Umaskini wa Tanzania Kimkoa

Umaskini wa Tanzania Kimkoa

Mkuu mimi nimeenda mikoa yote ya Tanzania japo mingine nimelala usiku mmoja na kupita
Lakini kigoma nilikaa miezi miwili nilivutiwa sana na maisha ya kule very cheap,hali ya hewa safi, watu wamechangamka, chakula safi mjini usafiri ni uhakika kila kona ukienda ziwa Tanganyika burudani tu

Hiyo migebuka na ugali wa mwogo hatari sana
Nilipapenda mkuu
Ndio nikisikiaga kigoma ni maskini nashindwa kuelewa
issue kipato sio kuchangamka.
 
Lakini hata tabora IPO teni best
Mimi siitetei Tabora wala si mwenyeji wa mkoa wa Tabora,lakini nimeishi Tabora sana,Nimeona watu wengi sana wa Kigoma wakifanya kazi kwa wakulima wa tumbaku,hasa wilaya za Urambo na Sikonge,wengi huja kama wafanyakazi(wakeraji),lakini kwa uchapa kazi wao wao ndo hugeuka wakulima wakubwa wa Tumbaku baadaye,na ukitaka kuamini Wilaya ya Sikonge uchumi wake umeshikiliwa na Watu wa Kigoma ambao walikuja kama wakeraji.Kama Kigoma isingekuwa masikini basi kwa uchapa kazi wao na utafutaji wao leo Kigoma ingekuwa ni hatari sana.
 
Jamaa wamefika singida?kuna fukara hata nywele hawana
Usiitwe farazuu tu itwa fala kabisa,ngoja nikuelimishe maana huijui singida
1:mwezi wa 4-5 wanasingida wanaanzaga kuuza vitunguu karibia mkoa mzima kipato hicho
2:mwezi 6-8 wanaaza kuuza alzet karibia mkoa mzima
3:kuna kuuza karanga, mahindi, ufuta
4:kuna kuuza mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku nk
5:kuna asali,samak mbao madini
6:kuna fursa pana ya biashara maana ni njiapanda route ya Dar....mwanza, Burundi,Rwanda na mikoa mingine ya pembenzon
Kuna route ya ARS....mwanza na mikoa mingine ya kanda ya ziwa
Sasa SINGIDA SIO maskini kiihivyo kama unavyotaka
Ndio maana hata watoa takwimu hawaja iristi mwishon
 
Hapo hizo pesa wanazifanyia nini? Mbona kumejaa nyumba za tembe mkoa mzima.
 
Mkuu mimi nimeenda mikoa yote ya Tanzania japo mingine nimelala usiku mmoja na kupita
Lakini kigoma nilikaa miezi miwili nilivutiwa sana na maisha ya kule very cheap,hali ya hewa safi, watu wamechangamka, chakula safi mjini usafiri ni uhakika kila kona ukienda ziwa Tanganyika burudani tu

Hiyo migebuka na ugali wa mwogo hatari sana
Nilipapenda mkuu
Ndio nikisikiaga kigoma ni maskini nashindwa kuelewa
Kuna vigezo vya kipato sio hali ya hewa na chakula kizuri ndugu[emoji849][emoji849]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom