umbea...............

Unaona sasa? Yaani AshaDii ntakushtaki kwa kumuambukiza Zion Daughter umbea wako.

Hommie Asprin hebu walete kwangu wote wawili tafadhali. Nina kazi nao.
23_30_114.gif
23_30_114.gif
23_30_114.gif
23_30_114.gif
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hukuniamsha asubuhi? Huoni nimechelewa kwa mkoloni? Nikifukuzwa tutakula nini?

Haya nijaalie hali yako na unipe maendeleo ya ile kazi nlokupa.
hubby maendeleo ni kama tulivyoongea mtaa wa tatu! ila baada ya wiki moja wanadai ile kazi itakuwa imekamilika, itabaki kula bata tu sasa! STUKA hubby THINK!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom