Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Ngoja nikukubalie kuwa matatizo ya kiuchumi katika nchi za africa ni matokeo ya ubeberu. Katika vitabu vya sifa za kupigana na ubeberu na kuondoa matatizo ya uchumi wa nchi za kiafrika, kukemea mitindo ya maisha ya nchi za magharibi sio sifa ya kiongozi na sio zana ya kupinga ubeberu.
Zakumi
Inaonekana huelewi au umeamua kutokuelewa kwa makusudi; Mugabe hakusema nchi za magharibi zisifanye ushoga alichokataa wao kutaka kulamisha Afrika ikubaliane na ushoga kwa visingizio vyake hali za binadamu; sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa nchi za magharibi kudai hali za mashoga Saudia au Kuwait; kila taifa linalinda haki ya kulinda utamaduni wake, hivi leo waislamu wa US wakidai haki ya kuoa wake 2 watapewa?
 
Last edited by a moderator:
Maelfu ya watu wa Zimbabwe wamehudhuria sherehe rasmi za siku ya kuzaliwa Rais Robert Mugabe.

Bwana Mugabe ambaye ameongoza nchi tangu mwaka wa 1980, alipeperusha mabofu 90 katika uwanja wa michezo wa Marondera, mashariki ya Harare.

Rais Mugabe, ambaye amerudi punde kutoka Singapore kwa matibabu, alisema ajisikia mzima na kijana kama mtoto wa miaka 9

Aliuambia umati kuwa ushindi aliopata kwenye uchaguzi wa mwaka jana ulishangaza nchi za magharibi zinazomlaumu.

Sherehe hiyo inakisiwa kugharimu dola milioni-moja na hivyo kuzusha malalamiko katika nchi ambayo ina matatizo ya kiuchumi.

Hivi Mugabe alitumia ulimbo kutengeneza hayo mapofu? Kama yeye anaweza kuagiza mabofu kutoka nchi zisizo za kiafrika hili kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa kufuata utamaduni wa nchi za magharibi basi kwanini waafrika wengine wasiige mambo mengine kutoka nchi za magharibi?

Hii inanikumbusha enzi za wajamaa Tanzania. Viongozi wanahimiza wananchi wale wali wa mtama wakati wao wanatumia wali wa mchele.
 
Zakumi
Inaonekana huelewi au umeamua kutokuelewa kwa makusudi; Mugabe hakusema nchi za magharibi zisifanye ushoga alichokataa wao kutaka kulamisha Afrika ikubaliane na ushoga kwa visingizio vyake hali za binadamu; sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa nchi za magharibi kudai hali za mashoga Saudia au Kuwait; kila taifa linalinda haki ya kulinda utamaduni wake, hivi leo waislamu wa US wakidai haki ya kuoa wake 2 watapewa?

Kwa hiyo mtu ambaye maisha yake yote ameishi kama English Gentleman of early 20th century has become the gatekeeper of African moral values and traditions.
 
Kwa hiyo mtu ambaye maisha yake yote ameishi kama English Gentleman of early 20th century has become the gatekeeper of African moral values and traditions.

Tatizo ni uelewo wako; kuvàa suti hakukufanyi usiwe na mila na desturi zako; vinginevyo wote tungekuwa tunavaa magome ya miti; Mugabe hajakataa tusiige mila zenye kuleta maendeleo ndio sababu hujasikia amefunga vyuo watu wasisome! Mugabe hakukubali kutawaliwa na hao wazungu ilikuwa mpigania uhuru ujana wake wote alikuwa msituni.
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..
Mi nataka nimuoe pm wa uk aliyetaka ushoga upewe nafasi sawa tz ili tupate misaada. Japo membe alimjibu lakini jibu size yake kabisa lilikuwa hili la mugabe.
 
mkuu Nyani Ngabu, kwa hiyo miafrika ndivyo tulivyo hatuwezi kubadilika?
Ditto!

Kwa siku mbili tatu hizi Museveni kapewa plaudits na watu humu kwa kinachodaiwa kutia saini muswada wa sheria inayokataza wanawake nchini Uganda kuvaa nguo fupi.

Kaitwa mfano wa kuigwa, kiongozi imara, na sifa nyinginezo kama hizo.

Watu hawaoni ubaya wowote wa hiyo sheria na ghafla bin vuu ni kama wamesahau kama lijamaa ni lidikteta na just like that, with the stroke of a pen, limegeuka kuwa shujaa!!

Viwango vya Waafrika ni vya chini sana aisee.
 
Last edited by a moderator:
Matusi ya mugabe kwa obama ni ishara tosha kwamba oshoga ni kitu kibaya sana machoni mwa waafrika.
Hilo lilikuwa jibu murua sana.hatutaki ushoga hivyo hakuna kumumunya katika kuliongelea hilo.
 
Una hakika Mugabe alisema hivyo? Umejiridhisha kwamba hii habari ni ya kweli?

Au ni wewe ndiye unakuwa kichekesho kwa kukubali habari ya uongo?

na wewe una uhakika hakusema hvyo??
 
Katika hili la ushoga hata ningekuwa mimi ningekuwa na msimamo wa babu huyu wa Zimbabwe....
 
"if obama wants me to allow gays marriage in zimbabwe,i should marry him first to show the good example"-robert mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

huu siyo uongo kweli? Chanzo cha habari hii kiko wapi?
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

Huyu ni mwanaume na nahisi huyu ni miongoni mwa wale wanaume waliotahiriwa kwa kisu cha moto chenye wekundu!

Tulipaswa kuwapata marais sita kama Mugabe barani afrika ilimambo yaende!!
 
