Umbali kutoka Dar kwenda Mwanza {km}

Mkuu naona wadau hapo juu wamejaribu tu kuguess, ukweli ni 1154 km...hii ni kwa mujibu wa jedwali la umbali toka Dar kwenda mikoani ambalo hutolewa na SUMATRA

Mkuu, na kwa mujibu wa Jedwali la TANROADS la March, 2009, umbali wa Dar to Mwanza ni 1152 km kwa route/njia ya Dodoma -Singida.
 
Mkuu, na kwa mujibu wa Jedwali la TANROADS la March, 2009, umbali wa Dar to Mwanza ni 1152 km kwa route/njia ya Dodoma -Singida.

Mkuu sijui kasoro ya hizo kilomita 2 imetokea wapi, lakini 1154 ndivyo ilivyobainishwa na SUMATRA
 
Ukifika dumila kuwa macho kuna trafik mmoja ana macho kuchuzi ndio anashika tochi ni kenge sana anakupima hata hujasogelea kibao.
 
Mkuu sijui kasoro ya hizo kilomita 2 imetokea wapi, lakini 1154 ndivyo ilivyobainishwa na SUMATRA

Haa haa haa, labda umbali unabadilika kwa kutegamea wakati kama ilivyo thamani ya shilingi yetu!!! Kidding
 
Haa haa haa, labda umbali unabadilika kwa kutegamea wakati kama ilivyo thamani ya shilingi yetu!!! Kidding

hahahah labda mkuu, au pengine hizo kilomita mbili zilipungua baada ya Ujenzi wa stendi ya Nyegezi
 
Mkuu sijui kasoro ya hizo kilomita 2 imetokea wapi, lakini 1154 ndivyo ilivyobainishwa na SUMATRA
watu8 mimi nahisi hizo tofauti za Km2 zimetokea baada ya kuchimba mlima saranda.Ha ha haaaa.
 
Last edited by a moderator:
watu8 mimi nahisi hizo tofauti za Km2 zimetokea baada ya kuchimba mlima saranda.Ha ha haaaa.

hahaha inawezekana mkuu, maana kuna ujenzi wa barabara uliendelea miaka ya karibuni especially maeneo ya huko singida
 
Km ni gari yenye matumizi ya kawaida, kwa maana ya 1800 - 2000CC tenga laki 6 ya mafuta na laki 2 ya emergence km traffic law violation, breakdown, puncture, na vingine visivyotarajiwa. Mi nimekwenda muda c mrefu na gari ya 2000CC nimetumia mafuta ya laki 6, na nikarejea nyumbani kwangu Dar nikiwa na half tank! Safari njema, kuwa makini na tochi za barabarani, zingatia vibao vya alama, ukijihisi kuchoka au usingizi pumzika, hy ni safari ndefu c vita!

Hiyo ndo bajeti ya kwenda na kurudi mkuu. Kama ni hivyom sawa
 
Mkuu kama angekua anataka kwenda Misungwi, Magu au kwingineko si angesema? halafu Ukerewe utaenda vipi kwa gari?

Aliyekwambia Ukerewe huwezi kwenda na gari ni nani?.,kwa taarifa yako unaweza kwenda na gari hadi Bunda,Musoma then unaelekea sehemu moja inaitwa Kisorya hapo unavuka na pantoni kwenda Ukerewe ni kama Magogoni na Kigamboni.,nchi hii wengine tumeshaizunguka sana.
 
Ni 1191...........angalieni hapa Distance Chart Tanzania
#

Chart.JPG
 
Mkuu hata mimi ni shuhuda. Nimeendesha peke yangu bila kupumzika kutoka Dar(Segerea) hadi Bukoba(Kanyigo) Km 1542 bila kupumzika na nilitumia masaa 18.

acha uongo inamaana hujaingia sheli?hujajisaidia?hujala?
 
Aliyekwambia Ukerewe huwezi kwenda na gari ni nani?.,kwa taarifa yako unaweza kwenda na gari hadi Bunda,Musoma then unaelekea sehemu moja inaitwa Kisorya hapo unavuka na pantoni kwenda Ukerewe ni kama Magogoni na Kigamboni.,nchi hii wengine tumeshaizunguka sana.

Hahaha duh! kwa hiyo kwa hiyo Bunda then Musoma then sijui Kisorya safari yote ya nini au unatumia gari la kampuni mafuta unachanja kadi tu....halafu umesahau kuwa gari ukiliweka kwenye pantoni linakua katika mwendokasi wa 0km/hr?

Ungekua umeizunguka nchi ungetoa alternative fupi na wala si hiyo miumbali ya kwenda hadi Musoma
 
Mkuu, na kwa mujibu wa Jedwali la TANROADS la March, 2009, umbali wa Dar to Mwanza ni 1152 km kwa route/njia ya Dodoma -Singida.

Kwa umbali wa 1154km, lita moja kwa kila km 6 na bei ya petroli ya sasa ya 2183 utahitaji kutenga shilingi 419,864 (1154/6*2183) kwa ajili ya mafuta pekee ya kutosha huo umbali.
 
Hpa mh. magufuli pombe angekupa full data wala isingekua na usumbufu
 
Mkuu hata mimi ni shuhuda. Nimeendesha peke yangu bila kupumzika kutoka Dar(Segerea) hadi Bukoba(Kanyigo) Km 1542 bila kupumzika na nilitumia masaa 18.

Sio jambo la kijisifia na ni UJUHA ku- confess kuwa you are that much careless. (Kama ilikulazimu kwa sababu ya hatari fulani samahani)

Jukumu la kwanza la Dereva ni kuhakikisha usalama wake, waliomo ndani ya chombo anachoendesha na walio nje pia. Ukiona umeweza kuendesha umbali huo na saa hizi unajisifia basi hata hao uliokuwa nao na wenyewe wana walakini. Kwa maoni yangu wewe ni mfano mbaya na upuuzwe.

Ndugu unayesafiri, ba patience with the road. High speed kills na mental na physical fatigues ni hatari uwapo barabarani. Ushauri wangu kwa madereva wapya na msio na uzoefu na barabara (hata kama una uzoefu wa uendeshaji zingatia tahadhari zaidi kwa njia unayoipita kwa mara ya kwanza)

Panga safari yako mapema na epuka maamuzi ya kukurupuka. Mwanza si karibu ikiwa huna mazoea ya kuendesha umbali mrefu kwa hiyo jaribu ku-relax now and then. Kwa mfano, si jambo baya kupumzika Dodoma, ukapata breakfast, ukanyoosha miguu kidogo then ukaendelea na safari. Fika Singida, pata lunch, ingia guest house mojawapo mpoze mhudumu akupatia namna uoge kuondoa uchovu na ku-refresh mwili.

Haya mambo ya kukimbia na kukurupuka huku tunajisifia ndio huwa yanatuletea majonzi. Leo unajisifia kesho uko uvunguni mwa lori kwa kukosa concentration barabarani utuachie watoto wako mitaani sio sahihi.

Ni kweli ajali haina kinga lkn mengi ya majanga yanayotupata tunayataka wenyewe kwa kuwa na akili kama za MULANGILA.
 
By MULANGILA:
Mkuu hata mimi ni shuhuda. Nimeendesha peke yangu bila kupumzika kutoka Dar(Segerea) hadi Bukoba(Kanyigo) Km 1542 bila kupumzika na nilitumia masaa 18.

acha uongo inamaana hujaingia sheli?hujajisaidia?hujala?

Hajasimamishwa na trafic?? Yani Jamaa ni liongo la waziwazi kweupeeee.......alafu anafikiria ni sifa kufanyahivyo.
Taratibu za udereva kwa safari ndefu inatakiwa usiendeshe gari zaidi ya masaa 8, pasipo kupumzika ndio maana bongo kuna ajali kibao zinazosababishwa na dereva kusinzia, kumbe watu wenyewe ndio kama huyo jamaaa.
 
Back
Top Bottom