Nataka nitoke sasa

Nataka nitoke sasa

SIR MGAX

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2023
Posts
1,116
Reaction score
1,874
Habari wanajamvi,

Bila shaka leo yetu ni nzuri na njema sana na MUNGU awape wepesi wote wenye changamoto na matatizo mbalimbali.

Haya soma hapa sasa na hii ndio sababu ya huu uzi.

Hivi wale mliotoka hapa unyaturuni na kwenda sehemu za mbali

Ni njia gani ya kwanza kabisa ambayo ninaweza kuanza nayo ili niweze kutoka hapa TANZANIA, i mean sina na sinjaanza kwa process yoyote ile na hata hiyo passport yenyewe sijui naanzia wapi kuiata

Niko na imani maelekezo yapo na mninaweza kuyapata kutoka kwenu ndugu zangu.

ndege JOHN Binti wa zamani

Smart911 venchwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom