Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

shilingi 419,864 (1154/6*2183) kwa ajili ya mafuta pekee ya kutosha huo umbali.

hahaha wanoko wa ofisini utawajua tu[/QUOTE]



Matumizi kwa thamani halisi ya pesa, na tena uje na risiti!
Hamna jomba nimejaribu kumpa comfort mdau ya kuwa na mchanganuo unaoonyesha gharama halisi badala ya kufanya guess work.
Ndo faida ndogondogo za kuwa JF
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Hebu achaneni na mambo ya sumatra, chart, mimi niliendesha gari yangu kutoka Dar,tabata segerea mpaka Mwanza mjini Kirumba mwezi march kwa uhalisia kuna KILOMETA 1080.
Nilitoka dar saa kumi kamili alfajiri nikiendesha toyota primeo 1800cc.nikafika mwanza saa mbili usiku mwendo wa kawaida nilikuwa na familia.
ZINGATIA.
1.Hakikisha unatok dar mapema(at least 1hr before 0600am) ili usifatane na mabasi makubwa kwani ni masumbufu na yanaovertake ovyoovyo yanaweza kukuletea matatizo.
2.Barabara ya Shinyanga - Mwanza ina matuta mengi yale mabaya ya kukomoa madereva, kwa gari ndogo lazima upande kwa spidi Zero. Pana kilometa 168, lakini utatumia masaa matatu.

sent from my rollpad.
 
kila siku mwanza mwanza kulikoni?
mana hata uwekezaji wa maana haupo,utalii ndo kabisaa

vigezo vya uwekezaji na utalii vyote vipo ila ni serikali iliyoitupa mkono!
 
Ni km 1152. zaidi ingia ktk Google map utapata kila kitu.
 
Ukifika dumila kuwa macho kuna trafik mmoja ana macho kuchuzi ndio anashika tochi ni kenge sana anakupima hata hujasogelea kibao.

Napendekeza wnaopenda sana kusafiri na magari wa-install software ya Waze kwenye simu , haswa zenye A-GPS ili angalau kuwezesha kupashana in real time hawa traffic wenye tochi wapo wapi, ajali, traffic jam n.k No software nzuri sana. Wakiwa wengi wenye software hii, ndipo inakuwa nzuri zaidi..
 
Napendekeza wnaopenda sana kusafiri na magari wa-install software ya Waze kwenye simu , haswa zenye A-GPS ili angalau kuwezesha kupashana in real time hawa traffic wenye tochi wapo wapi, ajali, traffic jam n.k No software nzuri sana. Wakiwa wengi wenye software hii, ndipo inakuwa nzuri zaidi..

Hao traffic wanakaa sehemu moja kabla ya kufika dumila kuna uwanda mzuri kudrive hata 240km/hr.Waliwahi kunisimamisha hayo maeneo.
 
Ndugu wanajamvi kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka dar kwenda mwanza kwa njia ya barabara anifahamishe,maana nataka nifahamu ili niweze kutenga bajeti nzuri ya mafuta kwani sijawahi kwenda mwanza.asanten

Consumption ya mafuta sijui ila umbali wa kutoka Dar hadi Mwanza ni kilo meta 1154 (elfu moja mia moja na hamsini na nne)
 
usikariri mkuu,kwa bongo ni urembo tu,iko wap hiyo barabara ya kutembea speed hiyo?

Hahahha you're funny can you at least stop screamin in an empty room, tht's trippin pal...wewe ndio unakariri kaka...barabara kuu zote za nchi hii nimepita sio tu kwa kuendeshwa bali kwa kuendesha.
 
vigezo vya uwekezaji na utalii vyote vipo ila ni serikali iliyoitupa mkono!

kweli tupu bwana,yani mji umekaa fresh kabisa kwa uwekezaji,sijaelewa shida nini hasa!
 
ukianzia safari Kituo cha mafuta Big-Bon msimbazi mapaka standi ya zamani mwanza(standi ya Tanganyika bus) ni km 1160. Hii ni kupitia -Morogoro-dodoma-manyoni-singida-nzega-shinyanga-maganzo hadi mwanza.

Ukiwa unatembea mwendo wa wastani tu 100kph ni mwendo wa masaa 14. Nilitumia njia hii nikiwa na familia yangu na huo ndo muda niliotumia....unakula chakula singida au dodoma kama unataka chakula mapema zaidi
 
Ndugu wanajamvi kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka dar kwenda mwanza kwa njia ya barabara anifahamishe,maana nataka nifahamu ili niweze kutenga bajeti nzuri ya mafuta kwani sijawahi kwenda mwanza.asanten

Mkuu jitahidi ufike Malaika Resort! Mandhari yake ni nzuri sana, utaniambia utakapofika au ukirudi!
 
mkuu naona "yo trippin" wewe ndio ulikua unadandia Apollo 11 kwa nyuma wakati wa take off, laiti kama ungesoma post tokea mwanzo wala ulisingeanzisha malumbano...am off period!!!

Duh wewe hata mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa sana kukufanya uelewe.
 
Barabarani ndio shughuli yangu ya kupatia riziki inakofanyikia, ndio maana najaribu kuwa well equipped.

Huyooooo! Umekimbia na majivuno yako.. Usiongee kitu bila kuwa na ufahamu wa kutosha... Mee wee!! Si ulijigamba unajua kuongea.. Nyaaaau! Kwi kwi kwi kwi!!! Mtani wangu wa muda.
 
Back
Top Bottom