Hakuna mtu amesema muwe mashoga ,tatizo ni pale mnapoanza kuwanyanyasa na kuwafunga for a reason they are gay,hii haikubaliki na mtabadilika kwa nguvu hata kwa kukatiwa misaada ikibidi
Piganieni haki zenu best
Hakuna mtu amesema muwe mashoga ,tatizo ni pale mnapoanza kuwanyanyasa na kuwafunga for a reason they are gay,hii haikubaliki na mtabadilika kwa nguvu hata kwa kukatiwa misaada ikibidi
Teteeni haki yenuSipendi na nalaani ushoga, sipendi kutawaliwa na nalaani kutawaliwa, sipendi kunyanyaswa na nalaani mtu kunyanyasika kwa sababu yeyote Ile (mimi si Mungu nitapata wapi haki ya kumhukumu mtu ikiwa mimi si mkamilifu) LAKINI PAMOJA NA HAYO YOTE NAAMINI MUGABE NI MSALITI WA UHURU WA AFRIKA!
Kule kwao hawa watu
mugabe, kagame, na museveni hawamwagiwi sifa kama wanazopataga humu JF so naamini hata Rais wetu kuna wat huko nje wanatamani angekuwa anawaongoza.Jiwe walilolikataa waashi! Endeleeni kumwaga sifa za Mugabe..........
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..
Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..
Salute kwako uncle mugabe..
Nyani Ngabu
Inakuwaje wewe unamshutumu Mugabe kwa kutokubaliana na vitu ambavyo haviendani na mila na desturi zao?
unataka kusema kila linalosemwa na viongozi wa nje ni bora na halipaswi kuhojiwa?
Kama ni haki za binadamu mbona hamuongelei wale Mormons wa Utah na Arizona ambao wao kwa kufuata imani ya dini yao wanaoa zaidi mke mmoja?
kila kukicha viongozi wao wanatafutiwa sababu za kufungwa kisa ni mafundisho ya imani zao kama hoja ya kuchagua namna ya kuishi wao wameshaamua inakuwaje wao wanabaguliwa? kama ni haki za binadamu wangeanza kuwapa wao kabla ya kuingilia tamaduni za kiafrika; haiwezekani ushabikie watu wapige tokomile kama wewe sio mchezaji!
Nyani Ngabu akili zako za kidaka ni kushikiwa vinginevyo usingekuja jamvini na kumponda Mugabe kwasababu tu hakubaliani na hiyo michezo yenu;
Na kama hao viongozi wenye kutetea haki zenu inakuwaje hawaendi Saudia au Kuwait kutetea haki hizo??
au kuonea viongozi wa Afrika kwa sababu tunategemea misaada kutoka kwao??? Tokomile chezeni wenyewe sisi mdundiko na vanga linatosha!!
Kuna watu wana credibility na moral high ground ya kuwabana wamagharibi (kwenye reciprocity na authenticity, siyo gay rights, gay rights are human rights), sio Mugabe. Mugabe at this point kwa wafuatiliaji wa mambo watamuona ni "trapeze artist" tu anaye capitalize kwenye ujinga wa waafrika.
By "watu" unamaanisha nani?
Mimi nishahoji hapo awali kwenye thread hii hii, kwamba kama wamagharibi wako concerned sana na human rights, wasiishie tu kutaka waafrika wahalalishe ushoga, bali pia na wao wamagharibi wahalalishe ukewenza ili kusudi waafrika wanaotaka kuoa wake wengi magharibi waweze kufanya hivyo bila kuvunja sheria as long as wanakubaliana na wake zao.
This is a legitimate question which I have never heard raised.
Kama wamagharibi lengo lao ni haki za binadamu tu, na sio kutaka waafrika wafuate wanachotaka wao, bila wao kufuata utamaduni wa waafrika, there should be a mutual exchange of cultures and mores.
Waafrika wakubali kuhalalisha ushoga ili kutowabania mashoga haki zao za binadamu, na wamagharibi wakubali habari za ukewenza ili kutowabania wanaotaka ukewenza haki zao za binadamu.
Marekani kuna sehemu wazungu wanaoa wakewenza kisirisiri kwa sababu sheria ya nchi hairuhusu mtu mmoja kuwa na mke zaidi ya mmoja.
Sasa rais Mwinyi akiamua kwenda kukaa Marekani afundishe wanafunzi Boston College hapo kwenye fellowship ya marais wa zamani wa Africa na yeye ana wake zake wawili, akitaka aende na wake zake wote, atakuwa anavunja sheria za Marekani kimsingi.
Mugabe awe ni "trapeze artist" au jina lolote utakalopenda kumpa, kumbuka kwamba inahitaji ujasiri kutoa kauli kama hiyo kwa kiongozi wa taifa kubwa kama Amerika
Watu namaaniha watu
Nimeona ukiongelea hicho kitu wamagharibi waige au waruhusu mila za kiafrika kwa lipi wanalotaka kutoka kwetu? na hata kama lipo viongozi wetu wameshindwa kufanya wamagharibi kujua msimamo wetu na tunanufaikaje na wao kupata hicho wanachokitaka kutoka kwetu. Wanachofanya ni kuhakikiha wanaendelea kupata/kunufaika zaidi na rasilimali za waafrika huku wakiendelea kutuletea mambo yao hata kama yanapingana na desturi na mila za kiafrika.
Kikwete alichekacheka alipoulizwa kuhusu ushoga licha ya kujua ukweli kwamba sio utamaduni wetu, alijua fika vitu gani anaweza kuvikosa kwa jibu lake. Mugabe tayari ana vikwazo vya kiuchumi ndio maana anaweza kuongea chochote kwa taifa lolote hasa wamagharibi, hana cha kupoteza kutoka kwao.
Hujaona mtu hata akiwa bwana mdogo kama ana uwezo watu wanamuogopa kumkosoa hata pale anapokosea kisa watakosa msaada wake?
Unafikiri ni kiongozi gani wa Afrika ambaye ameshatatua matatizo ya nchini kwake angestahili kutoa hiyo kauli ya kupinga ushoga? Kwa sababu Mugabe kwa mtazamo wako hana credibility kisa uchumi mbovu na mauaji ya wananchi wake.
Nyani Ngabu
Inakuwaje wewe unamshutumu Mugabe kwa kutokubaliana na vitu ambavyo haviendani na mila na desturi zao? unataka kusema kila linalosemwa na viongozi wa nje ni bora na halipaswi kuhojiwa? Kama ni haki za binadamu mbona hamuongelei wale Mormons wa Utah na Arizona ambao wao kwa kufuata imani ya dini yao wanaoa zaidi mke mmoja? kila kukicha viongozi wao wanatafutiwa sababu za kufungwa kisa ni mafundisho ya imani zao kama hoja ya kuchagua namna ya kuishi wao wameshaamua inakuwaje wao wanabaguliwa? kama ni haki za binadamu wangeanza kuwapa wao kabla ya kuingilia tamaduni za kiafrika; haiwezekani ushabikie watu wapige tokomile kama wewe sio mchezaji!
Activister
wewe unapigiliwa hakuna nuomer endelea na game; sisi tunafuata mafundisho ya vitabu vitakatifu; kukaa kwangu mtoni hakunifanyi nichukue kila mila na desturi za huku ; makazini nafanya kazi na mashoga ni siwabugui na si washangai ni mila zao ila nikiona mtoto wa kiafrika ameamua kupigiliwa kama wewe hapo ndipo yanaponishangaza!
Mnamsifia mjinga huyo alichukuwa nchi ikiwa first world kaifanya third world na nusu ya wananchi wake wameishia ukimbizini kuwa manamba..poleni kwa ujinga
Nyie viongozi wenu ambao hawajafanya hiyo mismanagement mbona mnakula shida tu kama wao? Mzungu sio rafiki yako hata siku moja, atakunyonya na atakudharau na shida zako utabaki nazo pale pale. Ni heri ya Mugabe, wanakula shida lakini hakuna manyanyaso ya wazungu. FullstopSasa mtu kama Mugabe baada ya mauaji yote na economic mismnagement aliyoifanya Zimbabwe naye ni wa kusifiwa?
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Gukurahundi