitu kinachokubalika ni lazima kiwe na faida hivyo unavyotaka wewe.

Hata hao mashoga nao wanaweza kuwaambia kwamba mkihalalisha ndoa zao watakuwa wanalipia vyeti vya ndoa serikalini, kwa hiyo hiyo argument yako ya kodi ni moot.

Faida hapa ni kwamba, tunawapa watu uhuru wa kuamua waishi vipi. Uhuru ni faida ambayo haiwezi kupimwa kwa pesa.

Hujanijibu swali langu, ukitaka kuwamulia watu wengine juu ya nani walale naye na walale naye vipi, wewe uko tayari kuamriwa hivyo hivyo?

Au unaleta habari za "Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu"?
 
Kama ni private matter kwa nini aje adai hadharani kuwa anataka atambuliwe kuwa yeye anafanywa !??........kwanini isibakie huko huko private !..........why do they promote !!?

Ukifuatilia posts zangu, mimi nina consider haya mambo kuwa private, sitaki promotion ya gay parade wala sitaki kuona watu straight waki kiss in public.

Because there are so many issues, including influencing minors.

Kwa hiyo suala la promotion of gay lifestyle in the public sphere mimi sikubaliani nalo.

Kama nisivyokubaliana na promotion of the straight lifestyle in the public sphere (kissing and all excessively sexual public display of affection)

Ninachokataa mimi ni habari hizi za kupitisha sheria au kuendeleza sheria zinazosema kwamba homosexuality is illegal, kiasi kwamba hata watu wazima wawili wa jinsia moja wakiamua kufanyana kivyao, serikali iweze kuwashitaki kwa kuvunja sheria.

Hilo ndilo sikubaliani nalo.

I have never endorsed public display of affection of any kind.

Kama mtu anataka kutetea mila za kiafrika, kitu cha kupinga ni public display of affection, which includes public kissing by straight couples.

na hata atakayesema habari za uhuru, public display of affection inaingilia uhuru wa wengine.

Sijasikia watu wakipinga public display of affection hizi kwa straight people, ingawa si utamaduni wetu wa kiafrika pia as far as I know.
 
Kama our morals outweighs the preference bit, yes, tutamwambia hiyo 'coca cola' yake inatukwaza...
Kiranga, mimi naona tunachofanya sasa hivi bila sisi wenyewe kujua, ni kukazana 'kupromote' issue nzima ya ushoga, na mwishowe ndio huko unakosema tutaelekea...ambako tutaona ushoga ni kawaidaaa...which its not....

Coca Cola ianweza kukukwaza tu kama itawekwa kwenye glasi yako, au utaringishiwa in public.

Mimi nimekataa all sorts of public displays/ promotions, za straight sex (kissing ya straight couple kwa mfano) na ya gays (gay parades kwa mfano).

These are private matters, least of all kwa sababu kuna maswala ya haki za nani zinaingilia uhuru wa nani in the public sphere.

Kwa mtu mwenye watoto wadogo ambao hataki wawe exposed kwa "mambo ya wakubwa" hata watu wawili straight waki kiss in public tayari watakuwa washamuingilia uhuru wake wa kuwa in the public space na watoto wake bila kuwa concerned na watu wanaokiss.

Mimi objection yangu ni hizi sheria zinazosema blanketly kwamba homosexuality is illegal.

Kiasi kwamba hata watu wazima wawili wa jinsia moja wakiamua wenyewe kufanyana wanavyojua wenyewe chumbani mwao serikali iweze kuwakamata na kuwahukumu kwa kufanya mambo kinyume na sheria.

Hilo ndilo silitaki, kwa sababu this is a private matter.

Kuipinga issue ya ushoga, counter intuitively, ni kuipa "promotion through victimhood".

Tayari watu washaanza kuilinganisha hii movement ya gay rights na habari za civil rights movements zilizopinga kubaguliwa watu weusi.

Cha kufanya ni kuwapa hizo haki wanazozisema, wapeni haki hata ya kuoana waende kuona uchungu wa ndoa, tusikie mashoga wanapeana talaka, then all the hoopla will die.

Sasa hivi mnaupa ushoga "the banned book effect".

Kitabu kilichopigwa marufuku kinawapa watu ambao hata si wapenzi wa kusoma kutaka kujua kina nini cha zaidi mpaka kipigwe marufuku, kiasi kwamba kule kupigwa marufuku, ambako kulilenga kukifanya kitabu kipotee, ndiko kunafanya kipate umaarufu zaidi na zaidi.

Ndicho mnachofanya sasa hivi.

Mimi naona wapeni tu hizo haki zao, within reason, then you remove the mystery about the whole thing.
 
Mwanaume kuoa Mwanaume mwenziwe na Mwanaume kuoa Mwanamke haiwezi kuwa ni sawa na Fanta na Coca Cola. Hiyo ni mifano ya kuishiwa hoja !
Uhuru una mipaka yake, huwezi kupewa uhuru wa kuwa mpumavu au kufanya upumbavu. Ndio maana uki attempt kujiua na ukashindwa unashitakiwa na utafungwa vile vile japokuwa uhai ni wako !
Binaadamu asiyetaka watoto si mkamilifu, kama atatokea ni mgumba basi ni bahati mbaya na anaweza kufarijiwa na watoto wa ndugu zake.

Halafu nikuulize Kiranga, mbona uko Ulaya kwenyewe hawaelewani kuhusu jambo hilo !? ......mara jimbo hili limeruhusu, mara hili limekataza, mara hawa wako Mhahakamani !...........kwanini kisiwe kitu cha straight, kuwa Wamarekani woote pomoja na wapiga box wanaliwa kiboga !!?

Mifano inahusiana as much as personal choice is concerned.

Swali moja kwako.

Wewe utakubali kupangiwa nani ulale naye na ulale naye vipi?
 
Mfano wako ndiyo absurd.
Umewahi kusikia wapi mtoto wa kiume "kabakwa" na kulawitiwa na "huyu"(single character)?

Kwanza wapi nimesema kwamba nimeandika kuhusu mtoto wa kiume?

Halafu pili, definition yako ya kubakwa ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom