Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Saffi sana kwa dizain hii namkubali sana Mugabe iwe amesema kweli tu, kingozi wa Taifa lolote ni kujiamini siyo kuburuzwa kwa sababu ya umasikini.,

Nampongeza sana kwa hili, ila namchukia kwa kuifanya Zimbabwe kama kipande chake cha shamba miaka 90 bado hana mpango wa kungoka madarakani
 
Mkuu mbona we umekimbia TZ na haiko chini ya Mugabe? acha kuongea hayo maneno, mbona Ireland, Estonia, Romania na hata NZ ni watu waliosambaa zaidi na karibu waishe katika nchi zao na ziko poa tu? Kukimbia nchi kuna factor nyingi (ambazo hata wewe mtz) umeathiriwa. Mugabe is a hero (it may be doing wrong in the right direction)
wake up kaka uanhitaji kuijua vizuri zimbabwe kisha uanze kubwabwaja? have ever been to harare? what right direction unayoizungumzia Hapa?
 
Waafrika wengi kuwapoteza lengo ni kazi rahisi sana.

Watajie habari za wakoloni, wazungu, utumwa, new world order, ushoga, maadui wa nje, maadui wa ndani, wasaliti, waliokosa uzalendo etc etc.

Utawaibia mabilioni kwa mabilioni huku wanakupigia makofi.

Wengi wanataka waigizaji na vitongozi.

Hawataki viongozi.

Sasa mtu kama Mugabe baada ya mauaji yote na economic mismnagement aliyoifanya Zimbabwe naye ni wa kusifiwa?

Kisa?

Kawatongoza waafrika masikini vizuri na kujipa image ya mpinga wazungu!

Wanaomsifia Mugabe wanajua jinsi gani alivyoua wa Ndebele?

Someni Gukurahundi

Gukurahundi - Wikipedia, the free encyclopedia

Kiranga, wewe ni muafrika au? Kama ni muafrika hutakaa uwe mzungu hata siku moja na mzungu hata ukimsifia mara ngapi hawezi kukuthamini. Atakutumia tu pale anapojua unaweza kumsaidia mambo yake
 
Kiranga, wewe ni muafrika au? Kama ni muafrika hutakaa uwe mzungu hata siku moja na mzungu hata ukimsifia mara ngapi hawezi kukuthamini. Atakutumia tu pale anapojua unaweza kumsaidia mambo yake

I subscribe to the community of mankind, merit by strength of odeas regardless of where the ideas are from and by whom.

Sitafuti kuthaminiwa wala siogopi kutukanwa, natafuta ukweli.

Hakuna mawazo ya mzungu wala ya mwafrika, katika wazungu nako kuna watu kibao wanaoponga.mawazo yangu, utasemaje mimi nasifia wazungu?

The whole business of wazungu hivi waafrika vile is borne out of an ignorant reductivism.

Hata nikikuuliza mzungu ni mtu gani huwezi kuniambia kitu cha kueleweka.

Stop with the overblown hypothetical hyperboles already.
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..
Desmond TUTU atafungisha Ndoa
 
Ditto!

Kwa siku mbili tatu hizi Museveni kapewa plaudits na watu humu kwa kinachodaiwa kutia saini muswada wa sheria inayokataza wanawake nchini Uganda kuvaa nguo fupi.

Kaitwa mfano wa kuigwa, kiongozi imara, na sifa nyinginezo kama hizo.

Watu hawaoni ubaya wowote wa hiyo sheria na ghafla bin vuu ni kama wamesahau kama lijamaa ni lidikteta na just like that, with the stroke of a pen, limegeuka kuwa shujaa!!

Viwango vya Waafrika ni vya chini sana aisee.

Kwan ubaya wa sheria hiyo ni nn sasa?
 
Kiongozi mzuri ni yule anaangaliwa kwa uongozi na matendo yake kwa ujumla na hasa kiuchumi na siyo kwa kudonoa donoa kwa maana kwamba, kama siasa ni safi basi zitapelekea hata jamii kuwa na uchumi endelevu.

Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanaficha mapungufu yao ya kiuongozi kwa kusingizia nchi za Magharibi kama ndiyo chanzo cha matatizo au mapungufu yao.

Yes, Nchi za Magharibi zinaweza zikawa wamechangia matatizo katika taifa la Zimbabwe lakini huwezi kuzilaumu katika matatizo hayo kwa vile lilikuwa ni jukumu la viongozi wa Zimbabwe kuyakataa au kuyakubali.

Ni ajabu kumwita kiongozi ana msimamo mzuri au shujaa kwa maswala ambayo ni uamuzi wa binadamu ndani ya vyumba vyao kwa kiwango ambacho mpaka yanasahaulika maswala ambayo niya msingi kabisa nchini kama vile mwenendo wa kiuchumi kwa kila raia.

Sisi Waafrika ni wazuri sana katika kazi ya kushughurika (kushadadia) na mambo ambayo hayana maana katika kipimo cha umuhimu kitaifa na kimataifa.

Ni jambo la kusikitisha kuwa kwa nchi za Kiafrika kuwa masikini siyo tatizo kubwa na kwa maana hiyo, kuondoa umasikini siyo jukumu la kwanza kwa hizi nchi. Maswala ya unyumba (mapenzi) ndiyo swala muhimu sana na kwa maana hiyo, hili ni jukumu la kwanza kupambana nalo. Haishangazi kwa Rais Mugabe kuitwa mpambanaji (hero)kwa sababu anapambana na swala ya unyumba (mapenzi)

Mfano halisi uko hapa kwenye vijiwe vya Jamiiforums. Ukileta thread ya mwanasiasa kuhusu mapenzi, itapata wachangiaji wengi sana lakini ukileta thread ya mwanasiasa kuhusu uchumi, hiyo itakuwa kwenye ignore list na wengi.

Usishangae hiyo sentensi inaweza kumfanya Rais Mugabe kuchaguliwa tena kuwa Rais wa Zimbabwe.

Matatizo yetu ni makubwa na yako ndani kabisa na ndiyo hayo yanayo akisi utendaji wa viongozi wetu.

Lakini na hilo alilofanya ni jema tu, sasa ushoga wa nn kwetu na una faida gani?
 
Kwaiyo ulitaka amwachie Tshangirai? Kwa Tshangirai bora tu Mugabe atawale mpaka mwisho wa maisha yake hapa duniani
 
Waafrica aina ya Ditto, Ng'wamapalala et al huwa nawashangaa sana. Kigezo kipi mnatumia kuita haya ndiyo maendeleo? Kulinganisha maisha ya western na Africa? Kwangu mimi maendeleo si hizo infrastructure, utamaduni, jadi na yanayofanana na hayo ndiyo maendeleo sahihi. Mawazo yenu ni muendelezo wa utumwa wa kifikra tu na utumwa wa ki-western basi.
I don't care kama tungechimba dhahabu, Almasi nk na kuvitumia kuchezea bao na michezo mingine, so long we are happy and living peaceful life. Hayo mnayoita maendeleo ni upuuzi, frustration ushenzi na wendawazimu, natamani kama tungerudi maisha ya mababu zetu tu.
Mugabe, Museveni and alike are hero regardless mapungufu mengine, they are hero coz wanapinga mambo ya kishenzi ya western what they call civilization and democracy.
 
I subscribe to the community of mankind, merit by strength of odeas regardless of where the ideas are from and by whom.

Sitafuti kuthaminiwa wala siogopi kutukanwa, natafuta ukweli.

Hakuna mawazo ya mzungu wala ya mwafrika, katika wazungu nako kuna watu kibao wanaoponga.mawazo yangu, utasemaje mimi nasifia wazungu?

The whole business of wazungu hivi waafrika vile is borne out of an ignorant reductivism.

Hata nikikuuliza mzungu ni mtu gani huwezi kuniambia kitu cha kueleweka.

Stop with the overblown hypothetical hyperboles already.

Hujatoa hoja yoyote zaidi ya kuongea jagons na terminology ambazo baadhi ya wadau wa JF hawatakuelewa. Mkuu jaribu kutumia maneno rahisi ili kila mtu akupate vizuri.
Nugabe ni simba pekee wa afrika aliyebaki.
Vile vile ni mtu anayeweza kuwatumia wasomi wake vizuri.
 
Nimejibu habari za niliyem quote.

Kama hujui lugha, hiyo ni challenge kwako kujifunza. Usipende mtelezo tu kila siku. Mtelezo unaleta umasikini.

Tatizo lenu mnataka "simba" badala ya viongozi.

Kama mwanamke ambaye anaona hapendwi na mwanamme mpaka mwanamme amkung'ute, mnaona kiongozi si mzuri mpaka awe "simba" kwa abuses of power.

Ndiyo maana Afrika haiendelei.
 
Waafrica aina ya Ditto, Ng'wamapalala et al huwa nawashangaa sana. Kigezo kipi mnatumia kuita haya ndiyo maendeleo? Kulinganisha maisha ya western na Africa? Kwangu mimi maendeleo si hizo infrastructure, utamaduni, jadi na yanayofanana na hayo ndiyo maendeleo sahihi. Mawazo yenu ni muendelezo wa utumwa wa kifikra tu na utumwa wa ki-western basi.
I don't care kama tungechimba dhahabu, Almasi nk na kuvitumia kuchezea bao na michezo mingine, so long we are happy and living peaceful life. Hayo mnayoita maendeleo ni upuuzi, frustration ushenzi na wendawazimu, natamani kama tungerudi maisha ya mababu zetu tu.
Mugabe, Museveni and alike are hero regardless mapungufu mengine, they are hero coz wanapinga mambo ya kishenzi ya western what they call civilization and democracy.

Wacha longolongo wewe.

Wanapinga mambo ya western wakati kuanzia magari wanayotembelea ( Mercedes Benz) mpaka mipaka ya nchi zao vimewekwa / kutengenezwa na western entities?

Kama mna reject western values reject technology yao pia mrudi kwenye matoroli na kuvaa vibwaya na uchifu.

Unakandya western civilization wakati unatumia internet iliyoanzishwa na westerners.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
 
Kiranga bado hujani convince, maisha hayahitaji hivi unavyo fanyia reference my brother, it's jut you have been brainwashed na western civilization as a results watu mnaishi Kwa frustration na kila aina ya upuuzi usiokuwa na maana, before hizi magari, Internet and alike, u want to tell me there was ni life in Africa? Come on! This is too low for you. Kwangu mimi huo ustaarabu ni wendawazimu tu na watu wa aina yako ndio ambao hata ushoga na ufilauni mwingine mtadai ni maendeleo na the so called "human rights" what the F is this. I don't need English, BMW, iPad and alike kufanya maisha bro. Get it right.
 
Pan Africanism should embrace culture and values zetu.... Full stop. Lakini kama ni muumini wa western, definitely wewe ni mtumwa wa Mila na desturi za kimagharibi. Sometime I support Arabs and their extremist ideology, hawa wazungu ni mbwa na shenzi sana tu, hakuna Cha technologia wala nini, wote ubatili tu. ImageUploadedByJamiiForums1394616024.260763.jpg
 
Kiranga bado hujani convince, maisha hayahitaji hivi unavyo fanyia reference my brother, it's jut you have been brainwashed na western civilization as a results watu mnaishi Kwa frustration na kila aina ya upuuzi usiokuwa na maana, before hizi magari, Internet and alike, u want to tell me there was ni life in Africa? Come on! This is too low for you. Kwangu mimi huo ustaarabu ni wendawazimu tu na watu wa aina yako ndio ambao hata ushoga na ufilauni mwingine mtadai ni maendeleo na the so called "human rights" what the F is this. I don't need English, BMW, iPad and alike kufanya maisha bro. Get it right.

Sihitaji kuku convince, nakwambia ukweli tu.

Wacha unafiki.

Maisha hayahitaji magari na internet kisha unakuja JF kufanya nini sasa?

Reject magari na internet tusikuone hapa JF tujue kweli maisha hayahitaji hivi vitu.

Unakuwa kama yule bwana aliyekuwa anamsema mke wake kwa kupika chakula kibaya, wakati anakila.

Wazaramo wana msemo wao, "Zilongwa mbali, zitendwa mbali", kwa kumaanisha "kinachosemwa ni tofauti na kinachotendwa".

Ipotezee JF pamoja na utamaduni na teknolojia za magharibi, then unaweza kutuambia unai reject western civilization.Lakini kabla ya hapo utakuwa unacheza tu.
 
Mkuu mbona we umekimbia TZ na haiko chini ya Mugabe? acha kuongea hayo maneno, mbona Ireland, Estonia, Romania na hata NZ ni watu waliosambaa zaidi na karibu waishe katika nchi zao na ziko poa tu? Kukimbia nchi kuna factor nyingi (ambazo hata wewe mtz) umeathiriwa. Mugabe is a hero (it may be doing wrong in the right direction)

Halafu anasema aliichukua ikiwa firt world! Kwa nani? Hata Bongo ni first world kwa baadhi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom