umbea...............

umbea...............

Last edited by a moderator:
Young Master hebu rudisha vile viatu vya watu ulichukua pale kwenye mtumba madai yake unaenda kujaribisha halafu ukapotelea pesa hujalipa wala viatu hurudisshi

kaumbea haka nako katamu kweli kweli hakakupaswa kutupita atiiii.............hivi cacico kasikia haya?
 
Last edited by a moderator:
subiri kwanza watoto walale maana umbeya wangu ni wa kikubwa
Si unawaona akina Young Master macho juu na hawajakua

khaaa! wewe nawe umezidi sasa haya utoto wa huyu Young_master ni upi? manake naskia anamiliki wake 3 na mahawara 6 ila wote kazi anasaidiwa.
 
Last edited by a moderator:
BAK hi kumbe hata wazungu wana gossip eeh! asante kwa kunipa chombeza.
 
Last edited by a moderator:
mie napita tu hapa......loh mna mambo mazito


Hahaaaaa huu ni ukweli MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na hii ina apply kote kote.....lol
Tena kama ni mume anakupitia kwa ofisi anakukuta umejaa tele unamsubiri akupitie mrejee wote home,asalale walaiiii raha kwelkwel....na wakati huo unakua mwepesiiiiiiiiii kama karatasi. Safi sana kina mama/dada nawapongeza:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2:kazi na dawa:violin: kudadadeki!
 
watoto wa siku hizi, hawashindwi kufumba macho na kujifanya wamelala. Halafu huo umbea wa kikubwa usije ukanihatarishia penzi langu kwa Mentor

mmmh! kumbe Mentor anakumega eeh! hongera zake aisee anake nakumbuka ulisema wewe bikra kama like yako.
 
Last edited by a moderator:
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.​

Mpwa siku hizi unaangalia news hongera, najua kaunta za juu siku zote ni sebene tu
 
Back
Top Bottom