Waafrika kama kweli mko serious na kukataa ushoga na cultural imperialism pigeni marufuku movies za magharibi, pigeni marufuku nguo za magharibi, pigeni marufuku muziki wa magharibi, pigeni marufuku internet.

Anzisheni mifumo yenu yenye maadili ya kiafrika mnayoyataka.

Otherwise mtapiga kelele sana kumshangilia Mugabe (kwa habari ambazo hata hajazisema!) wakati mnaangalia shows za Hollywood zilizojaa LGBT themes na subtle sympathy.

Mtajikuta nyie mnapiga kelele wakati watoto wenu wanaoangalia haya mambo na kufuatilia wataona ndio mambo ya kisasa.

Ndiyo maana jibu la Kikwete kwa Amanpour in a way, ingawa halikuwa smart, lilikuwa na admirable candor (labda kwa sababu Kikwete is not smart/ confrontational enough to duck and deflect kama Mkapa na Mugabe). Waafrika hawawezi ku fight haya mambo, it is only a matter of time kabla hayajakubalika Afrika. I have to agree with Kikwete on that even though the answer was not statesmanlike, especially the tepid answer to the follow up question.

As long as hatu make content tunayo consume, basi hata mass psychology yetu itakuwa dictated na wengine, kwa mfano Hollywood.

Angalia vijana wanavyovaa kata k utaona jinsi gani hata kama Obama akinyamaza kuhusu ku force issue ya gay rights, Hollywood itamfanyia kazi yake.

Kwa hiyo hii focus nzima ya kuangalia viongozi na kusahau popular culture iko misguided.

Hawa hawa wanaomsema Obama na kumshangilia Mugabe ndio hawa hawa watakaoshangilia shows na movies za Hollywood zilizotengenezwa na the Hollywood gay crowd na kujazwa a disproportionate level of gay scenes.

I have noticed that there is a dramatic increase in gay/ lesbian sympathetic scenes in Hollywood movies/ shows. Are you guys going to boycott those too or just blabber hypocritically?

Nenda Facebook na Instagram uangalie watoto wa Kiafrika wanavyoshindana kujifanya Wamarekani.

And Binyavanga Wainaina had this to say: I am a homosexual, Mum by Binyavanga Wainaina | The Chimurenga Chronic

And this to tell Africans: #Watch Binyavanga's brilliant YouTube documentary calling out the BS behind "African" homophobia » AFRICA IS A COUNTRY

So, Obama is not really needed to say anything. It's just a matter of time before Africans cave in. As a matter of fact, it is very unAfrican to discuss homosexuality and gay rights. But I doubt if we can resist any longer....
 
And Binyavanga Wainaina had this to say: I am a homosexual, Mum by Binyavanga Wainaina | The Chimurenga Chronic

And this to tell Africans: #Watch Binyavanga’s brilliant YouTube documentary calling out the BS behind “African” homophobia » AFRICA IS A COUNTRY

So, Obama is not really needed to say anything. It's just a matter of time before Africans cave in. As a matter of fact, it is very unAfrican to discuss homosexuality and gay rights. But I doubt if we can resist any longer....

Sikiliza Zungu,kusema kama hatutaweza resist hadi mwisho haya mambo ya ushoga na usagaji,SIO KWELI.
Mfano waliounyesha Mugabe na Museven ni wa kupongezwa kwakweli.
Chamsingi,ni kuweka sheria kali kwa wataobainikia kufanya hivo vitendo vichafu.
Huwezi kuzuia Utandawazi now,ni too late.
Waache hao vijana wanaoiga hayo mambo,cz once hizo sheria kali kama Uganda walizopitisha zitakapowekwa,tutaona kama waiga huo uchafu wa Hollywood unaosema.
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

Ningekuwa mm n mugabe. Ningewaruhusu ndoa zao ila kwa sharti moja tu. N kwamba watakao oana jinsia moja ni kwamba baadaa ya miaka mitatu wawe wameshazaa mtoto mmoja. Kma watakuwa hawajazaa hukumu yao ni kifo tena mbele ya umma...#

Hatutaki ushoga hapa....
 
na wewe una uhakika hakusema hvyo??

I can't prove a negative.

Hujajibu swali, kama una uhakika Mugabe kasema maneno hayo weka video hapa au quote from a reputable source.
 
Sikiliza Zungu,kusema kama hatutaweza resist hadi mwisho haya mambo ya ushoga na usagaji,SIO KWELI.
Mfano waliounyesha Mugabe na Museven ni wa kupongezwa kwakweli.
Chamsingi,ni kuweka sheria kali kwa wataobainikia kufanya hivo vitendo vichafu.
Huwezi kuzuia Utandawazi now,ni too late.
Waache hao vijana wanaoiga hayo mambo,cz once hizo sheria kali kama Uganda walizopitisha zitakapowekwa,tutaona kama waiga huo uchafu wa Hollywood unaosema.

Afrika kuna sheria za kuzuia rushwa kibao.

Je zinazuia rushwa?

You can't legislate culture, you can't legislate morality.
 
Sikiliza Zungu,kusema kama hatutaweza resist hadi mwisho haya mambo ya ushoga na usagaji,SIO KWELI.
Mfano waliounyesha Mugabe na Museven ni wa kupongezwa kwakweli.
Chamsingi,ni kuweka sheria kali kwa wataobainikia kufanya hivo vitendo vichafu.
Huwezi kuzuia Utandawazi now,ni too late.
Waache hao vijana wanaoiga hayo mambo,cz once hizo sheria kali kama Uganda walizopitisha zitakapowekwa,tutaona kama waiga huo uchafu wa Hollywood unaosema.

Umemsikiliza Binyavanga? What is your take?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom