Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

Km ni gari yenye matumizi ya kawaida, kwa maana ya 1800 - 2000CC tenga laki 6 ya mafuta na laki 2 ya emergence km traffic law violation, breakdown, puncture, na vingine visivyotarajiwa. Mi nimekwenda muda c mrefu na gari ya 2000CC nimetumia mafuta ya laki 6, na nikarejea nyumbani kwangu Dar nikiwa na half tank! Safari njema, kuwa makini na tochi za barabarani, zingatia vibao vya alama, ukijihisi kuchoka au usingizi pumzika, hy ni safari ndefu c vita!

Haaaa mkuu Hiyo gari yakoo kiboko mafuta ya laki 6 duuu si bora ungepanda ndege.... Au Hiyo gari ina engine ya treni?
 
Ndugu wanajamvi,

Kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka Dar kwenda Mwanza kwa njia ya barabara anifahamishe, maana nataka nifahamu ili niweze kutenga bajeti nzuri ya mafuta kwani sijawahi kwenda Mwanza.

Asanteni

We utakuwa HR mnoko kweli ***** ww

We km za nini wape mpunga wao madereva wanajua wenyewe mwizi ww
 
Mkuu naona wadau hapo juu wamejaribu tu kuguess, ukweli ni 1154 km...hii ni kwa mujibu wa jedwali la umbali toka Dar kwenda mikoani ambalo hutolewa na SUMATRA
lakini maswali kama hayo huwa yanajibiwa pia na google map.
 
Yote yanawezekana kwa sbb wakiesabu umbali wanaanzia pale kwy Askari. Pale Posta town. Sasa kama upo ubungo zinakuwa kama kilometers tayari 11 zimekatika. Sasa kama upo mbezi apo toa kilometers kadhaaa kwa iyo wakisema dar es salaam ndio ivyo
 
Na mwanza wanaesabia pale kwy ule mti mkubwa. Katika historia walikuwa wananyongea watumwa au ktk round about ya karibia na crdb bank plc.
 
Kwa iyo ishu ya kilometer isiwachanganye watu. Na kama unataka kujua ishu ya kilometer panda pikipiki/gari alafu angalia mshale wa kilometers utaelewa ni kilometers ngapi?
 
Kuna mwana JF mwenzetu mmoja alituwekea chati humu ya kuonesha umbali kwa nchi nzima
 
Je inawezekana kwa dreva mmoja kwa gari ya private kutoka mwanza akafika siku hiyohiyo Dar?
 
Back
Top Bottom