The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,448
Kigoma nao ni walewale tu..ulozi mwingi, hlf kule ni maskini sanaNjoo Kigoma kila hatua kumi unakutana na taahira na wote ni wakulogwa.
Kigoma nao ni walewale tu..ulozi mwingi, hlf kule ni maskini sanaNjoo Kigoma kila hatua kumi unakutana na taahira na wote ni wakulogwa.
Wawepo juu au chini??Mbona kagera hawako?? [emoji2] Haiwezekani kabiiiisaaa..
Kigoma nao ni walewale tu..ulozi mwingi, hlf kule ni maskini sana
Mkuu mimi nimeenda mikoa yote ya Tanzania japo mingine nimelala usiku mmoja na kupita
Lakini kigoma nilikaa miezi miwili nilivutiwa sana na maisha ya kule very cheap,hali ya hewa safi, watu wamechangamka, chakula safi mjini usafiri ni uhakika kila kona ukienda ziwa Tanganyika burudani tu
Hiyo migebuka na ugali wa mwogo hatari sana
Nilipapenda mkuu
Ndio nikisikiaga kigoma ni maskini nashindwa kuelewa
Kila mkoa upo ulozi ila kuna mingine inazidsha sana...kigoma, mbeya, singida ni baadhi tuMkoa gani hauna ulozi??
Unapimaje??Kila mkoa upo ulozi ila kuna mingine inazidsha sana...kigoma, mbeya, singida ni baadhi tu
Kila mkoa upo ulozi ila kuna mingine inazidsha sana...kigoma, mbeya, singida ni baadhi tu
Hehe! Mkuu ngoja tuendeleee na majukumu ya kujenga taifa..nilichotegemea mda mrefu uulize ndy umeuliza saiv, kuna ukurasa unataka kuufungua!! Have Good work!!Unapimaje??
NaamMikoa ya kanda ya ziwa itakuwa inaathiriwa na takwimu za vifo vya mama na mtoto. Inaongoza kwa hivyo vifo.
Hahaha vaore makidai sana ndio maana ngivakapaMleu nukyekunda shira ,, na wandu wa Kagera.
Vijijin kuwa vikubwa sio tijaKa njombe ni Ka mkoa kadogo Sana na pia pato Lao ni kubwa kulinganisha na population iliyopo ndo maana unaonekana Una ahueni hivyo hivyo Kilimanjaro.
Mkoa wa kagera ni mkubwa,Una population kubwa zaidi ya 3 milion,na population density kubwa na ni wa tatu baada ya mwanza na dar hivyo likipigwa pato la mkoa na wingi wa watu mkoa unaonekana nyuma.
Pia vijiji vya kagera vikichukuliwa vikaunganishwa katika mkoa mdogo kama Kilimanjaro au njombe hata dar haitatia pua.
Tatizo mkoa ni mkubwa na watu ni wengi hivyo maendeleo ya mkoa yanamezwa.
Anyway sasa hiv ni wa kumi na moja 2025 utarudi kwenye five best . recovery ya majanga inaendelea
Watu wa pwan wao Ni ngoma tu uchumi wataujulia wap?Ajabu mkoa wa pwani umeizunguka Dar yote kasoro bahari tuu lakini nako wameachwa mbali na Dar
Kuna haja ya kuliangalia hili suala, yaan pwani na Dar ni pua na mdomo lakini maendeleo ya pwani bado yako chini....
Kuna haja hizi takwimu wapewe nakala MaRC ili wafanyie kazi maeneo yao husika, wahusike kwa namna moja ama nyingine kujenga uchumi katika mikoa husika, kama kilimo , uvuvi n.k
Hivyo vinavyoibwa kila siku .Vijijin kuwa vikubwa sio tija
Kwan Kijiji kikiwa kikubwa na mkawa na uchumi mkubwa inaathir nn?
Kagera n kubwa na Ina vyanzo vng vya mapto
Kilimanjaro/Njombe Ni ndgo na Ina vyanzo vichache vya mapato
Halafu kutegemea zao moja tu la mahindi likileta shida basi wananchi wote mnakuwa masikini wa kutupwaMkuu ufukara wa Rukwa ni mzunguko mdogo mno wa pesa hasa vijijini naishi uku maisha kwa ujumla ni nafuu ila mzunguko wa pesa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine ni kasheshe mno.
KITUKO WEWE! NAJUA MSHAZOEA KUELEZWA SINGIDA MASIKINI, SASA MNAUMIA KUONA TUNAJIKWAMUA POLE POLE. PAMBANA NA UMASKINI WAKO, WA HUKU SINGIDA TUACHIE?Jamaa wamefika singida?kuna fukara hata nywele hawana
ENDELEENI KUISHAMBULIA SINGIDA, ILA KIFUPI HAIPO KATIKA KIWANGO CHA UMASKINI WA KUTISHA. UMASKINI MNAUFICHA. KAZI KWENU😂😂😂 ulanzi upo ndani mkoa ila kwetu haupo,njaa tunaisoma magazetini tu na kuisikiliza redioni,ila nilipita Singida,Dodoma na tabora,kuna ufukara wa kutisha nashangaa hawapo kwenye poorest region
YOU DON'T EVEN KNOW WHAT YOUR ARGUMENTS ARE?? IRAMBA TUNA CHAKULA CHA KUTOSHA MPAKA TUNASAIDIA MIKOA JIRANI. DHAHABU IPO INACHIMBWA MAENEO KIBAO, NDIO MAANA HUTUONI KATIKA MKIA WA LIST HII.Ila singida ni maskini Sana na ukame juu.
Kule iramba sijui manyoni pabovu kweli
TUONYESHE MATOKEO YA UTAFITI WAKO??ACHA CHUKI NA WATU WA SINGIDA NA UTAKUWA HURU NA AKILI YAKO ITARUDI SAWA.Nimetoa maoni yangu kutokana na kutembea na uzoefu watu wamepaniki wengine wanatukana.Au nimewagusa mmetoka Itigi na Manyoni nn.Sijapinga research sababu naelewa tafiti upingwa kwa Tafiti.