La Roche
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 243
- 490
Sina time ya kusalimia
Wengi tunadhani UMASKINI ni Ukosefu wa Hela...WALA!
Hela zipo teleeee tena Bwerere,ni wewe tu ndio unapishana nazo!
UMASKINI ni UKOSEFU WA MAWAZO(Ideas)...Ukiwa Huna IDEAS Hela haiwezi kuwa rafiki yako KAMWE! Ukienda Benki kuomba mkopo watakuuliza UNA WAZO GANI unataka kuli-IMPLEMENT...Huwezi kuwajibu "Mi Ni Maskini nimeamua kuja Benki kwa sababu kuna Hela Nyingi Humu Ndani Mnipe"
IDEAS hazijali UMRI...Wapo watu wana Miaka 50 ni MASKINI na wapo Mayanki wana Miaka 20-25 Wana Mkwanja...Wote wana Masaa24 kila siku,Wote wako exposed kwenye Matatizo yaleyale,Nchi ni Ileile lakini Wengine Maskini na Wengine Matajiri.
EVAN SPIEGEL akiwa na Miaka 23 alibuni WAZO akaliita SNAPCHAT...Akaacha na Chuo pale STANFORD UNIVERSITY akaamua kukomaa na SNAPCHAT...Leo hii tuko Busy Snapchat kuuza sura yeye anapiga hela,Umaskini BaiBai na ana Utajiri wa DOLA BILIONI 2.1 +!Ila kuna mtu ana Miaka 26 Hapa na Benki ana Sh 2600,wala hashtuki,kutwa kulalama MAISHA MAGUMU BALAA!Lazima yawe magumu kama Bichwa lako halina hata Wazo la Ngama!
ALIKO DANGOTE,pamoja na Utajiri wake wote,angeweza kuchill ale mema ya nchi,DOLA BILIONI 38.6 + kibindoni lakini yuko bize na MAWAZO MAPYA maana hataki kuwa historia siku 1..Ni rahisi kuwa Tajiri na Ukiwa Fala unaweza kuwa Maskini Kesho,wapo waliofilisika na mifano tunaijua...
POVERTY is not the Absence of Money,It is the Absence of IDEAS.Kama wewe ni Maskini JIULIZE,Umewahi kuwa na wazo lolote la Maana la kukutoa huko??Umelifanyia Kazi?Kujua wewe ni Maskini ni Hatua Nzuri lakini Kujua KWANINI WEWE NI MASKINI ndio Shughuli..Mungu amekuumba una akili SIO TAAHIRA,Shughulisha Ubongo wako Ndugu,Acha Kulalamika,ONA MATATIZO KIBAO YALIYOKO AROUND YOU,Tengeneza WAZO LA KUYASOLVE na Huwezi kuwa Maskini Tena!