Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

Inabidi

1-Ataje aina ya gari anayotumia?
2-Atakuwa na familia?
3-Atakula njiani na kunywa?
4-Atachukua abiria njiani?...etc

Hapo ndio tuta estimate atachukua masaa mangapi, sie wengine Dar - Mwanza huchukua siku mbili hadi tatu kwani ni lazima kutoa stress mahali fulani kama sio Dodoma, basi Singida au Shinyanga na ukifika usemi wa kwanza ni gari imesumbua sana njiani

Duh!! Iko kazi....
 
Samahani great thinkers,nahitaji kujua umbali kati ya Mbeya-Arusha.Nataka kujua tu wakuu.
 
Samahani great thinkers,nahitaji kujua umbali kati ya Mbeya-Arusha.Nataka kujua tu wakuu.

Naona na wewe unataka kuanzisha Ligi nyingine ya ubishi hapa ... maana watakuja watu kila mmoja anajifanya mjuaji anajua kuendesha gari spidi mara mwingine anajua chanzo cha umbali mara sijui nini .. mara utakuta umeshaongeza posti nyingine mpaka zifike 200.

Alafu .. kwa nini usichukue vyanzo hapo juu vya taarifa ili ukalkuleti upate umbali wa huko unako-ulizia? - au unataka ubishi tu!

Mwenzako kauliza swali moja ... ubishi mpaka posti zikafika 83! ... haya ngoja tuone na majibu yako!
 
Hii sikubaliani nayo asilan, haiwezekani umbali wa Shinyanga hadi Mwanza ukawa 1191 - 1114= 77km!! Nachojua na nilicho na uhakika nacho ni Shinyanga - Mwanza ni 164km!:A S thumbs_down:

Hii 1191 - 1114= 77km umeipataje? Mimi naona kwenye chart ni 160
 
Ndugu wanajamvi kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka dar kwenda mwanza kwa njia ya barabara
Huwezi kujua umbali wa "dar kwenda mwanza kwa njia ya barabara" bila kujua njia ya barabara gani!

Anyhow, mafuta should be the last of your concerns kwenye upcountry roads za Tanzania.

Anza na sala ya kupendwa zaidi, muombe Mungu asikupenda zaidi huko njiani, halafu msaidie kama ifuatavyo: Funga mkanda, watch matuta (mengi hayana alama na ukilivaa at high speed linakumwaga!), usiendeshe usiku, usinywe pombe, usiendeshe na kupiga simu, watch your speed (usishindane na mabasi), usitumie matairi yenye tube ndani, na usipige overtake kwa "kuruhusiwa na dereva wa gari la mbele."

Like I said, ukifanya hayo utapunguza chances za Mungu kukupenda zaidi humo njiani.
 
Huwezi kujua umbali wa "dar kwenda mwanza kwa njia ya barabara" bila kujua njia ya barabara gani!

Anyhow, mafuta should be the last of your concerns kwenye upcountry roads za Tanzania.

Anza na sala ya kupendwa zaidi, muombe Mungu asikupenda zaidi huko njiani,

halafu msaidie kama ifuatavyo
:


  1. Funga mkanda,
  2. watch matuta (mengi hayana alama na ukilivaa at high speed linakumwaga!),
  3. usiendeshe usiku,
  4. usinywe pombe,
  5. usiendeshe na kupiga simu,
  6. watch your speed (usishindane na mabasi),
  7. usitumie matairi yenye tube ndani, na
  8. usipige overtake kwa "kuruhusiwa na dereva wa gari la mbele."

Like I said, ukifanya hayo utapunguza chances za Mungu kukupenda zaidi humo njiani.

.
Sasa Mkuu Anheuser Mungu asimpende zaidi ... unataka nani ampende zaidi?! ... Shetani?!

crying-with-laughter.gif
 
kwa ushauri tu,subiri kama nusu mwaka upite njia ya mkato dar------dom-tabora-nzega unasepa mbele kwa mbele mpaka mwanza,utakuwa umepunguza kama 80 km hivi,barabara ipo karibu kumalizika kimatengenezo,
 
Km ni gari yenye matumizi ya kawaida, kwa maana ya 1800 - 2000CC tenga laki 6 ya mafuta na laki 2 ya emergence km traffic law violation, breakdown, puncture, na vingine visivyotarajiwa. Mi nimekwenda muda c mrefu na gari ya 2000CC nimetumia mafuta ya laki 6, na nikarejea nyumbani kwangu Dar nikiwa na half tank! Safari njema, kuwa makini na tochi za barabarani, zingatia vibao vya alama, ukijihisi kuchoka au usingizi pumzika, hy ni safari ndefu c vita!
Unamaanisha laki 6 kwenda na kurudi? Maana kama ni return trip basi inalipa kwa sisi wenye familia, kama mimi naweza peana zamu ya kudrive na wife, then nitakuwa nimesave hela nyingi kwa sababu kama ni kuchukua ndege inaweza kuwa gharama zaidi.
 
kwa ushauri tu,subiri kama nusu mwaka upite njia ya mkato dar------dom-tabora-nzega unasepa mbele kwa mbele mpaka mwanza,utakuwa umepunguza kama 80 km hivi,barabara ipo karibu kumalizika kimatengenezo,
Inatengenezwa na serikali ya CCM? Na ni ile iliyokuwa na vumbi sana ya kupita porini porini??
 
kabla ya mwaka dar niliondoka saa 12 asubuhi nikafika mwanza saa 10:30 jioni kizuri nilikuwa peke yangu kwenye gari,umbali ni 11--km
 
Yap mkuu, hapo nazungumzia return trip, inaokoa pesa mingi sana, hata mi ilinisaidia sana kwa familia yangu ilivyo kubwa!
 
.
Sasa Mkuu Anheuser Mungu asimpende zaidi ... unataka nani ampende zaidi?! ... Shetani?
Well, sio vibaya kama angekuwa anakupenda zaidi na kukutwa kwa amani na utulivu. Tatizo anakutwaa utadhani gaidi la Al Shabab on steroids, unatobolewa macho na mabati ya gari mpaka unamwaga retina barabarani, unapandiwa kichwani na ma chasis ya four wheel drive, kisa, Mungu amekupenda zaidi! Kha! Si bora usipendwe!

Ndo maana nikapendekeza hatua kadhaa za usalama barabarani ili kupunguza chance za Mungu kukupenda zaidi humo njiani.
 
Back
Top Bottom