umbea...............

umbea...............

Last edited by a moderator:
Thank u sweetlo gfsonwin kuna wanajamvi wanachekelea
Mi kuwapo
Mstari wa mbele huku mpakani na malawi, wakiongozwa na King'asti sasa nikirudi ama zao ama zangu. Nina bastola mbili na SMG moja.
gfsonwin, be careful hapa kaka asikupambe. Si unajua ndugu hawagombani wanatofautiana tu,lol Kaizer, wala hunitishi. Najua im ur favourite sister:redface::flypig:
 
Last edited by a moderator:
Nasikia toka Lizzy apotee hapa jamvini Bishanga kawa mpole na ndio hasa nia ya kutulia na mmoja ambae ni The secretary. Nimepata fununu pia kuwa Cantalisia, Mwali, obsesd, Smile na Okya walifumwa wakijadili jinsi gani wanaweza kujisajili kikundi cha wadada wa mjini kwa madai kuwa wanataka wawe wana run lile city la Jamii. Hata hivo hilo lengo lao liliingia dosari kwa sababu hawakuwashirikisha dada zao wakubwa kama Zion Daughter, Roulette, FirstLady1, Chauro, WiseLady, Preta, blacki womani BelindaJacob na Keren_Happuch.

Nasikia chama kuu MMU cha Infidel kinakufa kiutendaji baada ya Kaizer kuonekana anaenda kinyume na sheria mama za chama. Hio imefanya Darling shem Asprin akiongozwa na @RR, waite kikao cha dharura cha wanachama wachache tu; yaani Kimey, TIMING, Dreamliner, Baba_Enock, Fidel80, Teamo, The Finest, The Boss, klorokwini, Memo, Bigirita, kwa ajili ya hatma ya hicho chama.

Pia toka chama cha wabeba ma box kisajiliwe na Nyani Ngabu hapa jf nimepata tetesi kuwa kimepata wanachama wengi sana (atae hakiki hizi habari nitashukuru sana), wakiwemo jmushi1, BAK, Kiranga, Steve Dii, Mr Rocky na Ndahani majina mengine sijasikia... Ila Mzee Dark City hata hiyana atanipatia tu. lol

Nilitaka kusahau, soon kwa yeyote mwenye sherehe inayohitaji mapambo na maposhi ya cake afrodenzi kafungua kampuni.

Mke mwenza umeanza lini umbea???utasutwa jamani!!!! Mie simo...
 
AshaDii asante mamake kwa kunitangazia biashara lol.. Hope you're well hun.
 
Last edited by a moderator:
Umbea mtamu, raha kusutwa na matarumbeta..ha ha
AshaDii karibu tena jamvini...ulipotea mumie!!


Asante Mpenzi... Hii mention yako naona imeishia hapa hapa kuna wambea waliibania nisiipate. lol, nina hamu na umbea BJ, give me some please.... :redface:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom