Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Sawa ulikuwepo toka enzi na enzi, kwa nini leo ndio uwe issue ya kutulaza macho?....

Kwa sababu Mugabe na wenzake hawana kizuri cha kusema kwenye uchumi na ku address mambo uliyoyataja kwamba muhimu. Hii ni trick ya magirini ya kisiasa.

Nature abhorrs a vacuum, hawa "viongozi" wanajua hilo. Na kwa sababu hawajafanya la maana, wanataka ku create some false accomplishments.

Tukirudi kwenye vijiji vya nyumbani, hawa mashoga wapo ila hawaonekani? Kwa nini rate kubwa imejaa mijini kama sio issue za kuiga tu? (majority)...Kama ni za kuiga, basi na tuzipige vita kwa nguvu zote......

Vijiji gani unaviongelea? Umetembelea vijiji vyote? Utajuaje fulani ni shoga na fulani si shoga wakati jambo lenyewe ni a private matter?

Kikwete ameshikwa kigugumizi kwa 'kuogopa' kuudhi wakubwa..huu ni mtazamo wangu...Kama tukiamua kusema NO basi itakuwa NO kweli....Ni mara ngapi tumeshuhudia watu wakipandwa na mahasira kisa imani yake imesemwa vibaya, then kwa nini tusiseme NO kwenye issue hii...Kwa hiyo hata wakituletea mambo yao kwenye vitu tunavyotaka, tunaweza kusema hapana....

Unasema "tu" "tu" "tu" hao "tu" ni kina nani?

African/ Tanzanian society is not homogeneous.
 
Kwa sababu Mugabe na wenzake hawana kizuri cha kusema kwenye uchumi na ku address mambo uliyoyataja kwamba muhimu. Hii ni trick ya magirini ya kisiasa.

Nature abhorrs a vacuum, hawa "viongozi" wanajua hilo. Na kwa sababu hawajafanya la maana, wanataka ku create some false accomplishments.

Vijiji gani unaviongelea? Umetembelea vijiji vyote? Utajuaje fulani ni shoga na fulani si shoga wakati jambo lenyewe ni a private matter?

Unasema "tu" "tu" "tu" hao "tu" ni kina nani?

African/ Tanzanian society is not homogeneous.

'Tu' sisi tuliobaki nyumbani sio nyie wa magharibi...Vijiji vyetu vya Tanzania ambako ushoga ni laana, siyo vya mgharibi ambavyo vina muelekeo wa kuona ushoga ni sahihi.....
 
Si kweli kwamba mliobaki nyumbani wote hampendi ushoga.

Ingekuwa hivyo kungekuwa hamna haja ya kutunga sheria dhidi ya ushoga na kuushadadia hivyo.

Wewe unapenda Coca Cola, mwingine anapenda Fanta, kwa nini umlazimishe anayependa Fanta apende Coca Cola?

Na yeye akikulazimisha upende Fanta je?

Mnataka kulazimisha wanaopenda ushoga waache ushoga na kufuata mnavyotaka nyie, na wao wakitaka kuwalazimisha mpende ushoga mtaona sawa?
 
Hii thread inanikumbusha kitabu cha "What's The Matter With Kansas?".

There is a book to be written "What's The Matter With Africa?"

Mijitu inawaibia, inawaulia ndugu zenu, halafu inawazuga kwa habari za kupinga gay rights mnaona mna viongozi wa kufaaa sanaa tu.

51Bc09lFSKL._SY344_PJlook-inside-v2,TopRight,1,0_SH20_BO1,204,203,200_.jpg
 
Jamii ni watu wenye ujamaa kwa namna fulani, jamii ya mashoga ina ujamaa kwa ushoga.

Ushoga ukiwa ni disorder au si disorder si muhimu, kitu muhimu ni kwamba usimnyime mtu haki ya kufanya anachotaka.

Halafu, kama ushoga ni disorder, hilo litakufanya uwe muonevu zaidi kuwanyima watu wenye disorder haki zao.

Utakuwa kama unataka kumnyima mlemavu haki ya kuwa na wheelchair, unamlazimisha atembee bila wheelchair kama wasio ulemavu!

Mlemavu wa viungo anajua kuwa kwa asili ana mapungufu na anatambua kuwa wheelchair si life style but life assistant. Hawa mashoga wanataka kufanya ushoga wao ni normal & it can be life style. Mbaya zaidi matendo yao yana-induce bad efffect to the society(the normal natural society).
 
.............ushoga hauwezi kuwa kilema, bali ni tabia, tena tabia mbaya ! Hakuna haki katika ushoga bali ni kuendekeza upumbavu. Wana discourage ndo za mitaala na wana encourage use.nge na ndo za jinsia moja.
Kuna nchi ni kosa la jinai kuoa mke zaidi ya mmoja !
Anaye oa mke zaidi ya mmoja, anaongeza jamii, mashoga wanauoa kizazi !...........yupi yumo katika hasara?:A S 13:
 
Like I said.

Ulemavu au si ulemavi siyo issue, issue ni uhuru wa watu kuchagua.

Na mtu akishakuwa mlemavu, kufanya ulemavu ndiyo lifestyle yake si kosa.

Walemavu wameenda mpaka kushindana kwenye Olympics, wakatazeni basi wasishindane kwenye mashindano ya walemavu, kwa kuwa kufanya hivyo kunafanya ulemavu uwe "lifestyle".

Unaona argument yako ilivyo absurd?

Wewe ukiambiwa mashoga wakuamulie ulale na nani na vipi utakubali?

Kama hutakubali kwa nini unataka kuwaamulia wao?
 
Nishaeleza ushoga uwe kilema au si kilema siyo issue.

Issue ni mtu kiwa na uhuru wa kuamua mambo yake mwenyewe.

Wewe unapenda Coca Cola, mwingine akipenda Fanta inakupunguzia nini? Kwa nini umlazimishe naye apende Coca? Akikulazimisha na wewe upende Fanta utajisikiaje?

Wewe muislamu, una uhuru wa kuoa wake mpaka wanne mkristo akikulazimisha uoe mmoja tu utaona sawa?

Ukiingiza habari ya kizazi, si kila mtu anataka watoto.

Na kama maisha umuhimu wake ni kizazi tu, wagumba mtawafanyeje? Mtataka kuwaua? Mtawanyayapaa waioe na kuolewa?

Your views are agrarian and medieval if not altogether ancient.
 
Hii thread inanikumbusha kitabu cha "What's The Matter With Kansas?".

There is a book to be written "What's The Matter With Africa?"

Mijitu inawaibia, inawaulia ndugu zenu, halafu inawazuga kwa habari za kupinga gay rights mnaona mna viongozi wa kufaaa sanaa tu.

51Bc09lFSKL._SY344_PJlook-inside-v2,TopRight,1,0_SH20_BO1,204,203,200_.jpg

Mijitu inatuibia ndiyo ila ipo mingine inatuibia na inaua watu na baya zaidi inabaki kusema "ndiyo" kwa mataifa yanayotukandamiza na kutunyonya. Shame on them.
Ni afadhali ya hiyo inayotuibia lakini ina "ubavu" wa kusema "hapana" tena bila kujificha. Hatu taki tu kukubali kuwa hata uhuru wa nchi zetu ulianza kupatikana kwa baadhi ya viongozi kusema hapana.
 
Like I said.

Ulemavu au si ulemavi siyo issue, issue ni uhuru wa watu kuchagua.

Na mtu akishakuwa mlemavu, kufanya ulemavu ndiyo lifestyle yake si kosa.

Walemavu wameenda mpaka kushindana kwenye Olympics, wakatazeni basi wasishindane kwenye mashindano ya walemavu, kwa kuwa kufanya hivyo kunafanya ulemavu uwe "lifestyle".

Unaona argument yako ilivyo absurd?

Wewe ukiambiwa mashoga wakuamulie ulale na nani na vipi utakubali?

Kama hutakubali kwa nini unataka kuwaamulia wao?

Ushoga aka Use.nge si ulemavu bali ni tabia mbaya na upumbavu. Upumbavu hauwezi kuwa haki ! Vinginevyo wako watu wanaweza kuanzisha ibada za kuchoma watu na wakadai ni haki yao madhali anayechomwa kwa imani hiyo amekubali. Kuna ujinga na upumbavu mwingine lazima watu responsible kwenye society wachukuwe hatua kuwalinda wengine.
Tupe faida za Use.nge katika jamii .....! Kiranga
 
Last edited by a moderator:

Unachosema ni kuwa "afadhali huyu kanibaka lakini hajanilawiti".

Absurd!

Bottom line, this is a private matter, involving individual decision.

The state has no part in it.
 
Ushoga aka Use.nge si ulemavu bali ni tabia mbaya na upumbavu. Upumbavu hauwezi kuwa haki ! Vinginevyo wako watu wanaweza kuanzisha ibada za kuchoma watu na wakadai ni haki yao madhali anayechomwa kwa imani hiyo amekubali. Kuna ujinga na upumbavu mwingine lazima watu responsible kwenye society wachukuwe hatua kuwalinda wengine.
Tupe faida za Use.nge katika jamii .....! Kiranga

Sigara haina faida katika jamii.

Zaidi, ina madhara.

Lakini hilo halitufanyi tukataze watu kwa sheria kuvuta sigara katika faragha zao.
 
Last edited by a moderator:
Hii thread inanikumbusha kitabu cha "What's The Matter With Kansas?".

There is a book to be written "What's The Matter With Africa?"

Mijitu inawaibia, inawaulia ndugu zenu, halafu inawazuga kwa habari za kupinga gay rights mnaona mna viongozi wa kufaaa sanaa tu.

51Bc09lFSKL._SY344_PJlook-inside-v2,TopRight,1,0_SH20_BO1,204,203,200_.jpg

Kiongozi anyetufaa ni yule anayetuambia tuingiliane wanaume kwa wanaume ?!!............ukiwa ni Mwanaume unavutiwa nini na Mwanaume mwenzio......hebu tupe features za mwanaume zinazo mvutia mwanume mwenziwe !?
 
Like I said.

Ulemavu au si ulemavi siyo issue, issue ni uhuru wa watu kuchagua.

Na mtu akishakuwa mlemavu, kufanya ulemavu ndiyo lifestyle yake si kosa.

Walemavu wameenda mpaka kushindana kwenye Olympics, wakatazeni basi wasishindane kwenye mashindano ya walemavu, kwa kuwa kufanya hivyo kunafanya ulemavu uwe "lifestyle".

Unaona argument yako ilivyo absurd?

Wewe ukiambiwa mashoga wakuamulie ulale na nani na vipi utakubali?

Kama hutakubali kwa nini unataka kuwaamulia wao?

Hiyo argument ya paraolympic nilishaileta awali. Hawa machizi wanataka ku-induce ujinga wao kwenye jamii. Wanachotaka kufanya ni kwamba wao hawana kasoro na hivyo wanaingiza upu.z. Wao kwenyenye jamii ili kuharibu tamaduni ambazo ni natural. Paraolympics hawafanyi ujinga huu.
 
Sigara haina faida katika jamii.

Zaidi, ina madhara.

Lakini hilo halitufanyi tukataze watu kwa sheria kuvuta sigara katika faragha zao.

Use.nge hauwezi kuwa sawa na sigara aiseeh, hata hivyo viwanda vya sigara vinalipa kodi na kutoa ajira !
Tupe faida ya jamii yenye Wasen.ge ! Kiranga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom