umbea...............

Utajibeba. Ulivyoingilia ndoa ya watu ulitegemea nini? Ndo ujiandae hivyo mama, andika mirathi kabisa.

Wifi kumbe ukimsikia shemejio anaomgelea visabuninvya gesti hausi ulijua ndo saluni ama? Hebu soma msahafu vizuri. Dena Amsi atakuelewesha vingine manake yeye alijiunga na chma kabla yangu:wacko:

wewe sisi tulioana kisheria na bi mkubwa aliridhia ila tu sasa wataka kutuletea mtandao ndo maana naogopa atii.
 
weye chezea miye, usomi wangu huishia kwenye makaratasi tu na ofcn nje ya hapo ni bedui mungu hataki.

teh teh teh...nilichogundua gfsonwin, sisi ndege wajanja tunanasa kwa tundu bovu. Mtu alivyo nyumbani ni tofauti na akiwa kazini na mtaani. Ila chonde chonde...mzee akikusikia wewe ni bedui?
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh...nilichogundua gfsonwin, sisi ndege wajanja tunanasa kwa tundu bovu. Mtu alivyo nyumbani ni tofauti na akiwa kazini na mtaani. Ila chonde chonde...mzee akikusikia wewe ni bedui?
Kwa hiyo ni vyema kama uko kwenye ndoa utarajie mwenzako kutoka nje ya ndoa yenu. Na hii ni kwa wote, wake na waume. Mke tarajia mumeo kumega nje na mume utarajie mkeo kumegwa nje.

Sasa kama wewe huwezi kuhimili adha za kadhia ya mwenzako nje ya ndoa yenu basi nakushauri usioe au kuolewa. Kama kwako hilo si jambo kubwa sana basi jua kuwa kuna wakati litakutokea tu. Likitokea unaweza ujue ama usijue, lakini kaa ukijua kuwa haliepukiki.​

aisee hivi Asprin kwani mwezi wa rozari umeshaanza? mbona kama unasema kaitubio? haya ndahani njoo utoe mapoint hapa wewe unayaamini haya?
 
Last edited by a moderator:
na mimi naskia mke mwenza eti ulipata mswala ikakushinda ukaamua kurudi kwa mbachao kweli haya?

Mdogo wangu itabidi unifahamu vema... lol. Mswala katu haujawahi nishinda, hivo 'rejected' hizo habari za uongo kabisa! lol

Kitu kimoja ambacho watu wengi hawakijui ni kuwa KAMA HUFANYI INFIDELITY UJUE MKEO/MMEO NDIO KAMANDA WA INFIDELITY! Utafiti wa chama chetu umethibitisha hilo. Kwa hiyo shem we piga infidelity ili mmeo awe safe.... Believe me you.

That goes without 'ubishi'. True fact... and proven!

Do you want more? I've got more in store

Kiranga, I requisite weeks of indulgent in the whole verse for me understand … Thus at this instant it is enough…
 
Kwa hiyo ni vyema kama uko kwenye ndoa utarajie mwenzako kutoka nje ya ndoa yenu. Na hii ni kwa wote, wake na waume. Mke tarajia mumeo kumega nje na mume utarajie mkeo kumegwa nje.

Sasa kama wewe huwezi kuhimili adha za kadhia ya mwenzako nje ya ndoa yenu basi nakushauri usioe au kuolewa. Kama kwako hilo si jambo kubwa sana basi jua kuwa kuna wakati litakutokea tu. Likitokea unaweza ujue ama usijue, lakini kaa ukijua kuwa haliepukiki.​

Asprin, mimi sijasema na wala simo...naonaga tu ndege wajanja kwenye viota vibovu nafurahi maana tunakuwa wengi...teh teh teh
 
AshaDii - Kutokana na mwanguko wa uchumi wa dunia imebidi baadhi wasitishe huduma kwa "small house(s)"...!

Katika sheria zenu muongeze small house awe anazo upstairs (alafu na ubinadamu kidogo) ukianguka anakuvumilia hadi utapo nyanyuka tena. lol

Habari ya siku Baba E?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom