Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Ukifuatilia posts zangu, mimi nina consider haya mambo kuwa private, sitaki promotion ya gay parade wala sitaki kuona watu straight waki kiss in public.

Because there are so many issues, including influencing minors.

Kwa hiyo suala la promotion of gay lifestyle in the public sphere mimi sikubaliani nalo.

Kama nisivyokubaliana na promotion of the straight lifestyle in the public sphere (kissing and all excessively sexual public display of affection)

Ninachokataa mimi ni habari hizi za kupitisha sheria au kuendeleza sheria zinazosema kwamba homosexuality is illegal, kiasi kwamba hata watu wazima wawili wa jinsia moja wakiamua kufanyana kivyao, serikali iweze kuwashitaki kwa kuvunja sheria.

Hilo ndilo sikubaliani nalo.

I have never endorsed public display of affection of any kind.

Kama mtu anataka kutetea mila za kiafrika, kitu cha kupinga ni public display of affection, which includes public kissing by straight couples.

na hata atakayesema habari za uhuru, public display of affection inaingilia uhuru wa wengine.

Sijasikia watu wakipinga public display of affection hizi kwa straight people, ingawa si utamaduni wetu wa kiafrika pia as far as I know.

Kiranga..
Nafikiri unachopinga wewe ndicho wanachopinga Viongozi wa Kiafrika na Waafrika kwa Ujumla..

Ushoga upo sana Afrika hata kama tunapinga kwa nguvu gani..Mbona kuna bar/night clubs zinajulikana kabisa kuwa zina mashoga wanajiuza waziwazi na hatuoni wakikamatwa??

Kinachopingwa ni Viongozi wa mataifa makubwa kutaka mashoga legally watambuliwe na kupata haki zao za msingi(Sijui ni zipi??),hapa lazima tutarudi kule unapokataa wewe ''Straight public display of affection'' tukiwatambua tayari tutakuwa tumewapa Uhuru wa kufanya Ushoga wao waziwazi...

Kama kuna mashoga wanafanya mambo yao private/vyumbani mwao hatuna shida nao..Waendelee tu ila Wasitulazimishe Tuwatambue..na wakifanya mambo yao hadharani watakuwa wamevunja sheria..

Tukiwatambua mashoga kihalali wataanza kudai Wapate nafasi fulani fulani kutokana na Ushoga wao...hili halitakaa likubalike kwa jamii Za Kiafrika..
 
Mifano inahusiana as much as personal choice is concerned.

Swali moja kwako.

Wewe utakubali kupangiwa nani ulale naye na ulale naye vipi?

Wacha ujanja ujanja na upotoshaji wa maneno ! sema moja kwa moja kuwa hutaki kupangiwa aidha ulale na Mwanamke (tena awe mke wako) au si ruhusa Mwanaume kulala na Mwanaume mwenziwe kwa nia ya mmoja kutumika kinyume cha maumbile !
Hilo si suala la kupangiwa, unalala na Mwanaume mwenzio ili iweje ?!
Niliwahi kukuuliza hapo kabla, ni kitu gani Mwanaume kinamvutia juu ya Mwnaume mwenziwe ??? lete jibu !
 
Kama kuna mashoga wanafanya mambo yao private/vyumbani mwao hatuna shida nao..Waendelee tu ila Wasitulazimishe Tuwatambue..na wakifanya mambo yao hadharani watakuwa wamevunja sheria..

Lakini unachosema wewe ni tofauti kabisa na inavyosema sheria ya Uganda. Huko ushoga ni marufuku iwe faraghani au hadharani.

Na pia walipendekeza kuwa iwe kosa kutokuripoti mashoga lakini nadhani kipengele hicho kiliondolewa.

Tukiwatambua mashoga kihalali wataanza kudai Wapate nafasi fulani fulani kutokana na Ushoga wao...hili halitakaa likubalike kwa jamii Za Kiafrika..

Binafsi sina kabisa tatizo kama hawatatambuliwa kihalali (kwanza sina hakina hiyo maana yake ni nini) lakini nina tatizo na kupangia watu mambo ya vyumbani mwao.
 
Wacha ujanja ujanja na upotoshaji wa maneno ! sema moja kwa moja kuwa hutaki kupangiwa aidha ulale na Mwanamke (tena awe mke wako) au si ruhusa Mwanaume kulala na Mwanaume mwenziwe kwa nia ya mmoja kutumika kinyume cha maumbile !
Hilo si suala la kupangiwa, unalala na Mwanaume mwenzio ili iweje ?!
Niliwahi kukuuliza hapo kabla, ni kitu gani Mwanaume kinamvutia juu ya Mwnaume mwenziwe ??? lete jibu !

Ujanja ujanja unauleta wewe ambaye hutaki kujibu swali straight.

Ama unakubali kupangiwa au hukubali. Jibu lako ni lipi?
 
Coca Cola ianweza kukukwaza tu kama itawekwa kwenye glasi yako, au utaringishiwa in public.

Mimi nimekataa all sorts of public displays/ promotions, za straight sex (kissing ya straight couple kwa mfano) na ya gays (gay parades kwa mfano).

These are private matters, least of all kwa sababu kuna maswala ya haki za nani zinaingilia uhuru wa nani in the public sphere.

Kwa mtu mwenye watoto wadogo ambao hataki wawe exposed kwa "mambo ya wakubwa" hata watu wawili straight waki kiss in public tayari watakuwa washamuingilia uhuru wake wa kuwa in the public space na watoto wake bila kuwa concerned na watu wanaokiss.

Mimi objection yangu ni hizi sheria zinazosema blanketly kwamba homosexuality is illegal.

Kiasi kwamba hata watu wazima wawili wa jinsia moja wakiamua wenyewe kufanyana wanavyojua wenyewe chumbani mwao serikali iweze kuwakamata na kuwahukumu kwa kufanya mambo kinyume na sheria.

Hilo ndilo silitaki, kwa sababu this is a private matter.

Kuipinga issue ya ushoga, counter intuitively, ni kuipa "promotion through victimhood".

Tayari watu washaanza kuilinganisha hii movement ya gay rights na habari za civil rights movements zilizopinga kubaguliwa watu weusi.

Cha kufanya ni kuwapa hizo haki wanazozisema, wapeni haki hata ya kuoana waende kuona uchungu wa ndoa, tusikie mashoga wanapeana talaka, then all the hoopla will die.

Sasa hivi mnaupa ushoga "the banned book effect".

Kitabu kilichopigwa marufuku kinawapa watu ambao hata si wapenzi wa kusoma kutaka kujua kina nini cha zaidi mpaka kipigwe marufuku, kiasi kwamba kule kupigwa marufuku, ambako kulilenga kukifanya kitabu kipotee, ndiko kunafanya kipate umaarufu zaidi na zaidi.

Ndicho mnachofanya sasa hivi.

Mimi naona wapeni tu hizo haki zao, within reason, then you remove the mystery about the whole thing.

Kiranga, nina uhakika kama hawa watu wangebaki huko private na wamalizie huko sie wala wasingetusumbua (na ndio madai ya kuwa wamekuwepo toka enzi na enzi inaleta maana). Its like sasa, tuna uhakika gani kuwa wanandoa wanafanyia upande upi (kisheria, mama 'akigeuzwa' ni kosa na hata zile imani ngumu zinaruhusu talaka)

Lakini ya hawa 'wajaa laana' kuja barabarani na kutaka wapewe attention (na mwishowe ni kuwa-influence wanetu) kama vile wafanyacho ndicho sawia...hell no.
 
Lakini unachosema wewe ni tofauti kabisa na inavyosema sheria ya Uganda. Huko ushoga ni marufuku iwe faraghani au hadharani.

Na pia walipendekeza kuwa iwe kosa kutokuripoti mashoga lakini nadhani kipengele hicho kiliondolewa.

Binafsi sina kabisa tatizo kama hawatatambuliwa kihalali (kwanza sina hakina hiyo maana yake ni nini) lakini nina tatizo na kupangia watu mambo ya vyumbani mwao.

Hakuna mtu yeyote aliye wahi kupangiwa mambo ya chumbani kwake. Hapa madai ni kuwa wao watambuliwe rasmi kuwa kufanya upumbavu na kuijulisha jamii kuwa wao ni wapumbavu ni jambo la kawaida. Wanaenda mbali kwa kudai kuwa kuishi kinyumba (sawa na mke na mume) kutambuliwe kisheria ikiwezeka huo uhusiano serikali itambue kisheria. Kwa mfano, Basha kama linafanya klazi serikalini, basi aweze kumpa Bima ya matibabu Mseng.e wake !
Hivyo msipotoshe kwa kuleta stori za kulala kitandani !
 
Kupangiwa ulale na nani kivipi.

Kama wewe unavyotaka kuwapangia was.enge na mabasha zao hapa.

Siku zote ------- na Mabasha zao wana lala pamoja na ndio maana ya kuitwa hivyo !
iweje leo waje barabarani kuja kutulazimisha sisi tuwatambue wao ni ------- na Mabasha na Wasagaji ?.........wamepungukiwa nini ?
 
Hakuna mtu yeyote aliye wahi kupangiwa mambo ya chumbani kwake. Hapa madai ni kuwa wao watambuliwe rasmi kuwa kufanya upumbavu na kuijulisha jamii kuwa wao ni wapumbavu ni jambo la kawaida. Wanaenda mbali kwa kudai kuwa kuishi kinyumba (sawa na mke na mume) kutambuliwe kisheria ikiwezeka huo uhusiano serikali itambue kisheria. Kwa mfano, Basha kama linafanya klazi serikalini, basi aweze kumpa Bima ya matibabu Mseng.e wake !
Hivyo msipotoshe kwa kuleta stori za kulala kitandani !

Sheria aliyosaini Museveni inakataza kabisa ushoga, popote pale ndani ya Uganda. Unabisha?
 
Siku zote ------- na Mabasha zao wana lala pamoja na ndio maana ya kuitwa hivyo !
iweje leo waje barabarani kuja kutulazimisha sisi tuwatambue wao ni ------- na Mabasha na Wasagaji ?.........wamepungukiwa nini ?

Hujanisoma kabisa, nakushauri unisome, siko kutetea gays wala straight waje barabarani kutuonesha mambo ya faraghani.

Mimi sitaki kuona hata straight people wanakiss in public, na hao gay mambo yao sijui parades na nini sitaki.

Inaingilia uhuru wa wanaotaka kukuza watoto wao vinginevyo kwa mfano.

Tatizo langu ni mi nchi inapotunga sheria kusema homosexuality is illegal, maana yake hata was.enge na mabasha zao watu wazima wote, wakiamua kufanyana wanavyojua wenyewe in the privacy of their homes, wanaweza kukamatwa na kushitakiwa kwa hilo.

Habari hiyo ndiyo nisiyoikubali, kwa sababu hili ni suala la faragha ya mtu binafsi na huyo aliyeamua kuwa naye.
 
Sheria aliyosaini Museveni inakataza kabisa ushoga, popote pale ndani ya Uganda. Unabisha?

Ndio maana yake, kwani walivuka mipaka na kuanza kupromote jambo hilo kama ni jambo la kawaida !
cha kushangaza huko huko lwenye haki za binaadamu yanako tokea mambo haya bado wanabishana ! mara jimbo hili limepitisha, mara jingine limekataa, mara wengine wako Mahakamani, sasa kwa nini !??
Kwa nini huko huko kwao ni suala la mapamabano !??
 
Wakipitisha hiyo ya gays, watakwenda kwa wala tigo.

Si mnakubali kupangiana mambo ya faragha?

Wanaweka sheria tu kula tigo (haijalishi kwa mwanamke au mwanamme) ukikamatwa unafungwa miaka 30.

Kisha mmezozana na gf wako anakusingizia umemla tigo.

Wakiisha hapo watasema sex before marriage nayo ni illegal, ukikamatwa miaka 30.

Tunaenda kwenye Utaliban kidogo kidogo.
 
Hujanisoma kabisa, nakushauri unisome, siko kutetea gays wala straight waje barabarani kutuonesha mambo ya faraghani.

Mimi sitaki kuona hata straight people wanakiss in public, na hao gay mambo yao sijui parades na nini sitaki.

Inaingilia uhuru wa wanaotaka kukuza watoto wao vinginevyo kwa mfano.

Tatizo langu ni mi nchi inapotunga sheria kusema homosexuality is illegal, maana yake hata was.enge na mabasha zao watu wazima wote, wakiamua kufanyana wanavyojua wenyewe in the privacy of their homes, wanaweza kukamatwa na kushitakiwa kwa hilo.

Habari hiyo ndiyo nisiyoikubali, kwa sababu hili ni suala la faragha ya mtu binafsi na huyo aliyeamua kuwa naye.

Kwa nini wewe ukerwe watu waki kiss barabarani !?.............wamefikisha watu/serikali hapo kwa kutaka kuaminisha watu kuwa matendo yao ni jambo la kawaida na inabidi waoane kama ndoa nyingine ya jinsia tofauti !
Yaani mkibahatika kuwa na Rais shoga, basi basha wake ahudumiwe marupurupu yote ya 'mume' wa Rais !
 
Ndio maana yake, kwani walivuka mipaka na kuanza kupromote jambo hilo kama ni jambo la kawaida !
cha kushangaza huko huko lwenye haki za binaadamu yanako tokea mambo haya bado wanabishana ! mara jimbo hili limepitisha, mara jingine limekataa, mara wengine wako Mahakamani, sasa kwa nini !??
Kwa nini huko huko kwao ni suala la mapamabano !??

You are contradicting yourself.

Mara hakuna aliyepangiwa, mara kupangiwa ni poa tu kwani wamevuka mpaka.

Hujajibu swali.

Wewe ungependa kupangiwa?
 
Wakipitisha hiyo ya gays, watakwenda kwa wala tigo.

Si mnakubali kupangiana mambo ya faragha?

Wanaweka sheria tu kula tigo (haijalishi kwa mwanamke au mwanamme) ukikamatwa unafungwa miaka 30.

Kisha mmezozana na gf wako anakusingizia umemla tigo.

Wakiisha hapo watasema sex before marriage nayo ni illegal, ukikamatwa miaka 30.

Tunaenda kwenye Utaliban kidogo kidogo.

Vyote unavyosema ni illegal ! kama unaweza kupata kabla ya kuoa kuna maana gani ya kuoa !?
Kuoa ndio kuna kupa ruhusa ya kufanya tendo la ndoa, na vinginevyo ndio kuuza na kununua miili kama bidhaa, ambacho ni kinyume cha sheria.
 
Ndio maana yake, kwani walivuka mipaka na kuanza kupromote jambo hilo kama ni jambo la kawaida !

Ahaa! Kwa hiyo tatizo lako wewe ni promosheni tu, siyo? Kwamba mashoga wakijifanyia mambo yao huko mavyumbani mwao wakiwa wamejifungia bila kutubugudhi sisi wengine huku uraiani, huna tatizo nao?

cha kushangaza huko huko lwenye haki za binaadamu yanako tokea mambo haya bado wanabishana !

Nani huko kasaini sheria inayopiga marufuku ushoga kwa ujumla wake? Manake wanachobishania siyo suala la ushoga au la. Mabishano zaidi yapo kwenye ndoa, yaani ndoa za mashoga zitambuliwe kihalali (kisheria). Lakini mambo ya kusema sijui ushoga ni marufuku mimi sijawahi kuyasikia. Uganda ni kinyume chake kabisa. Uganda ushoga ni marufuku, iwe faraghani au hadharani. Sasa mimi nahoji, mambo ya faragha ya mtu wengine yanawahusu nini? Nani anapenda kuingiliwa faragha yake? Wewe unapenda?

mara jimbo hili limepitisha, mara jingine limekataa, mara wengine wako Mahakamani, sasa kwa nini !??

Narudia tena, hawabishani kuhusu ushoga kwa ujumla wake. Fuatilia mambo na utaelewa kama utataka kuelewa.

Kwa nini huko huko kwao ni suala la mapamabano !??

Huko hakuna watu wanaofungwa jela miaka 14 au maisha kisa tu wao ni mashoga. Hakuna. Na kama zamani ilikuwa hivyo, basi wameshafutilia mbali huo ujinga wa kupangia watu maisha ya vyumbani mwao.
 
kama ni kweli basi mugabe katisha!!! lol. kibabu kina miconfidence ya hatari!
 
You are contradicting yourself.

Mara hakuna aliyepangiwa, mara kupangiwa ni poa tu kwani wamevuka mpaka.

Hujajibu swali.

Wewe ungependa kupangiwa?

wacha ujinga bana ! kupangiwa nini sasa ? ..........nikiwa nimeoa na nina mke wangu napangiwa nini ?
Nimekuuliza Mwanaume anavutiwa nini juu ya Mwanaume mwenziwe mbona unakwepa hujibu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom