Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,649
- 3,818
Mkuu unataka kusema Km zote hizo hukusimama kwa ajili ya kula , kuchimba dawa? Kuongeza wese!
Kweli wewe si binadamu wa kawaida
Na nitakuwa wa mwisho kuamini maelezo yako
Na mi ntakuwa wa 2 kutoka mwisho kuamini maelezo ya huyo jamaa,,hahah