Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Kwa nini wewe ukerwe watu waki kiss barabarani !?.............wamefikisha watu/serikali hapo kwa kutaka kuaminisha watu kuwa matendo yao ni jambo la kawaida na inabidi waoane kama ndoa nyingine ya jinsia tofauti !
Yaani mkibahatika kuwa na Rais shoga, basi basha wake ahudumiwe marupurupu yote ya 'mume' wa Rais !

Watu straight ku kiss barabarani na gay parade kupita barabarani zote ni public displays tu.

Za mambo ya faragha.

Zinaingilia uhuru wa watu wengine, mathalani, wanaolea watoto wadogo katika maadili yasiyoruhusu watoto kuona mambo ya wakubwa.

Nimeutoa mfano huu wa watoto hapo juu.

Napata shaka kwamba unanisoma kwa kuuliza swali hili.
 
Ahaa! Kwa hiyo tatizo lako wewe ni promosheni tu, siyo? Kwamba mashoga wakijifanyia mambo yao huko mavyumbani mwao wakiwa wamejifungia bila kutubugudhi sisi wengine huku uraiani, huna tatizo nao?

Nani huko kasaini sheria inayopiga marufuku ushoga kwa ujumla wake? Manake wanachobishania siyo suala la ushoga au la. Mabishano zaidi yapo kwenye ndoa, yaani ndoa za mashoga zitambuliwe kihalali (kisheria). Lakini mambo ya kusema sijui ushoga ni marufuku mimi sijawahi kuyasikia. Uganda ni kinyume chake kabisa. Uganda ushoga ni marufuku, iwe faraghani au hadharani. Sasa mimi nahoji, mambo ya faragha ya mtu wengine yanawahusu nini? Nani anapenda kuingiliwa faragha yake? Wewe unapenda?

Narudia tena, hawabishani kuhusu ushoga kwa ujumla wake. Fuatilia mambo na utaelewa kama utataka kuelewa.

Huko hakuna watu wanaofungwa jela miaka 14 au maisha kisa tu wao ni mashoga. Hakuna. Na kama zamani ilikuwa hivyo, basi wameshafutilia mbali huo ujinga wa kupangia watu maisha ya vyumbani mwao.

Usitueleze ujinga bana ! wao wenyewe wanasigana kwa jambo hilo na majimbo mengine yamepigwa marufuku. watu wanaishi kama wabwia unga tuu, unawagundua wakisha vuta !
Kwanini kama ni jambo zuri Jeshi la Marekani walikuwa na sera ya 'Dont Ask and Dont Tell' !??
 
Watu straight ku kiss barabarani na gay parade kupita barabarani zote ni public displays tu.

Za mambo ya faragha.

Zinaingilia uhuru wa watu wengine, mathalani, wanaolea watoto wadogo katika maadili yasiyoruhusu watoto kuona mambo ya wakubwa.

Nimeutoa mfano huu wa watoto hapo juu.

Napata shaka kwamba unanisoma kwa kuuliza swali hili.

Maana yangu kama unaona ni baya kwa public displays litakuwaje zuri likiwa katika faragha ? hawa watu wameenda mbali mpaka kudai haki ya adoption !
Nakusoma na nakuelewa. Haiwezekani jambo hilo hilo faragha liwe ni la kheri lakini hadharani ligeuke la shari ! kitu kibaya ni kibaya tuu !
 
Baya kwenye public display kwa sababu litaingilia uhuru wa wengine.

Hutaki kuona gays wawili waki kiss hadharani right? I respect your right to not being exposed to that.

Huko private hawa ni watu wazima wawili, wamekubaliana, hawamuoneshi mtu yeyote asiyetaka habari hizi, hakuna habari ya kuingilia uhuru wa mwingine, wewe hata hujui kinachoendelea huko na wao wanafurahi kivyao.

Everybody is happy.

Ubaya unatoka wapi hapo?
 
Usitueleze ujinga bana ! wao wenyewe wanasiga kwa jambo hilo na majimbo mengine yamepigwa marufuku.

Nini kimepigwa marufuku na kwenye jimbo gani?

watu wanaishi kama wabwia unga tuu, unawagundua wakisha vuta !

Hahaaa mbona unafura hivyo? Hoja zimebana nini?

Kwanini kama ni jambo zuri Jeshi la Marekani walikuwa na sera ya 'Dont Ask and Dont Tell' !

DADT haikupiga marufuku ushoga. Kinyume chake, iliondoa (kinadharia) ubaguzi wa uliokuwepo tokea vita vikuu vya pili vya dunia ambapo ushoga ulikuwa umepigwa marufuku katika jeshi la Marekani.

Usiulize, usiseme. Kwamba, hata kama unamhisi mtu kuwa ni shoga basi jali ya kwako, achana na ya kwake. Na mtu kama yeye ni shoga, basi ajali yake bila kujitaja taja kuwa yeye ni shoga.

Sheria iliyosainiwa na Rais Clinton mwaka 1993 kuuondoa ubaguzi ulikuwepo. Kwa hiyo acha hizo zako za kuitaja DADT kana kwamba ilikuwa inapiga marufuku ushoga wakati kinyume chake ndo ukweli wenyewe.

Jielimishe zaidi:

Don't Ask, Don't Tell (DADT), byname for the former official U.S. policy (1993–2011) regarding the service of homosexuals in the military. The term was coined after Pres. Bill Clinton in 1993 signed a law (consisting of statute, regulations, and policy memoranda) directing that military personnel "don't ask, don't tell, don't pursue, and don't harass." When it went into effect on October 1, 1993, the policy theoretically lifted a ban on homosexual service that had been instituted during World War II, though in effect it continued a statutory ban. In December 2010 both the House of Representatives and the Senate voted to repeal the policy, and Pres. Barack Obama signed the legislation on December 22. The policy officially ended on September 20, 2011.

Taarifa zaidi, bofya hapa.
 
........since wwII mpaka sept 2011 !..........jambo zuri kwa nini lichukue muda wote huo !??:A S 13:
Ni ujanja tu wa kupata wajinga wakuwatumia kwenye vita vyao vya kibeberu visivyo na misingi yoyote ya haki !
 
Baya kwenye public display kwa sababu litaingilia uhuru wa wengine.

Hutaki kuona gays wawili waki kiss hadharani right? I respect your right to not being exposed to that.

Huko private hawa ni watu wazima wawili, wamekubaliana, hawamuoneshi mtu yeyote asiyetaka habari hizi, hakuna habari ya kuingilia uhuru wa mwingine, wewe hata hujui kinachoendelea huko na wao wanafurahi kivyao.

Everybody is happy.

Ubaya unatoka wapi hapo?

........ubaya ni kuanzia tendo lenyewe lisilo na tija yeyote katika maisha ya binaadamu na kuipotosha jamii kuwa huo ujinga ni haki na jambo la maana !
Wana maana gani wanapotaka kutambuliwa na kuwa waoane katika taratibu za kawaida !!?
 
Lisilo na tija kwa nani?
 
........since wwII mpaka sept 2011 !..........jambo zuri kwa nini lichukue muda wote huo !??:A S 13:
Ni ujanja tu wa kupata wajinga wakuwatumia kwenye vita vyao vya kibeberu visivyo na misingi yoyote ya haki !

Umesoma na kuelewa au umekurupuka tu kama kawaida yako?
 
Umesoma na kuelewa au umekurupuka tu kama kawaida yako?

...........uliyekurupuka ni wewe ! mie sijakuquote wewe, hivyo unajuaje kama nimesoma au sikuelewa !
Kwanza wewe ni mtu uliyekula Ban, how come post yako ya kwanza unadai mie nimekurupuka, unanijua wapi ??
Au Bwan'Nchuchu ?
 
...........uliyekurupuka ni wewe ! mie sijakuquote wewe, hivyo unajuaje kama nimesoma au sikuelewa !

Eti nimejuaje kama umesoma na hukuelewa.....kwani sina macho ya kuona ulichoandika? We vipi wewe....

Kwanza wewe ni mtu uliyekula Ban,

Nimekulaje ban wakati nipo hapa najibu pumba zako?

how come post yako ya kwanza unadai mie nimekurupuka, unanijua wapi ??

Kwani lazima nikujue? We wote hao unaojibishana nao humu unawajua?

Au Bwan'Nchuchu ?

Mzee Kibadiru mie.
 
Ushoga ulikuwa hadimu na aibu ya kupindukia kutokana na namna usivyozungumzwa mbele ya jamii mpaka kufikia ukitamka neno shoga ni tusi kubwa sana.

Ila kwa namna linavyopewa air time kubwa saivi watu wataanza kulizoea na kuliona jambo la kawaida kutokana na kuzumzwa sana tofauti na awali.

Na hii ndio kusudi la wamangaribi wawaletee huu ushetani muujadili muuzoee then watapatikana wa kuwasapoti wakija baadaye na hii inafanya kazi kweli natahamaki sana ninapoona posts mtu anatetea au hata kuwa neutral juu ya huu ushetani ambao hata wanyama wasio na utashi kama ule Mungu ametupa wanadamu hawawezi kuufanya.

Ila hizi ndo nyakati za mwisho kiyama iko karibu.
 
Mnamsifia mjinga huyo alichukuwa nchi ikiwa first world kaifanya third world na nusu ya wananchi wake wameishia ukimbizini kuwa manamba..poleni kwa ujinga
Tunazungumzia ushoga boss na hisia za viongozi wetu sio mambo jumla jumla!
 
Ditto!

Kwa siku mbili tatu hizi Museveni kapewa plaudits na watu humu kwa kinachodaiwa kutia saini muswada wa sheria inayokataza wanawake nchini Uganda kuvaa nguo fupi.

Kaitwa mfano wa kuigwa, kiongozi imara, na sifa nyinginezo kama hizo.

Watu hawaoni ubaya wowote wa hiyo sheria na ghafla bin vuu ni kama wamesahau kama lijamaa ni lidikteta na just like that, with the stroke of a pen, limegeuka kuwa shujaa!!

Viwango vya Waafrika ni vya chini sana aisee.
Hakuna mtu aliyesahau visa vyake ,ila kwa suali la ushoga na misimao wake tunamsifu,yeye kadhihirisha hataki ,hataki ,hataki na hataki!
 
Acha kukurupuka kwenye mashimo yako ukadhani wote tuko uko, tupe data ya nchi mojawapo ambako kuna wakimbizi wa Zimbabwe kama si mkurupukaji kweli

Unaishi wapi wewe?seems ndio umeibuka kutoka kwenye hilo shimo ulklokuwa umelala
 
Eti nimejuaje kama umesoma na hukuelewa.....kwani sina macho ya kuona ulichoandika? We vipi wewe....

Nimekulaje ban wakati nipo hapa najibu pumba zako?

Kwani lazima nikujue? We wote hao unaojibishana nao humu unawajua?

Mzee Kibadiru mie.

Bwan'Nchuchu umerudi tena !?.........post yako ya saba, lakini umejiunga na JF 2012 !:A S 13:
 
Hawa watu ni wa ajabu sana !..............kwani use.nge ni kilema ? au ni kasoro ?...........mbona sasa wanadai haki kama ni kitu timamu. Wanadai haki kama vile umezuia fursa ya mtoto kusoma !:A S 13:

Sisi tunayo hofu ya Mungu kama jamii ya kiafrika hivyo kwa kuruhusu ushoga ni kuleta ulemavu wa kiroho. Hata kiakili mwanaume ambaye ni mse.nge huwa wakati mwingine waanza kuwa saikolojia ya kike. Mimi huwa nawaona watu hawa maeneo ya magomeni wakiiitwa majina yanayoanza na Aunt so and so na huitika kwa kuwa wanatabia fulani za kike. Ni kilema kiroho, kialkili (kisaikolojia) na kiakili. Hivi ile njia ya haja kubwa ikomeant kwa kupitishi uume.
 
hongera nyingi kwa rair wa zmbabwe coz sizan hata M/Mungu anapendezwa na vitendo hivyo....!!
 
Acha kukurupuka kwenye mashimo yako ukadhani wote tuko uko, tupe data ya nchi mojawapo ambako kuna wakimbizi wa Zimbabwe kama si mkurupukaji kweli

CHARLAYNE HUNTER-GAULT: This bustling but run-down area of Johannesburg is known as Hillbrow. Its grimy streets are lined with sleepy hotels and decaying tenements, peopled with prostitutes, drug dealers, criminals and hustlers from all over the continent. In recent years, an estimated 2 million Zimbabweans have crossed into South Africa, many of them winding up here.........sasa google pata data zote au check with UNHCR acha uvivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom