Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,337
Yaani nilikua najitahidi kupitia huu uzi kimya kimya lakini uzalendo umenishinda kutokana na hizi post mbili hapa chini looooh...........
Ngumu kumeza aiseee......
Hahaaaaa huu ni ukweli MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na hii ina apply kote kote.....lol
Tena kama ni mume anakupitia kwa ofisi anakukuta umejaa tele unamsubiri akupitie mrejee wote home,asalale walaiiii raha kwelkwel....na wakati huo unakua mwepesiiiiiiiiii kama karatasi. Safi sana kina mama/dada nawapongeza:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2:kazi na dawa:violin: kudadadeki!
Inavyosemekana idadi kubwa ya watu wana mtu wampendaye wanapofanyia kazi. Na ukitaka umle demu ambaye ni mke wa mtu au demu wa mtu, kama unafanya naye kazi wewe msikilize tu kila atakacholalamika kwako kuhusu uhusiano wake. Usimbishie wala usimkosoe wala kumpa ushauri. Kubaliana naye kila kitu.
Mwisho wa siku atajenga emotional attachment kwako na utamla kama unalia vile. Na ndio maana cases nyingi za infidelity hutokea makazini kwa sababu watu wana spend muda mwingi sana pamoja hadi kuruhusu maongezi ambayo ni ya ziada.
Infidelity is inevitable. I know it is sad but it's the cold hard truth.
Ngumu kumeza aiseee......
sijui hii ni sheria no ngapi, kwani naskia wanachama wengi wanaofanya kazi hutumia lunch time kwenda kumaliza kila kitu, na ifikapo saa 12 jioni wapo majumbani mwao.